Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine can feed 600 million people in the coming years.
The country’s grain and oilseed production should also increase to 150 million tonnes in 10 years.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Since the summer of 2022, Russia has been enhancing the security of its naval base at Sevastopol, according to a June 23 report by the U.K. Defense Ministry.

New defenses include at least four layers of nets and booms at the harbor entrance, as well as an increased number of trained marine animals such as dolphins, the ministry said.

Learn more: UK Defense Ministry: Russia uses dolphins to secure Sevastopol navy base

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Baada ya uharibifu mkubwa wa Putin nchini Ukraine watu wa magharibi wasema "Tutawasaidia kuijenga Ukraine yenu"Jumla ya Tshs Trilion 157.74 zimeahidiwa kulifanikisha hilo.
Foreign donors have pledged 60 billion euros ($66bn) for Ukraine over a multi-year period to help the country rebuild following Russia’s February 2022 invasion.

The commitments were made at the two-day Ukraine Recovery Conference in London and were mostly comprised of a 50 billion euro ($55bn) commitment from the European Union announced on Tuesday and new pledges from the United Kingdom and the United States.
 
Kamanda kuna huu uzi nao itabidi uwe unaupitia kila siku,

Nikutakie safari njema huko ulikojificha, naomba uwachukue na hawa ndugu zangu,
Nkuba25 ,
Galip Vrl ,
mohamedidrisa789

Huu uzi jamaa huwa anajifurahisha ana comment mwenyewe kama Banzoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Baada ya uharibifu mkubwa wa Putin nchini Ukraine watu wa magharibi wasema "Tutawasaidia kuijenga Ukraine yenu"Jumla ya Tshs Trilion 157.74 zimeahidiwa kulifanikisha hilo.
Foreign donors have pledged 60 billion euros ($66bn) for Ukraine over a multi-year period to help the country rebuild following Russia’s February 2022 invasion.

The commitments were made at the two-day Ukraine Recovery Conference in London and were mostly comprised of a 50 billion euro ($55bn) commitment from the European Union announced on Tuesday and new pledges from the United Kingdom and the United States.

Labda wataijenga Ukraine ya kibaigwa ndani ndani huko.
 
Labda wataijenga Ukraine ya kibaigwa ndani ndani huko.
Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.

Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.

Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
 
Kama Patriotic missiles zinafanya vizuri kudungua Hypersonic missiles za Russia,hata f16 zitafanya vizuri.Russia nilivyoifikiria sio hii inayokimbizwa kwenye battle field Kila itwapo leo.Wanajeshi wake wengi wamekufa na vifaa vyake vingi vya kijeshi vimetekwa na vingine kuharibiwa.
Wamebakia kuharibu miundombinu na kuua raia.Kwenye hii
Vita huyu superpower kaçhemsha.
Aisee una uwezo Mdogo Sana wa akili,very shame !!! Hizi issue za Urusi na Ukraine zimezidi uwezo wa akili...!!
 
Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO wakati lengo mama la umoja wa NATO ni kujihami dhidi ya Russia.
Unahisi kwanini USA alishawishi na anashawishi wanachama kutokea Ulaya ila hana habari na wanachama kutoka America kwenyewe, Africa wala Asia?
Hili swali Kuna Pro West mmoja nilimuuliza but till now hajajibu!

Shida wanaijua NATO na RUSSIA kutoka vitabu vya Nyangwine vya historia..

Mimi nilimuuliza pro NATO mmoja hapa kwamba nikwanini baada ya COLD WAR kuisha ,Zaidi ya 70% wanachama wapya nikutoka Eastern Europe?? .
 
Maisha yanaenda kwa kasi sana.

Yaani huwezi amini kwamba yule Bingwa wa Uchambuzi T14 Armata ameukimbia huu uzi.
Yule aliyekuwa anasema wanajeshi wa Russian ni dhaifu, hawajui kupigana, hawana nidhamu na walevi.
Yule aliyekuwa anasema kwamba Russia wana vifaa vya kizamani, vibovu na havifui dafu mbele ya vifaa vya NATO.

Yule aliyekuwa mchambuzi na anayejua kila kitu cha Russia hadi anapolala Rais Putin anapajua.
Leo hii kakimbia huu uzi na kudai eti "Nipo busy huko kijijini/maporini na network hakuna"

Kweli nimeamini, kuchamba kwingi, Mwisho.....
Ila kwenye majukwa mengne tuna muona [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hii defensive line ya mrusi ya kikatili sana nadhani ndo maana inaitwa Surovikin Defensive line. Imeshakwenda na vichwa kibao vya askari wa Ukraine na vifaa vyao kutoka west.

