Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani vita ya wiki moja tu anaomba vifaru vingine.vimeenda wapi walivyopewa.




[emoji722][emoji722][emoji722]Ukraine's Foreign Ministry has called on Germany to transfer more tanks and other armored vehicles for the counteroffensive

How come ? Why ?[emoji722][emoji722][emoji722]
Schoz alisema atampigia Putin simu sijui anataka kuomba msamaha baada ya kipigo kitakatifu kwa leopard zake.
 
Rais wachina Xi Jinping
anasema Waache Kulaumu China Kuhusu Mgogoro wa Ukrein
anasema Haijamsaidia Chochote Urusi Lakini Ikifikia Maamuzi yakumsaidia Mungu Hata Wasaidia Wao.
Anasema Karibu Dunia Nzima Ipo Inamsaidia Ukrein Dhidi ya Urusi
Pale watakapo Ona Kuna hatari ya Kuzuka kwa Vita Ya Dunia
hawata Sita Kuungana na Urusi moja kwa moja



Xi Jinping: “Stop blaming China. China does not help the Russian Federation, but if it decides to help, God will not help you. Almost the whole world helps Ukraine. If we see the threat of World War III, we will help the Russian Federation
Hakuna namna nyingine.
 
Ukweli utajulikana tu!!! Propaganda na Ukweli havikai pamoja!!!!!!!!!!!!!!!Angalia maneno damaged , abandoned na captured!!!!!!!!!!!!!!! Halafu jiulize je ni kweli?????


Ukraine loses 16 US-made armored vehicles, group says, but Kyiv’s forces still gain territory​



CNN —
Ukraine has lost 16 US-supplied armored vehicles in the past several days, according to open-source intelligence analysis, as the country’s military announced its forces had captured three villages from Russia in an offensive in the eastern Donetsk region.


The 16 US Bradley infantry fighting vehicles either destroyed or damaged and abandoned in recent days represent almost 15% of the 109 that Washington has given Kyiv, according to Jakub Janovsky of the Dutch open-source intelligence website Oryx, which has been collecting visual evidence of military equipment losses in Ukraine since Russia’s invasion began on February 24, 2022


Source:CNN/12/06/2023
 
💫 At the next Ramstein summit set to take place on June 15, Kyiv and Ukraine's allies will discuss the details of the "fighter jet coalition," in particular, the training of Ukrainian pilots and technicians to fly and maintain Western combat aircraft, said Defense Minister Oleksii Reznikov.
 
May be najadiliana na mtu ambaye, hafatilii yanayoendelea huko Ukraine.

Juzi tu hapo Mkuu wa Wagner PMC alisema kwamba Wagner PMC wameishiwa silaha na wanajiondoa kwenye maeneo. Then, Ukraine wakajaa, bila kujua kwamba ni mtego, wakachinjwa kama kuku.

Je, leo hii umesahau?

Vita in tactics nyingi sana. Its all about deception.

You have no idea, huu mgogoro nimeufuatilia for very very long time. Let me put this hii vita ina deception kibao but dont you ever underrate ukraine forces.
Vilivyokuwa hapo havikuwa vikosi vya kuchukua eneo zaidi ni ku hold tu is why nguvu yao ilikuwa ndogo. Hivi vya sasa ndio vikosi vya kuchukua eneo.
 
[emoji722][emoji722][emoji722]The Zaporizhia Front is now a big disinformation. For example, in the Novopavlovsk direction, the RF Armed Forces in one day recaptured all the positions previously occupied by the Armed Forces in the fields, and in some places they advanced further. At the same time, internal sources of the Armed Forces of Ukraine report that "they (the Armed Forces of the Russian Federation) in the Zaporozhye direction have significant losses."
Meanwhile, the RF Armed Forces in the Blagodatnoye, Storozhovoye, Urozhaynoye area repulsed all enemy attacks and positions previously occupied by the Armed Forces on the first line of defense[emoji722][emoji722][emoji722]



Counter-offensive imeferi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Source?
 
Schoz alisema atampigia Putin simu sijui anataka kuomba msamaha baada ya kipigo kitakatifu kwa leopard zake.
Putin: Чем я могу вам помочь, сэр?
(How can I help you, Sir?)

Scholz: Ich glaube nicht, was ich sehe! Bitte hinterlassen Sie mir nur ein Tier, den Leoparden. Töte nicht alle!
(Siamini ninachokiona. Niachie japo Leopard mmoja aseee! Usiniulie wote!)

Putin: Во-первых, тебе не совет вмешиваться. И это только начало!
(You should never have interfered in the first place. And, this is just the beginning)
 
[emoji94] Ukraine's General Staff reported on June 12 that Russia had also lost 3,931 tanks, 7,636 armored fighting vehicles, 6,471 vehicles and fuel tanks, 3,746 artillery systems, 601 multiple launch rocket systems, 362 air defense systems, 314 airplanes, 299 helicopters, 3,307 drones, and 18 boats

Unaziamini hizi data??
 
You have no idea, huu mgogoro nimeufuatilia for very very long time. Let me put this hii vita ina deception kibao but dont you ever underrate ukraine forces.
Vilivyokuwa hapo havikuwa vikosi vya kuchukua eneo zaidi ni ku hold tu is why nguvu yao ilikuwa ndogo. Hivi vya sasa ndio vikosi vya kuchukua eneo.
Mzee...na wewe unaendelea na deception.Acha tuone kinachotokea kwenye uwanja..hayo mambo ya kuna vikosi vingine...visivyokuja je, una uhakika gani??
 
Acha inyeshe tujue panapovuja[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]






[emoji722][emoji722][emoji722]On the Vremievsky ledge, active fighting.
The fighters on the ground reported that "the Makarovka settlement is under the control of the Armed Forces of the Russian Federation, a search is underway"
The enemy has been driven back.
Russian soldier fights to the end[emoji722][emoji722][emoji722]



Mkajipange tena mfanye Counter-offensive nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urusi inasema imezuia mashambulio ya Ukraine katika vijiji kadhaa vya kusini-mashariki mwa nchi hiyo vilivyokabiliwa na vita, kinyume na madai ya awali kutoka kwa vikosi vya Kyiv kwamba vilichukua tena vijiji hivyo.

Ripoti hizo zinazokinzana kutoka Kyiv na Moscow zinakuja wakati huu wachambuzi wakisema kwamba Ukraine imeanzisha mashambulio kwa kutumia silaha za Magharibi kwa ajili ya kuchukua tena maeneo yanayokaliwa na Urusi.

RFI kiswahili.
 
💫 Tobias Ellwood, the head of the U.K. Parliament's defense committee, believes Ukraine would launch a "major attack" against Russian forces in the eastern Donbas region "in the next few days."
 
Back
Top Bottom