Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super pawer anashindana na nature!



[emoji298][emoji298]Russian forces are denying Ukrainian residents under occupation in Zaporizhzhia Oblast access to insulin if they do not obtain Russian passports, the Ukrainian military's National Resistance Center reported on June 3.

Withholding medical services is being used as a coercion tactic to force residents in Russian-occupied parts of Zaporizhzhia Oblast to become Russian passport holders, according to the center.

Learn more: Russian forces in occupied Zaporizhzhia Oblast withhold insulin to residents who refuse Russian passports

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Mdogo wangu Kipanya

Nchini Russia kama huna proper documents huwezi survive.
Huwezi ishi kiolela Russia, kama ilivyo US.

Tena hao raia wakifanya mchezo hata chakula hawataweza kununua. Wafanye mpango wa kupata passport ya Russia haraka iwezekanavyo.
 
Hii vita wahuni walishaicheza zamani sana, zelensky ni mwanakharamu.

Na kila anayemshambikia zelensky naye ni mwanakharamu muuaji asiye na chembe ya huruma dhidi ya watu wake na jirani zake.

Kila anayemshabikia zelensky ni mwanakharamu hata kama ni baba yangu
 
Mkuu unaeleza vizuri changamoto zilizochelewa mashambulio ya Ukraine hadi sasa.
Tafadhali utueleze pia ni nini iliyozuia urusi kutumia nafasi hii nzuri kumaliza shabaha zake na kukamata maeneo yote ya Donbass??
Wapinzani wa Urusi wanasema hawana uwezo.
Ila hapa wako watu wengi wanaotueleza kila siku jinsi gani Urusi ni nchi bora duniani yenye tekinolojia za juu pamoja na uchumi bora.
Kwa nini hawatumii miezi hii ambako Ukraine haiwezi kutumia silaha zake mpya bado ???
Kwasababu nia sio kuipiga Ukrain, nia ni kuondoa ushawishi wa US na west ulioizunguka Urusi..
Urusi hataki kabisa uchafuzi wa US na West unaomzunguka...
Kwa kufanya hivi nchi zote zinazomzunguka Urusi zitarudisha imani na jirani yao Urusi baada ya kugundua kumbe mbaya wao sio Urusi bali ni ulaghai wa US hegemony around Russia borders..
 
[emoji845][emoji1255]🪖[emoji856] Kiev, railway station... waiting for a train with the wounded.

[emoji845]These come several times a day. #Ukraine
IMG_20230604_184302.jpg
 
[emoji94]General Staff: Russia has lost 209,940 troops in Ukraine.

According to the report, Russia has also lost 3,837 tanks, 7,512 armored fighting vehicles, 6,305 vehicles and fuel tanks, 3,555 artillery systems, 1,132 cruise missiles, 583 multiple launch rocket systems, 344 air defense systems, 313 airplanes, 298 helicopters, 3,175 drones, and 18 boats.
Hizi takataka za vifo feki tuliishaachana nazo kitambo humu....Huwezi kupata accurate data kwa pande zote Urusi na Ukraine..propaganda ni nyingi sana.
Sasa hivi tunaangalia matokeo tu..nani anamshindilia mwenzake na nani anachukua maeneo
 
Kwasababu nia sio kuipiga Ukrain, nia ni kuondoa ushawishi wa US na west ulioizunguka Urusi..
Urusi hataki kabisa uchafuzi wa US na West unaomzunguka...
Kwa kufanya hivi nchi zote zinazomzunguka Urusi zitarudisha imani na jirani yao Urusi baada ya kugundua kumbe mbaya wao sio Urusi bali ni ulaghai wa US hegemony around Russia borders..
Splendid indeed.
 
Governor of Russia's Belgorod Oblast Vyacheslav Gladkov claimed on June 4 that he was ready to meet the Russian anti-Kremlin militia behind the latest incursion in Belgorod Oblast.

Gladkov's comments come in response to a statement by the Russian Volunteer Corps, one of the Russian militia groups fighting on Ukraine's side.

Learn more: Anti-Kremlin militia claims to have yet another incursion in Belgorod Oblast, seeks meeting with local governor

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Ukrainian air defenses destroyed all of the missiles and drones that Russia launched at Kyiv overnight on June 4, Serhii Popko, the head of the Kyiv City Military Administration reported on Telegram.

According to Popko, all of the missiles and drones heading for Kyiv were intercepted on the "far outskirts" of the city. "For the second night in a row, Kyiv residents have not heard the sound of explosions overhead," he said.

Learn more: Kyiv official: City's air defenses intercept all incoming missiles, drones Russia launched overnight

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uwezo huo Ukraine hawana kabisa - hizo ni ndoto za mchana za Clown Zelensky and his fellow like mind.
 
