Kichwa Ze Don
Senior Member
- Jun 7, 2017
- 198
- 321
Putin Anawasumbua Sana Nato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu ushabiki wa simba na yanga ndio mnauleta kwenye mambo ya msingi kama haya!!hivi kwa akili zako, akili alizo nazo putin ndio wawe nazo viongozi wa NATO, wakiongozwa na USA, nini kitatokea duniani?!!Watu wanaichukulia poa Urusi pia wanadhani Puttin ni Rais wa maneno la haha,Rais Puttin ni mtu hatari na Mzalendo kwa nchi yake! Yupo tayari kwa lolote kuliko kuacha nchi yake ionewe na wapuuzi wa magharibi. Puttin anasema yeye atakayeingilia huu mgogoro basi atakachikipata hakijawahi kutokea katika historia ya maisha yao! Hiyo ni kauli nzito USA kaona kuua askari wake kama Baghdad au Afghanistan hataki tena, kwani kampeni zake nilutoingiza nchhi katika mzozo wowote ambao utasababisha kuawq askari wake!. Kifupi Nuke iliyopo Russia [emoji635] ni nusu ya Nuke zote walizona wamiliko wote wa Nuke! Pia wyanajua mambo yatakapo kuwa magumu Puttin ataIitumia kwa mtu yeyeto yule bila kujali kwani anafahamika kichwa chake kimejaa moshi wa vifaru na risasi sasa mchezee.
Wale timu USA lazima male mapema leo [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa taarifa. Ukipata updates ya mafanikio ya operation hii ya jioni ya Ukraine tafadhali usisite kutujulisha. Natanguliza shukrani.. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa.
Mkuu hivi unaona mapinduzi yanayoendelea afrika ya Magharibi kwa jicho la tatu, pale anaye poteza Ushawishi ni ufaransa na anayegain ni Urusi hii vita akishinda kutakuwa na greater geopolitical shift kati ya Urusi na Mmarekani.Kuwa super power, kuna mambo mengi ambayo bado USA, anayo na ataendelea kuwa nayo kwa miaka mingi sana!!!hivi unafikria NATO, na wao wangekuwa na akili za putin, nini kitatokea duniani kwa sasa?!! Kwa miaka hata 20 ijayo bado siioni RUSSIA,wala CHINA kuja kuwa super power, kutokana na kukosa sifa hizi, ushawishi, nguvu ya kiuchumi, nguvu ya kitamaduni.
Hapana! Kwa sasa baki nao.Mimi niko ukraine hapa ..Vip munataka mrejesho?
Historia inamhukumu aliyeshindwa na kumtukuza mshindiTatizo sisi Wabongo tunapenda ushabiki maandazi, vita Haina maana ni kupoteza watu, nguvumali na pesa Putin Kwa umri alionao Hana Cha kupoteza ila historia itamhukumu kutoka Rais Bora wa Russia Hadi kuifumbukiza kwenye matatizo ya Dunia tuombe uzima tutaona mengi
We sisi mmoja wapo katika. WamarekaniWarussia wa JF ndo nyinyi sasa. Haya ngoja wamarekani waje mbishane weee saa ziende.
Huyo mwenye mavazi meupe sijui ni Peskov? Ha ha haaa!
Mkuu umeandika kweli ila kwenye asessment yako umejumlisha S400, S500 na S550Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.
Toa Ballistic missile, toa Intercontinental missile, hypersonic missile and other strategic weapons, tupe analysisAssessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the
Wanaviherere sana hawa jamaa... Wanahisi hiyo ni vita ya mongiki
Updates:
Ndege za kivita za Urusi zikiingia Nchini Ukraine.
Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.
Silaha kubwa zilizotumika leo: ukituma Mi-8s na Ka-52s unakutana na MANPADS na short range air defence systems, ukituma tanks ardhini unakutana na Uturuki au Poland wanazo German made Leopard 2 na ATM za kutosha. Ukija na Sukhoi na MiG haziko stealth hata bila ground radar Poland wakinyanyua AWACS mbili tu angani zinatoa mwongozo wa fighters zao kushambulia adui akiingia anga lao. Russia ikitumia artillery, self propelled howitzers na MRLS kama Smerch, Uragan hao members wa NATO karibia wote huwa wana counter battery radars. Kitu pekee ambacho Russia ana edge ni missiles hizo Kalibr zilizotumwa kama 160 hivi. Russian navy ilikuwa na meli zaidi ya 12 baharini na imeteka mji wa Maliupol na navy base ya Ukraine. Meli zinaleta shida kiasi, hakuna ASM za range kubwa ila landing crafts zitazuilika. Kuna nchi kibao hapo zinaweza hold more than a month zikivamiwa na Russia.
