Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]Russia continues to suffer "significant losses" in Bakhmut, Oleksandr Syrskyi, commander of Ukraine's Land Forces, reported on June 3 following a visit with front-line troops in the embattled city.

"The enemy continues to suffer significant losses in the Bakhmut sector," Syrskyi stated on Telegram. "The [Ukrainian] defense forces continue to fight. We will win."

Learn more: Land Forces chief says Russia continues to suffer 'significant' losses in Bakhmut

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Ukrainian forces use Bakhmut as a stronghold to reduce Russia’s offensive capability and are still controlling this territory, Defense Minister Oleksii Reznikov says.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
“Plans like silence. There will be no announcements about the beginning.”

Ukraine's Ministry of Defence published a video stating that there will be no announcement of the beginning, probably referring to the upcoming counteroffensive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo umefurahia huyo jamaa yako alivyokosea? Mbona huna tofauti naye?

waislamu - Waislamu (Halafu, Waislamu wanaingiaje hapa? Acha uchonganishi, mkuu!)

^Kama ulivyofanya, na wewe utafanyiwa^ (zingatia matumizi ya koma, mkuu; because unapwaya sana.)

alitaka atake-advantage - alitaka a-take advantage

spealling - spelling

kamuonyesha - kamuonesha

hawezi aminika - hawezi kuaminika (na kadhalika!)

Yeye amekosea zaidi ya neno moja, lakini wewe umekosea maneno yote, mkuu. NATO mrudini skuli, eti.

Soma vizuri mtiririko wa thread ujue ni nani alijifanya ana PhD ya spelling!
 
Hivi Zelegway anategemea kushinda hii vita kwa strategy gani? Counter offense moja analazimika kwanza azunguke zaidi ya miezi miwili kuomba siraha, akifanikiwa anahitaji tena miezi kadhaa ya ku train watu wake namna ya kutumia hizi siraha alizopewa, then inahitajika tena miezi kadhaa ya kuandaa logistic na ku supply hizi siraha kwenda kwenye offensive. Kwa mlolongo wote huu unakuta mpango ni kukomboa eneo moja let say kwa sasa Bakhmut. Hujaongelea Mariupol, Kherson, Zaporizhia, Crimea na kwingineko. Na akili yake mbovu ya kuomba siraha na mifumo mipya kila siku hali inayompasa kuhitaji training kwa mifumo hii mipya. Akipata kipya, cha zamani hakihitaji tena. Je kwa mwendo huu si anahitaji miongo kadhaa kukamlisha lengo lake la kumuondoa kabisa Urusi kwenye maeneo yake na je ataweza kweli?
Mkuu unaeleza vizuri changamoto zilizochelewa mashambulio ya Ukraine hadi sasa.
Tafadhali utueleze pia ni nini iliyozuia urusi kutumia nafasi hii nzuri kumaliza shabaha zake na kukamata maeneo yote ya Donbass??
Wapinzani wa Urusi wanasema hawana uwezo.
Ila hapa wako watu wengi wanaotueleza kila siku jinsi gani Urusi ni nchi bora duniani yenye tekinolojia za juu pamoja na uchumi bora.
Kwa nini hawatumii miezi hii ambako Ukraine haiwezi kutumia silaha zake mpya bado ???
 
Hivi Zelegway anategemea kushinda hii vita kwa strategy gani? Counter offense moja analazimika kwanza azunguke zaidi ya miezi miwili kuomba siraha, akifanikiwa anahitaji tena miezi kadhaa ya ku train watu wake namna ya kutumia hizi siraha alizopewa, then inahitajika tena miezi kadhaa ya kuandaa logistic na ku supply hizi siraha kwenda kwenye offensive. Kwa mlolongo wote huu unakuta mpango ni kukomboa eneo moja let say kwa sasa Bakhmut. Hujaongelea Mariupol, Kherson, Zaporizhia, Crimea na kwingineko. Na akili yake mbovu ya kuomba siraha na mifumo mipya kila siku hali inayompasa kuhitaji training kwa mifumo hii mipya. Akipata kipya, cha zamani hakihitaji tena. Je kwa mwendo huu si anahitaji miongo kadhaa kukamlisha lengo lake la kumuondoa kabisa Urusi kwenye maeneo yake na je ataweza kweli?
Mkuu unaeleza vizuri changamoto zilizochelewa mahsambulizi ya Ukraine hadi sasa.
Tafadhali utueleze pia ni nini iliyozuia urusi kutumia nafasi hii nzuri kumaliza shabaha zake na kukamata maeneo ya Donbass??
Wapinzani wa Urusi wanasema hawana uwezo. Ila hapa wako watu wengi wanaotueleza kila siku jinsi gani Urusi ni nchi bora duniani yenye tekinolojia za juu pamoja na uchumi bora.
Kwa nini hawatumii miezi hii ambako Ukraine haiwezi kutumia silaha zake mpya bado ???
 
💫General Staff: Russia has lost 209,940 troops in Ukraine.

According to the report, Russia has also lost 3,837 tanks, 7,512 armored fighting vehicles, 6,305 vehicles and fuel tanks, 3,555 artillery systems, 1,132 cruise missiles, 583 multiple launch rocket systems, 344 air defense systems, 313 airplanes, 298 helicopters, 3,175 drones, and 18 boats.
 
Mkuu unaeleza vizuri changamoto zilizochelewa mahsambulizi ya Ukraine hadi sasa.
Tafadhali utueleze pia ni nini iliyozuia urusi kutumia nafasi hii nzuri kumaliza shabaha zake na kukamata maeneo ya Donbass??
Wapinzani wa Urusi wanasema hawana uwezo. Ila hapa wako watu wengi wanaotueleza kila siku jinsi gani Urusi ni nchi bora duniani yenye tekinolojia za juu pamoja na uchumi bora.
Kwa nini hawatumii miezi hii ambako Ukraine haiwezi kutumia silaha zake mpya bado ???
Ndivyo kumbe NATO amekutumeni ili kuchunguza aina na idadi ya silaha za Mrusi? ^You will hear us soon!^ ~ in Bush Jr's voice.
 
Dunia inaenda Kasi Sana mrusi ongeza kipigo
IMG-20230604-WA0035.jpg
 
Jamaa anakuambia viongozi wanafika kwa gari na treni.kwa kauli hii me naona putin katawala hio anga ndio maana hao viongozi wameshindwa kuitumia.ila ndugu yetu yeye ana jibu lake la kushangaza
emoji23.png
emoji23.png
Nakwambia wakati mwingine analytical mind yake kidogo ushangaza!! Mfano anajua kabisa kwamba Joe Biden aliwasili uwanja wa ndege wa Poland mchana lakini kwa kuogopa usalama wa Biden alipashwa kusafirishwa kwa train/garimoshi usiku eti kulinda usalama wake kawasili Kiev asubuhi asubuhi again under so called tight security we uone Wamerika walivyo wasanii kumbe Wamerika walikwisha mweleza Putin ujio wa Biden Kiev wakamuomba kwamba pasije pakatokea anincident eg Urushi kupiga mabom Kiev wakati
 
Hii kweli inafikirisha Sana , waafrika tuamke kumekucha.

‘Is that the world Institute?’ asked Solly Mapaila, the General Secretary of the Communist Party of South Africa while speaking on the role of the International Criminal Court. He reminded that the ICC has indicted 52 people since its inception, 48 are Africans and four are Russians.

Follow us:
Telegram
Facebook
 
Back
Top Bottom