Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari ni kwamba hii inayoitwa "counter offensive" ilizimwa na RF Spetsnaz.

Sababu ya kuwatumia hao Spetsnaz ni kwamba, Ukraine walienda/walikuwa na very special drones za kutoka US (ni drone ndogo sana), kwa ajiri ya kufanya reconnaissance.

Sasa Russia walipopata hizo taarifa za uwepo wa hizo drones, wakazitamani. Ndio wakawatuma hao Spetsnaz kwenda kuwa neutralise hao magaidi wa Ukraine.

Ukraine wanasema hata hawafahamu nini kilichowatokea, ila walishangaa tu ghafla wapo mikononi mwa Spetsnaz na tayari wameporwa silaha.

Link hii hapa:


 
Arey battalion waliotangaza kukukamata kijiji cha Neskuchny wamerudisha kwa muumba wao . Kijiji kimerudi mikononi mwa Russia
IMG_20230613_081141_420.jpg
 
Kama una roho ndogo usiangalie hii video maana wanajeshi wa Ukraine wamesagwa na mabomu ya Warusi hakuna hata aliyeweza kutoka kwenye iyo ambush.msafara wote zaidi magari ya kijeshi 20/umeteketea hapo hapo.

Leopard zimetelekezwa Warusi hakuna aliyebaki.hii ni hatari sana mpaka nawaonea huruma wanajeshi wa Ukraine maana wamekutana na kitu wasichokitalajia kabisa.

Hii sijui imekaaje
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa Marekani na Nato maana silaha zao hata wiki 2 zimeshindwa kuvumilia uwanja wa vita.zinavumuliwa kama vile mabox[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Haya sasa mnaojifanya wachambuzi, kina T-14 Armata na Himars njooni mtuambie hii ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
VIDEO : Baada ya alligator usiku wa kuamkia leo kufanya matusi makubwa hatimaye mnyama tiger na Bradley za kutosha zimeangukia mikononi mwa mrusi. Mizoga ndio usisemeView attachment 2655643

Daaaah.
Yaani mizoga ya wa Ukraine imetapakaa hovyo hovyo.

Hii wanayoiita Counter offensive hawatathubutu kuirudia tena.
 

Ukrainian combat vehicle crews surrender to Russia​

The soldiers reportedly laid down their arms after commanders refused to evacuate them
Ukrainian combat vehicle crews surrender to Russia – TASS

FILE PHOTO: Ukrainian soldiers ride on a BMP-1 infantry fighting vehicle in Donbass, April 2023. © Anatolii Stepanov / AFP

The crews of two Ukrainian BMP-1 infantry combat vehicles have surrendered to Russian troops near the Donbass city of Avdeyevka, TASS reported on Tuesday, citing an unnamed Russian security official.
According to the official, a member of a platoon in Ukraine’s 110th separate mechanized bridge had radioed Russian troops, requesting “medical assistance for their wounded soldiers” after commanders had “declined” to evacuate his unit.
The Ukrainian officer reportedly asked for safe passage and said that “the remainder of his units would surrender with all of their weapons, including two BMP-1s.”
Overall, 10 soldiers were taken into custody, including some with serious injuries, the Russian official said. The official added that the captured service members were receiving medical aid and were being vetted for complicity in war crimes.
READ MORE: Ukraine suffers heavy losses for small advance – Bild
Russian war correspondent Andrey Rudenko posted a video on Monday evening that allegedly showed Russian soldiers detaining the crews of Ukrainian BMP-1s. The uniforms worn by the surrendering soldiers bore markings resembling those used by Ukrainian forces.
Kiev launched its long-anticipated counteroffensive last week, attacking Russian forces in multiple areas along the front line. According to Moscow, Ukrainian troops failed to breach Russian defenses and did not achieve their goals. Several German-made Leopard 2 heavy tanks and US-made M2 Bradley armored vehicles were destroyed or abandoned during the fighting.
 
Hii vita Ukraine na NATO watakoma kulinga. Hapa kuna vifaa kibaao vilivyotekwa na Warusi akiwemo mnyama wao Leopard.


“This … technique is not so scary! Glory to Russia! Victory will be ours!"

Soldiers of the Russian army captured enemy armored vehicles, including the vaunted Leopard and Bradley. Footage from the Zaporozhye direction.

#source
 
Back
Top Bottom