Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Yaani uupate mradi huo kwa kusimika anguko la taifa lako la kuikaribisha NATO malangoni uje kuteketea baada ya miaka 100....Ameamua akose huo mradi
Putin yuko sahihi.....🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani uupate mradi huo kwa kusimika anguko la taifa lako la kuikaribisha NATO malangoni uje kuteketea baada ya miaka 100....Ameamua akose huo mradi
,.Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.
Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.
Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.
Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.
Vita sio lelemama aisee
Tamaa+ Ujinga wa viongozi wao.....Mji mkuu wa Ukraine tayari upo chini ya Russia na mavifaru yanakatiza yapendavyo. Haka kanchi kaliingizwa kingi vibaya mno
Mjerumami anamjua vizuri Mrusi, alichofanyiwa Stalingrad hatawahi kuasahau.Duh..
Ila Marekani mnafiki sana...
Hakuna jeshi alikopeleka....ule makala wote imebaki vikwazo, vikwazo, vikwazo...
UK anabweka tu ....France macron kimya.
Germany amekuwa mjanja tangu mwanzo...
Vikwazo vinakuumiza na wewe mwenyewe....hivi ni chance kwa CHINA kuchangamka
bado hajaukana ila ana uraia wa Israel, russia na ureno nimesoma twiter jamaa kasepa zake urusi wabunge wa uingereza wanataka wamtemeshe asset zake zote anazomiliki uk kisa ukaribu wake na putinMuache uongo....lini ulisikia kaukana uraia wa urusi?
Hakika....👍Mjerumami anamjua vizuri Mrusi, alichofanyiwa Stalingrad hatawahi kuasahau.
Tatizo sisi Wabongo tunapenda ushabiki maandazi, vita Haina maana ni kupoteza watu, nguvumali na pesa Putin Kwa umri alionao Hana Cha kupoteza ila historia itamhukumu kutoka Rais Bora wa Russia Hadi kuifumbukiza kwenye matatizo ya Dunia tuombe uzima tutaona mengiKuwa super power, kuna mambo mengi ambayo bado USA, anayo na ataendelea kuwa nayo kwa miaka mingi sana!!!hivi unafikria NATO, na wao wangekuwa na akili za putin, nini kitatokea duniani kwa sasa?!! Kwa miaka hata 20 ijayo bado siioni RUSSIA,wala CHINA kuja kuwa super power, kutokana na kukosa sifa hizi, ushawishi, nguvu ya kiuchumi, nguvu ya kitamaduni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.
Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.
Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.
Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.
Vita sio lelemama aisee
Na ndio maana NATO, na nchi nyingine za ulaya, zinaona bora zitumie njia nyingine tu kwanza, kuliko kusema nazo zitumie nguvu kwani uwezo huo wanao, lakini madhara yatakuwa makubwa mno duniani, hasa kiuchumi, na nchi nyingi za ulaya zilipata fundisho kubwa kwenye ww1, hivyo hawako tayari kuona hali hiyo ikijitokeza tena!!kwani kesho waseme NATO, inapeleka majeshi yake POLAND, na watashambulia kutokea hapo, kwani belarus naye anachanganywa tu kwenye kundi la Urusi, kitatokea nini?Tatizo sisi Wabongo tunapenda ushabiki maandazi, vita Haina maana ni kupoteza watu, nguvumali na pesa Putin Kwa umri alionao Hana Cha kupoteza ila historia itamhukumu kutoka Rais Bora wa Russia Hadi kuifumbukiza kwenye matatizo ya Dunia tuombe uzima tutaona mengi
Anaanza Babu,Bibi,Baba,Mama,Shangazi,Uncle,Kaka, Wewe apo alafu Watoto 1,2,3,4,5,6..Hebu tuambie utaratibu wa kufa ulivyo.
Hii ni karata ya mwisho kuzika heshima yakeTatizo sisi Wabongo tunapenda ushabiki maandazi, vita Haina maana ni kupoteza watu, nguvumali na pesa Putin Kwa umri alionao Hana Cha kupoteza ila historia itamhukumu kutoka Rais Bora wa Russia Hadi kuifumbukiza kwenye matatizo ya Dunia tuombe uzima tutaona mengi