OIP.png
 
Baada ya uharibifu mkubwa wa Putin nchini Ukraine watu wa magharibi wasema "Tutawasaidia kuijenga Ukraine yenu"Jumla ya Tshs Trilion 157.74 zimeahidiwa kulifanikisha hilo.
Foreign donors have pledged 60 billion euros ($66bn) for Ukraine over a multi-year period to help the country rebuild following Russia’s February 2022 invasion.

The commitments were made at the two-day Ukraine Recovery Conference in London and were mostly comprised of a 50 billion euro ($55bn) commitment from the European Union announced on Tuesday and new pledges from the United Kingdom and the United States.
Imewezekana vipi silaha dhaifu na zenye ufanisi duni za Russia kufanya uharibifu mkubwa mbele ya silaha bora za NATO? Au ndo wameacha kusema uongo?

Russia real super power.
 
Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.

Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.

Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
Option aliyonayo ukraine ni ipi?
 
Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.

Silaha kubwa zilizotumika leo: ukituma Mi-8s na Ka-52s unakutana na MANPADS na short range air defence systems, ukituma tanks ardhini unakutana na Uturuki au Poland wanazo German made Leopard 2 na ATM za kutosha. Ukija na Sukhoi na MiG haziko stealth hata bila ground radar Poland wakinyanyua AWACS mbili tu angani zinatoa mwongozo wa fighters zao kushambulia adui akiingia anga lao. Russia ikitumia artillery, self propelled howitzers na MRLS kama Smerch, Uragan hao members wa NATO karibia wote huwa wana counter battery radars. Kitu pekee ambacho Russia ana edge ni missiles hizo Kalibr zilizotumwa kama 160 hivi. Russian navy ilikuwa na meli zaidi ya 12 baharini na imeteka mji wa Maliupol na navy base ya Ukraine. Meli zinaleta shida kiasi, hakuna ASM za range kubwa ila landing crafts zitazuilika. Kuna nchi kibao hapo zinaweza hold more than a month zikivamiwa na Russia.

Ukraine sio level za Urusi na haina silaha za kutosha, wala sioni kama ina mobilization ya maana, kwanza jeshi ni 160,000 hivi ukiongeza na reserve wasiofika milioni moja. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa. Naamini wakishindwa wataweka craters kwenye runways ili ndege za Urusi zisitue hapo.

Siwezi ilinganisha Russian na Marekani, ikitokea vita kati yao doctrine zao zinaonesha kabisa kwamba Russia atakuwa na defensive position na US atakuwa na offensive position. Hatotokea mwanajeshi yeyote wa Urusi aingie ardhi ya Marekani. Kwa mfano atapita wapi na kwa kutumia nini?
Kuhusu nuclear capabilities achana na idadi ya warheads sema nuclear delivery systems, preemptive strike capability na response. Hawazidiani sana idadi ya makombora na hawahitaji kutumia hata robo yake kumaliza vita.

Vita ya Russia vs USA haipo. NATO vs Russia haipo zitakuwepo operations za kuunga mkono au kumpinga third party

Tunafukua makaburi, mchambuzi wenu huyo wa mchongo[emoji3]
 
Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.

Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.

Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.

Vita ikichukua miaka 10 nani ataumia sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Option aliyonayo ukraine ni ipi?
very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.

Vita hii haitakuwa na mshindi, so kwa wale warusi wa Buza wanategemea hilo walifute.
 
Mpaka sasa Russia mshindi...alichukua Crimea yote, luhansk na Donesk-industrial heart ya Ukraine...inakwenda hivyo, depopulation inayotokea Ukraine si ya mchezo, Ukraine army imebaki kama kikundi cha mgambo aka Alshabab...jeshi gani sasa hivi halina ndege, halina air-defenses...Huko front wako exposed tu..wanauliwa ovyo-ovyo...
Jeshi limekua sio professional tena (Ukraine)..yaani linafanya maamuzi kwa mihemuko na hisia kama wale wanaojitoa mhanga...yaani wananyukwa hatari front- still bado wanaenda tu- hizo ni akili au tope kabisa??Professional army ya Ukraine imesambaratishwa...demilitarization...
 
Back
Top Bottom