Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majeshi ya Ukraine yathibitisha kukomboa Storozheve, Donetsk Oblast kufanya maeneo yaliyokombolewa kufikia 7 Toka manne!
..
 
Vyuma vimetulia hapo tulii, kuna Banzoka anaweka vita na Russia kwa silaha za mkopo na kupewa.View attachment 2655694
Vifaru vyote hivi vinalenga kuua wanadamu,duh,inasikitisha na kutisha kweli kweli.Wanadamu wamekuwa waovu sana.Si ajabu kwamba Mkuu wa Moderna amesema kwa kweli tunadukua "Programu ya Maisha."
Akaendelea kusema hakuna shaka yeyote kwamba hii ni Transhumanism katika ubora wake. Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Moderna anaongeza kuseme chanjo hasa za mRNA "zinaandika upya DNA." Anauita "ubadilishaji wa mfumo wa taarifa wa DNA", na anasema "Kwa kweli tunaingilia programu ya maisha." Wow,wanakiri wazi sasa!Hii inapaswa kuwa taa nyekundu kwa kila mwanadamu mwenye hekima na busara.

Transhumanism ni falsafa iliyopotoka inayoamini katika matumizi ya teknolojia ya hali ya juu kuwageuza wanadamu kuwa viumbe visivyoweza kufa. Yaani, kukimbia kifo na kuishi milele. Zaidi ya hayo, wanataka kutumia uhandisi wa chembe za urithi kuondoa sifa zote zinazoweza kumfanya mwanadamu amjue na kumpenda Mungu. Katika miaka michache tu, Transhumanism imewageuza wanadamu wafanye mambo kinyume na mapenzi yao na ridhaa yao,kwa maana kwamba there is no more free will. Tayari mabilioni ya watu wameshadungwa na watadungwa michanganyiko ya mRNA ambayo itabadilisha kabisa mfumogeni wa mtu.
 
Finland wathibitisha msaada wote walioutoa wa mnyama tiger umeenda na maji
Screenshot_20230613-110149_Telegram.jpg
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa Marekani na Nato maana silaha zao hata wiki 2 zimeshindwa kuvumilia uwanja wa vita.zinavumuliwa kama vile mabox[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Haya sasa mnaojifanya wachambuzi, kina T-14 Armata na Himars njooni mtuambie hii ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2655667
Umshana umemehau Hapo alikazia matrekta.
 
Ukraine wanataka kuimaliza hii mechi kabla ya mwezi July, wana matumaini ya kupewa wanachama wa NATO ikiwa watagain maeneo yao yaliopotea mfano CRIMEA.

Pia kugain kwao maeneo ndio kutawapa nguvu katika meza ya mazungumzo dhidi ya RUSSIA

mwezi July kuna mkutano wa NATO
TUONGEE UKWELI TU unadhani kweli Ukraine na Wenzie wote NATO ambao wanapigana na mtu mmoja tu Russia araweza kuichukua Cremea??
 
Habari ni kwamba hii inayoitwa "counter offensive" ilizimwa na RF Spetsnaz.

Sababu ya kuwatumia hao Spetsnaz ni kwamba, Ukraine walienda/walikuwa na very special drones za kutoka US (ni drone ndogo sana), kwa ajiri ya kufanya reconnaissance.

Sasa Russia walipopata hizo taarifa za uwepo wa hizo drones, wakazitamani. Ndio wakawatuma hao Spetsnaz kwenda kuwa neutralise hao magaidi wa Ukraine.

Ukraine wanasema hata hawafahamu nini kilichowatokea, ila walishangaa tu ghafla wapo mikononi mwa Spetsnaz na tayari wameporwa silaha.

Link hii hapa:



RUSSIA FEDERATION....
 
Back
Top Bottom