Ukraine sio level za Urusi na haina silaha za kutosha, wala sioni kama ina mobilization ya maana, kwanza jeshi ni 160,000 hivi ukiongeza na reserve wasiofika milioni moja. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa. Naamini wakishindwa wataweka craters kwenye runways ili ndege za Urusi zisitue hapo.
Siwezi ilinganisha Russian na Marekani, ikitokea vita kati yao doctrine zao zinaonesha kabisa kwamba Russia atakuwa na defensive position na US atakuwa na offensive position. Hatotokea mwanajeshi yeyote wa Urusi aingie ardhi ya Marekani. Kwa mfano atapita wapi na kwa kutumia nini?
Kuhusu nuclear capabilities achana na idadi ya warheads sema nuclear delivery systems, preemptive strike capability na response. Hawazidiani sana idadi ya makombora na hawahitaji kutumia hata robo yake kumaliza vita.
Vita ya Russia vs USA haipo. NATO vs Russia haipo zitakuwepo operations za kuunga mkono au kumpinga third party
Any update ya hii vita, mambo yapoje?[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
Sio kwamba mrusi kaingia vile kutokana na jinsi myukrein alivyo, sasa kama Ukraine haiko imara saana ya nini kutumia miguvu mingi zaidi.. Mrusi aamue kufanya lake kisha mpoland ammzuie, masihara hayo mzee, mtu mwenye nguvu ya kijeshi namba 2 duniani jnamdharau kiasi hiki, acheni ushabiki.Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.
Silaha kubwa zilizotumika leo: ukituma Mi-8s na Ka-52s unakutana na MANPADS na short range air defence systems, ukituma tanks ardhini unakutana na Uturuki au Poland wanazo German made Leopard 2 na ATM za kutosha. Ukija na Sukhoi na MiG haziko stealth hata bila ground radar Poland wakinyanyua AWACS mbili tu angani zinatoa mwongozo wa fighters zao kushambulia adui akiingia anga lao. Russia ikitumia artillery, self propelled howitzers na MRLS kama Smerch, Uragan hao members wa NATO karibia wote huwa wana counter battery radars. Kitu pekee ambacho Russia ana edge ni missiles hizo Kalibr zilizotumwa kama 160 hivi. Russian navy ilikuwa na meli zaidi ya 12 baharini na imeteka mji wa Maliupol na navy base ya Ukraine. Meli zinaleta shida kiasi, hakuna ASM za range kubwa ila landing crafts zitazuilika. Kuna nchi kibao hapo zinaweza hold more than a month zikivamiwa na Russia.
Ukraine sio level za Urusi na haina silaha za kutosha, wala sioni kama ina mobilization ya maana, kwanza jeshi ni 160,000 hivi ukiongeza na reserve wasiofika milioni moja. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa. Naamini wakishindwa wataweka craters kwenye runways ili ndege za Urusi zisitue hapo.
Siwezi ilinganisha Russian na Marekani, ikitokea vita kati yao doctrine zao zinaonesha kabisa kwamba Russia atakuwa na defensive position na US atakuwa na offensive position. Hatotokea mwanajeshi yeyote wa Urusi aingie ardhi ya Marekani. Kwa mfano atapita wapi na kwa kutumia nini?
Kuhusu nuclear capabilities achana na idadi ya warheads sema nuclear delivery systems, preemptive strike capability na response. Hawazidiani sana idadi ya makombora na hawahitaji kutumia hata robo yake kumaliza vita.
Vita ya Russia vs USA haipo. NATO vs Russia haipo zitakuwepo operations za kuunga mkono au kumpinga third party
😃😜😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukweli wa pro ameka [emoji1787][emoji1787]