Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,382
- 8,907
Kwani Russia amekuambia anataka kupambana kwa miaka mingapi?Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.
Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.
Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
Haitaki hiyo kumi?