Governor of Russia's Belgorod Oblast Vyacheslav Gladkov claimed on June 4 that he was ready to meet the Russian anti-Kremlin militia behind the latest incursion in Belgorod Oblast.

Gladkov's comments come in response to a statement by the Russian Volunteer Corps, one of the Russian militia groups fighting on Ukraine's side.

Learn more: Anti-Kremlin militia claims to have yet another incursion in Belgorod Oblast, seeks meeting with local governor

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ee bwana nimeona hii habari Aljazeera jioni hii.

Jamaa wameteka Askari kadhaa wa Urusi ndani ya Urusi.

Vita sasa imeingia ndani ya Urusi.
 
Mkuu unaeleza vizuri changamoto zilizochelewa mahsambulizi ya Ukraine hadi sasa.
Tafadhali utueleze pia ni nini iliyozuia urusi kutumia nafasi hii nzuri kumaliza shabaha zake na kukamata maeneo ya Donbass??
Wapinzani wa Urusi wanasema hawana uwezo. Ila hapa wako watu wengi wanaotueleza kila siku jinsi gani Urusi ni nchi bora duniani yenye tekinolojia za juu pamoja na uchumi bora.
Kwa nini hawatumii miezi hii ambako Ukraine haiwezi kutumia silaha zake mpya bado ???
Tunarudi kule kule kule nini Merikani ilishindwa vita huko VietNam wakati uchumi wake ndio ulikuwa unaongoza Dunianiin terms of GDP ukilinganisha na a tiny North VietNam,vile vile USA ndio ilikuwa na silaha za kisasa kabisa lakini ilikuwaje tena US ikashindwa na kudhalilishwa na wakulima mpunga ambao walikuwa ni maskini wakutupwa- labda tuanzie hapo.
 
Ee bwana nimeona hii habari Aljazeera jioni hii.

Jamaa wameteka Askari kadhaa wa Urusi ndani ya Urusi.

Vita sasa imeingia ndani ya Urusi.
Hizo ni propaganda za kitoto za Mataifa ya magharibi ambao hawaijui vizuri Urusi - linapokuja suala la usalama la ulinzi wa Taifa lao, Warusi wote lao moja, si rahisi mzaliwa wa Urusi hasa kujiingiza kwenye vikindi vya kigaidi, wanao fanya ugaidi wanapenyezwa na CIA,MI6 na Ukraine intel agency lengo likiwa ni kutaka kuadaa Dunia keamba kumne nfani ya Urusi kuna magaidi wanapinga utawala wa Putin - huo ni ulaghai mtupu kama kawaida yao, narudia kuwakumbusheni kwamba Warusi alisi hawawezi kufanya ujinga huo.

Kila mrusi mwenye akili timamu anajua vizuri lengo la mabeberu la kwa nini wanaitumiatia Taifa la Ukraine kujaribu kuiyumbisha Urusi kijeshi na kiuchumi and finally kujaribu kuigawa Urusi vipande pande ili finally Western multinational Companies waje wajimilikishe Russian vast natural resources - mpango wa kutaka kuisambaratisha Urusi ulikuwepo kwenye drawing boards za mataifa ya kibeberu kwa miaka mingi sana - na washangaa sijui hivi sasa wanajiamini nini kwamba wana uwezo wowote wakuifanya lolote Urusi - binafsi nawashauri Biden/NATO watafute shughuri nyingine ya kufanya na sio kujitia kutuniana misuli na Russia. At the end of the day it gonna cost Uncle SAM an arm and a leg if she will continue provoking Putin for a DUEL.
 
Hizo ni propaganda za kitoto za Mataifa ya magharibi ambao hawaijui vizuri Urusi - linapokuja suala la usalama waYaifa lao, lao moja - kila mrusi mwenye akili timamu anajua vizuri lengo la mabrbrru kutumia Taifa la Uktaine kujaribu kuiyumbisha Urusi kijeshi na kiuchumi and finally kujaribu kuigawa Urusi vipande ili Western multinational Companies wajimilikishe Russian vast natural resources - mpango wa kutaka kuisambalatisha Urusi ulikuwepo kwenye drawing boards za mataifa ya kibeberu kwa miaka mingi sana - na washangaa sijui hivi sasa wanajiamini nini kwamba wana uwezo wowote wakuifanya lolote Urusi - binafsi nawashauri Biden/NATO watafute shughuri nyingine ya kufanya na sio kujitia kutuniana misuli na Russia.
Mkuu punguza speed kwanza uandike vizuri.

Vita ipo Belgorod sasa na Mayor wa huu mji anataka kufanya mazungumzo na hao "waasi"
 
Back
Top Bottom