MHP
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 121
- 218
Wanaume Wa NYOKWEE 🙄🙄🙄😆🙄😆Wanaume wanazidi kusonga tu tu[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanaume Wa NYOKWEE 🙄🙄🙄😆🙄😆Wanaume wanazidi kusonga tu tu[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Msafara hukuwa na lengo au haja ya kuchukua chochote zaidi za kuwachika akili jeshi la Ukraine na washauri wa NATO ikiwemo US ili wadhani Putin ana lengo la kuuteka na kuukalia mji wa Kiev na possibly kumkamata Zelensky, yaani hata akili za kufikiria kwamba wanajeshi 1200 wa Urusi hawawezi kuuteka mjini unao kaliwa na watu zaidi ya million nne, akili hizo Zelensky na NATO hawakuwa nazo.Ule msafari wenu wa kilometa 60 uliambulia kuchukua nini?
Hawa Jamaa ni Waongo na wote kuanzia boss wao Biden ni waongo matapeli wakubwa...Ivi ile kauli ya kusema"wanalipua ma trekta" bado ipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya mabishano Russia wameamua kuongoza Wagner group, kiongozi wa Wagner apinga:Mbinu za Prigo unazielewa lkn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] taarifa kutoka Kiev.ivi unafikiri Kiev watasema kuwa tumepigwa tunarudi nyuma.COUNTER OFFENSIVE:
Wamizi WA Kirusi wafurushwa huko
makazi ya Mararivka,Mkoa wa Donetsk, Ukraine.
...
Ila nchi nyimgine ziliendelea mapema sana. Ambulance za kumwaga wakati huku bado zinatolewa kama mitaji ya kisiasa[emoji845][emoji1255]🪖[emoji856] Kiev, railway station... waiting for a train with the wounded.
[emoji845]These come several times a day. #UkraineView attachment 2646158
Maandalizi yote Yale yanaishia kwenye Kijiji?COUNTER OFFENSIVE:
Wamizi WA Kirusi wafurushwa huko
makazi ya Mararivka,Mkoa wa Donetsk, Ukraine.
...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Kuanza kukomboa vijiji ndio ndio Mwanzo wa kukomboa wilaya na mikoa!Maandalizi yote Yale yanaishia kwenye Kijiji?
Hicho kipigo kimebarikiwa huwezi kukikwepa halafu ukasema matrekta.Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Kuanza kukomboa vijiji ndio ndio Mwanzo wa kukomboa wilaya na mikoa!
Kuna matrekta yalishambuliwa ilidhaniwa vifaru.Pia kwenye vita hasara na vifo havikwepeki especially pale unaposhambilia tofauti na unapojilindq,Kitu cha msingi maeneo yanakombolewa.Kumbuka Counter Offensive haijamaliza hata wiki mbili na tayari kuna breakthrough Kwa Ukraine!Hicho kipigo kimebarikiwa huwezi kukikwepa halafu ukasema matrekta.