Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,095
- 9,755
Vinakimbia balaaKaskad" ikifanya yake leo mapema jamaa wanakimbia kama kukuView attachment 2655116
Vinakimbia balaaKaskad" ikifanya yake leo mapema jamaa wanakimbia kama kukuView attachment 2655116
Habari njemaANAITWA KA 52 HELICOPTER.
Mwamba jana kaniangushia leopard 8, vifaru vya mfaransa 3, vifaru vya msoviet na Max pro 12 ndani ya masaa machache tu.View attachment 2648832
Hata wakisema hamuwaamini BAKHMUT walitangaza imeenda mkabisha namnabisha mpaka LeoWao husema silaha flan imepigwa ila hushindwa nikuleta hata picha. Maneno hata mim naweza kuyaandika ili nifurahishe baraza na wafuasi wakanisupport.
Ngoja nieke kituoIla wabongo sisi wanafiki sana tunajenga hoja nzito kuchambua mambo yanaendelea kwenye nchi za watu ikiwemo nchi za ulaya na africa.
Ila mambo yetu ya ndani yaliyopo nchini kwetu hata hatutaki kuyajua na wala hatujengi hoja nzito tunapozungumzia masula ya ndani.
Wapo watu humu ni wabobevu wanajua mambo ya ndani ya Urusi,Marekani,china Ukraine,Kenya ,Rwanda kuanzia uwekezaji wao, akiba ya fedha zao za kigeni, siraha zao inshort KILA kitu wanakijua.
Ila ukija kwenye mambo yetu ya ndani izo hoja nzito hatuzioni.....
Mita 300 si unamuona kwenzako kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].Kwa mujib wa kipanya anakuambia mita 300 ni kubwa mnooo kivitaaa [emoji23][emoji23]
Vimeliwa na mchwa mkuu [emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani vita ya wiki moja tu anaomba vifaru vingine.vimeenda wapi walivyopewa.
[emoji722][emoji722][emoji722]Ukraine's Foreign Ministry has called on Germany to transfer more tanks and other armored vehicles for the counteroffensive
How come ? Why ?[emoji722][emoji722][emoji722]
Counter-offensive imeanza ila kwenye group comment zimekuwa chache sana sijui kuna nini kimetokea [emoji23][emoji23][emoji23]