D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hii ndio iliwala akina leopard na Abraham bila shaka 🤣🤣🤣Hii kitu inaharibu vifaru vibaya sana
Wanafikiri kwa kutumia matakore! Wazee wa upinde🤣! Kuna baadhi ya hoja zao ni za hovyo sana, ni za kitoto sana, zinatia hasira hata kuzifikiri!! Tuwavumilie na kuwaelekeza kwa upendo hatuna jinsi!Yaani plant iko chini ya control yake halafu ailipue! Huko nato mnafikiri namna gani aisee?
Huyu mtu si wa kumwamini nadhani Kuna kitu mbaya kinataka kufanyiwa Ukraine ila Sasa wanapoteza watu maboya. Angalia mtiririko huuHuku akimtupia lawama waziri wa Ulini bwana Shoigu, asema kuwa uvamiaji wa Ukraine ulitokana na baadhi ya watu kutaka kutunishs tu msuri wa kijeshi maana kwao hilo ni kama starehe.
Akaendelea kusema kuwa Shougu yeye anatafuta medali tu za kijeshi lakini ukweli ni kuwa wamemessup. Unaweza kumsikiliza Prigozhin hapa.
>The MoD is going to prevent us from taking Bakhmut -> They take BakhmutWe are short of ammunition -> Neither the Ukrainians nor satellites are detecting this
>We are not going to work for the MoD anymore -> We are back on 5 August!Berkhivka has fallen -> Berkhivka has not fallen
Civil War NOW -> You are here
Washa geukan View attachment 2666912
Jamaa amesaidia nchi nyinhi hasa za Africa pia anaweza kuswich upandeWatasababisha Prigozhin afanye kweli ili kuokoa uhai wake. Salama yake ni kutwaa power pale Moscow nje ya hapo watamsaka kama digifigi na kumuua.
Hajazisaidia, bali amekuwa mtu wa nipe madini nikupe askari na silaha. Ni chombo kipya cha ubeberu.Jamaa amesaidia nchi nyinhi hasa za Africa pia anaweza kuswich upande