Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]Defense Ministry announced on June 20 that up to 30,000 Ukrainian soldiers will be trained under the EU Military Assistance Mission for Ukraine (EUMAM).

The EUMAM was set up in October 2022 with the aim of improving the training of the Ukrainian military.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
Unataka ushaidi gani tofauti na huu!?View attachment 2663386
JamiiForums2062737931.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]



[emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated 1,010 Russian invaders in the past day, as well as destroyed many units of the enemy military equipment, including 8 tanks, 15 armored combat vehicles, 23 artillery systems, 2 air defense systems, and a helicopter.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee mwenzangu awali alikuwa anaonyeshwa pa kwenda anaenda mwenyewe lakini Sasa lazima akokotwe kama ng'ombe ha ha ha !


🤷‍♂️ At first, Biden was simply told where to go. Now he is being led by the hand like a child.

At this rate, they'll be spoon-feeding him for the 2024 election

@ukraine_watch
 
Jifunze wewe kwanza unashindwa kujibu hoja, anavyoshughulikiwa rusia na putin sasa huwezi amini ndio mana unakuja hapa na frustration, si Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operation Ukraine? sasa je
Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Huna hoja yoyote ile unayoijua zaidi ya kuongea kujifurahisha.hakuna chochote unachokijua zaidi ya kufurahisha watu
Yaani huyu dogo ni kilaza mara buku zaidi...yaani huyu ni bora ya Kpizo na Vunjo aisee...!!!...hata anachoongea hakionyeshi kwamba ni mtu anaefikiria kwanza...buree kabisa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Alitakiwa asome kuanzia page ya kwanza mpaka hapo, asingekuwa analeta hoja za kipuuzi na zisizo na mashiko.

Huyu mtu kadandia treni kwa mbele hivyo ni kumpuuza tu.
 
Urusi anaifahamu vizuri ukreni kuliko ukreni anavyoifahamu urusi. Kwasasa ndani ya ukreni kila kitu kinafanywa na Uingereza na Marekani.Ndo maana hata ukiangalia taarifa za maendeleo ya vita zinatolewa na Waziri wa ulinzi wa Uingereza na vyombo vya habari vya magharibi.
 
Today is the anniversary of the downing of the American Global Hawk spy drone by the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) Aerospace Forces.

On June 20, 2019, this advanced American drone was shot down by the Iranian air defense system "Sevom e Khordad" of the IRGC Aerospace Forces after it entered Iranian territory.

Let's remember the breathtaking moments of the fall of this $150 million drone.
IMG_1510.jpg
 
Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Hawa watu bhana waajabu kweli, akileta ushahidi ni-tag mkuu nipo hapa nachoma muhndi
 
Today is the anniversary of the downing of the American Global Hawk spy drone by the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) Aerospace Forces.

On June 20, 2019, this advanced American drone was shot down by the Iranian air defense system "Sevom e Khordad" of the IRGC Aerospace Forces after it entered Iranian territory.

Let's remember the breathtaking moments of the fall of this $150 million drone.View attachment 2663458
Mwaka 2011 pia Iran walicapture drone ya US Lockheed Martin RQ-170
20230620_201722.png

20230620_202034.jpg

IMG_20230620_203038_267.jpg

Nadhani Iran wakaifanyia reverse engineering Lockheed Martin RQ-170,
20230620_201949.png

Wakaja na Shahed 191
20230620_201923.png

20230620_201937.png
 

Attachments

  • 20230620_201227.png
    20230620_201227.png
    154.1 KB · Views: 26
Ukraine hawana jeshi, hawana vifaa vita (zaidi ya hivi wanavyotegemea kuomba-omba na kupewa).
Ukraine hawana wanajeshi/wapiganaji (wanategemea mamluki wa NATO).
Ukraine haina commanding centre.
Ukraine haina makamanda wa vita (yule mkuu wa majeshi ameuliwa, Zelensky amekimbia nchi, yule mkuu wa Military Intelligence na yeye ameuliwa).

Sasa katika hali kama hiyo, huwezi sema, Ukraine wamefanya Counter-Offensive. Pale hakuna counter-offensive. Pale kuna kuvizia tu kama magaidi wanavyovizia, wanafanya ambushi, wanauliwa, wengine wanakimbia.

Kwa hiyo tutambue kuwa, hakuna counter-offinsive. Tuseme tu Ukraine wanafanya vitendo vya kigaidi, hapo unaweza kueleweka vizuri.
Huu ndio ukweli na naona west ngoma ishaanza kuwawia ngumu hii maana naona leo rais wa GERMANY [emoji629] anaiomba China [emoji630] iiombe RUSSIA [emoji635] kumaliza SMO yake huko UKRAINE [emoji1255]
Wakati wangejua RUSSIA [emoji635] hata hajawaza bado kumaliza hio SMO UKRAINE [emoji1255] acha waendelee kutiwa adabu tuuuu
 
Kwa hio mmekubali saiv mko kwenye counteroffensive sio .maana msije sema bdo pale tutaporusha picha za field [emoji23][emoji23]
UKRAINE [emoji1255] hawaeleweki na yote hii sababu ya kipigo Kule field maana Elensky kwakushirikiana na mashost zake walitutangazia kuanza kwa kaunta attack ila Leo Hanna malia anasema hawajaanza bado
Ukraine [emoji1255] acha wafe mpaka waache ugaidi
 
You have no idea, huu mgogoro nimeufuatilia for very very long time. Let me put this hii vita ina deception kibao but dont you ever underrate ukraine forces.
Vilivyokuwa hapo havikuwa vikosi vya kuchukua eneo zaidi ni ku hold tu is why nguvu yao ilikuwa ndogo. Hivi vya sasa ndio vikosi vya kuchukua eneo.
Sawa tunawapa muda mutupe matokeo ya kaunta offensive ya UKRONAZI
 
Back
Top Bottom