Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kuna MABANZOKA watakuja mpinga Sponsor wao hapa [emoji631]
nyumbu umshana njoo huku unaitwa
Kwahiyo unazitumia kwenye jina lako pasi kujua undani wake!?Sifuri ina siri gani we jamaa! Tafadhali sana naomba niambie nijue! Nitashukuru
Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Ha ha haa watu wengi hawakua wakiijua Russia ama USSR enzi zile.Nikisomaga hizi comments za hawa watu huwa nacheka sana walifikir Russia ni Zimbabwe.
,[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya China na India Kuna kipindi walizichapa wahindi wakala makonde na fimbo za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]Vita sio ndoni kuwa baada ya round 12 inaisha...hayo mambo itaishalini.kwa sasa hayana maana yoyote....issue ni kwa muda husika unafanya nini..US kakaa Afghanstan 20 yrs, Libya tangu 2011 mpaka leo mwendo mdundo hakueleweki (12 yrs), Syria tangu 2011 mpaka leo hakujakaa sawa..(12 yrs), Chechnya operation (10 yrs), Soviet-Afghanistan ( 10 yrs)...sasa mnata mfanye vita kama mechi ya mpira aisee...tuwaache watwangane tu..
Ukraine anajichelewesha tu kusurrender....hawezi toboa hii vita....na hapo Urusi huko ni kama hakuna vita, watu wanaendelea na life kama kawa...only 3% ya GDP ndo inaendesha hilo songombingo lote, hivi ikitangazwa vita-full mobilization ikafanyika, war economy ikaanzaa kazi Ukraine atasimama kweli.. na kaishachoshwa na Wagner etc..
Ukraine atapoteza kwa maumivu sana....hivi UKRAINE hao Georgia walivyoamua kutulia tu na maisha yanasonga, Moldova yenyewe wanabweka tu.lkn.hawajafanya ujinga kama wa Ukraine..wakujaribu kutunishiana misuli..
US wapo CUBA pale-guantanamo bay..kibabe (Umesikia CUBA wameanzisha operation ya kijeshi kukomboa??)...wanajua kina-chake sio mchezo..
British wanakalia visiwa vya Argentina kusini huko-umesikoa Argentina wamepeleka jeshi kukomboa kwa miaka ya karibuni...Hapana..why?wanajua kitakachowakuta....
CHINA na India wameweka mpaka sheria kwenye sehemu wanayoigombania huko mpakani- hakuna silaha za moto.
mkipigana ni ngumi na fimbo tu...
Viongozi wa UKRAINE hawakua na hawana busara..ilibidi wajifunze nna ya kudeal na jirani yake ambaye ni mbavu zaidi yake..diplomasia...etc lkn kujifanya et wanataka kuzipanga ni upumbavu tu...
Hii dunia vitu vingi watu wanatumia akili tu, sio hisia ..ukiweka hisia unaumia..kama Ukraine
Hapo jamaa wajitafakari. Tulisha sema humu, kwamba China hawezi kumuacha Rusia ashindwe kwenye hii vita hata siku mojaHili ni Tamko rasmi
Na mfaransa ansmponda US kiainaHizi Bradley ni takataka kelele nyingi mzigoni ni Zero, silaha za NATO zinafanya kzi kwenye Banana countries [emoji23][emoji23][emoji23]
A Ukrainian military unit lost most of its US-made Bradley fighting vehicles during an offensive in Zaporozhye, the France-Presse news agency reported
Mkuu vijiji vyote walivyokuwa wameteka vimerudishwa jana na usiku wamechezea kipigo heavy na wanaendelea kuchapwa makombora mpaka muda huu.Ok,let's wait and see, ila save hii mesegi yako.
Ni maeneo gani yaliotekwa na sasa yamerudishwa tena na Russia?Urusi tangu jana mchana ilianza kukomboa maeneo ambayo ukraine iliyateka nimegundua wanajeshi wa ukraine wakiteka eneo uwezo wa kulilinda hawa hii kutokana na kipigo kikali kutoka kwa urusi
Wenyewe wanasema silaha hazina shida; tatizo ni watumiaji akina kp kipanya44 eti hawajatopea kwenye mafunzo kamili. Amerikka-NATO kweli ni Chanzo Cha Matatizo duniani.Hizi Bradley ni takataka kelele nyingi mzigoni ni Zero, silaha za NATO zinafanya kzi kwenye Banana countries [emoji23][emoji23][emoji23]
A Ukrainian military unit lost most of its US-made Bradley fighting vehicles during an offensive in Zaporozhye, the France-Presse news agency reported
Mwezi July ya mwaka gani mkuu tunaomba tuweke wazi.Ukraine wanataka kuimaliza hii mechi kabla ya mwezi July, wana matumaini ya kupewa wanachama wa NATO ikiwa watagain maeneo yao yaliopotea mfano CRIMEA.
Pia kugain kwao maeneo ndio kutawapa nguvu katika meza ya mazungumzo dhidi ya RUSSIA
mwezi July kuna mkutano wa NATO
41 km gawa kwa mita 300 = 137!!!!Mita 300 si unamuona kwenzako kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].
Bakhmut ina 41 km. Izo mita 300 sijui zinaingia mara ngapi labda mnisaidie hesabu wandugu[emoji1787][emoji1787]
Tatizo hilo41 km gawa kwa mita 300 = 137!!!!
It means Ukraine-NATO wanatakiwa kupiga kaunta-offensive 137 kama hizo ili wafanikishe malengo yao.