Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kashaishi maisha yake kachoka sasa anataka kuwaponza warusi waishi kwa shida hapa Duniani. Yeye huwa anatishia kama Mr Bean, sasa NATO watamfua hadi uvunguni. 😀
Mkuu NATO inazinyanyasa nchi za Uarabuni na Afrika sio Urusi...kumbuka Muungano wenyewe wa NATO ni dhidi ya Urusi.

Bila Urusi hakuna NATO...
 
Ni ujinga kumpeleka mtu wa above 55 jeshini,he is already tired,he can't fight,hana nguvu.Ndio maana jeshini ukifika 45 kama sio Officer unakuwa retired.
Mkuu!
Unapovamiwa utatumia mbinu zozote kujirinda utakazoona zinafaa.nimekuuliza na Urusi je yupo sahihi kuhusu umri,ji limekuja la!
Mkuu sorry kama nitakukera ila nakuona kama propagandist japo sometimes unaleta article zenye kuelimisha(ila mara chache sana)
 
Ni ujinga kumpeleka mtu wa above 55 jeshini,he is already tired,he can't fight,hana nguvu.Ndio maana jeshini ukifika 45 kama sio Officer unakuwa retired.
Mkuu!
Lakini husemi kuwa hao wanao-retire katika kipindi cha amani kukitokea vita huwa wanaitwa japo wanakuwa juu ya huo umri(45).
Bado sijaona point yako,zaidi nimeona propaganda!
 
Mkuu!
Unapovamiwa utatumia mbinu zozote kujirinda utakazoona zinafaa.nimekuuliza na Urusi je yupo sahihi kuhusu umri,ji limekuja la!
Mkuu sorry kama nitakukera ila nakuona kama propagandist japo sometimes unaleta article zenye kuelimisha(ila mara chache sana)
Hapana,sipo hapa kwa propaganda,nipo hapa purely kwa nia ya kuelimisha,sina entity yeyote ya kuifanyia propaganda,I am independent minded.
 
A U.S. Defense Official along with multiple other Western Officials have told CNN that the ongoing Ukrainian Offensive is, “Not meeting Expectations on any Front,” with Russian Forces beginning to conduct Operations more “Competently” while utilizing Well-Fortified Defense Lines with extensive Minefields alongside the Support of Air Power and Artillery in an extremely Effective manner causing Ukrainian Armor to be bogged down resulting in Significant Losses.
 
very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.

Vita hii haitakuwa na mshindi, so kwa wale warusi wa Buza wanategemea hilo walifute.
Buza ya NYOKWEE 🙄🙄🙄
 
Wakuu!Leo Nimeona Kril Budanov akitoa taarifa ya kipelelezi ila kuna mtu mmoja humu ID nimesahau kasema ameuawa na mashambulizi siku zilizopita!
Yale yale ya kusema Zelensky hayupo KYIV na siku akirudi atauwawa kwa makombora kisa mashambulizi ya drone huko KREMLIN.
Mnafiki hajifichi,, eti huna upande wowote, umerukaruka hatimae umejidhirisha ya kuwa wewe timu upinde,, sie tulikuwa tunakuchora tu,,
 
Huku akimtupia lawama waziri wa Ulini bwana Shoigu, asema kuwa uvamiaji wa Ukraine ulitokana na baadhi ya watu kutaka kutunishs tu msuri wa kijeshi maana kwao hilo ni kama starehe.

Akaendelea kusema kuwa Shougu yeye anatafuta medali tu za kijeshi lakini ukweli ni kuwa wamemessup. Unaweza kumsikiliza Prigozhin hapa.

 
We fought together, took risks, we won together. We are of the same blood, we are warriors. I urge you to stop. The enemy is just waiting for the internal political situation to worsen in our country. You can’t play into the hands of the enemy in this difficult time for the country,” General Surovikin declared.


❗️“Before it is too late, it is necessary and necessary to obey the will and order of the popularly elected president. Stop the columns, return them to the points of permanent deployment. Solve all problems only by peaceful means under the leadership of the Supreme Commander-in-Chief, ”added Surovikin.
 
❗️Most importantly on the Prigozhin - Shoigyu situation from @AussieCossack:

1. The enemy (NATO & Zelensky) is actively spreading disinformation & fake news to exploit the situation against Russian interests.

2. Do not give in provocations. Do not compromise yourself by taking the bait of cheap disinformation which is aimed at creating uncertainty, weakness & confusion.

3. Stay calm and wait for Putin's upcoming address to the nation. This is the most important factor. Don't over think the situation.

4. Consolidate, rally and focus on defending Russia's interests against external enemies. Do not allow external interests to take exploit Russian internal situations such as in 1917 & 1991.

5. Panic and reposting disinformation is a service to the enemy at this time. Be vigilant. Share information from trusted, official sources only.
 
The Kremlin declared that President Putin is aware of the situation.

❗️The FSB opened a criminal case of incitement to armed rebellion against Prigozhin.

❗️The maximum term of imprisonment under this article is 20 years.

❗️General Surovikin appealed to the fighters of PMC Wagner with an appeal to "solve all problems only by peaceful means."
 
To clear some questions:

1.- no, no coup was announced

2.- no, there is no coup going on right now

Calm down, people. Avoid being victims of ukronazi propaganda.

Wait for details on the Wagner situation, but one thing is clear: THERE IS NO COUP, AND THERE WONT BE ANY COUP.

- Sir Cheburashka
 
Back
Top Bottom