Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The time will tell!
USA ANAWEZA TANGAZA VITA DIRECT NA RUSSIA. AU ZELENSKY ATAPINDULIWA KUEPUSHA AIBU YA KARNE.
 
Jamaa ame geuka na kuwa a BIG LIABILITY kwa NATO maana they have given him money , weapons and publicly stood by him and imposed Sanctions lakini bado leo hii anadiriki kusimama na Kuwatusi NATO.

STUPID snakelensky [emoji1782][emoji1782]
Mkuu Hana makosa kuwashutumu! Kwa sababu ndiyo wao wamemweka kwenye mess! Mwaka Jana alikuwa tayari kukubaliana na matakwa ya Russia lakini wakamkatalia wakasema tuko pamoja na wewe!
Sasa kwenye uwanja mapambano NATO haiko tayari kumsaidia! Silaha walizompa hazimsaidii!
Anayo haki kulalamika.
 
Then basi ni sahihi kumuita mjinga[emoji23][emoji23][emoji23]maana alishindwa kuzichanga karata zake vizuri katika inshu ndogo
Mkuu Hana makosa kuwashutumu! Kwa sababu ndiyo wao wamemweka kwenye mess! Mwaka Jana alikuwa tayari kukubaliana na matakwa ya Russia lakini wakamkatalia wakasema tuko pamoja na wewe!
Sasa kwenye uwanja mapambano NATO haiko tayari kumsaidia! Silaha walizompa hazimsaidii!
Anayo haki kulalamika.
 
screenshot_20230602-161005_-1-_-1-png.2645783

Na huyu ni mwanajeshi wa nchi gani?
 
Hili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.

Mfano mzuri ni Finland na Sweden ilipotaka kujiunga NATO Uturuki alizuia mpaka alipokubali ndio Finland wameenda zake NATO, na kuhusu Sweden bado kuna kauzibe baadhi ya nchi wanachama wa NATO akiwamo huyo huyo Uturuki bado hawajakubali iende zake NATO, ingawa kampeni zinapigwa chini chini Sweden nayo iende zake NATO

Shida ni hiyo tu.
Bado ni kazi! NATO imegawanyika kuhusu Vita hii! Nchi kama Hungary na Serbia ni washirika wa Russia,hizi zimekataa hata kutoa silaha zao kuisaidia Ukraine,nchi kama Hungary imekataa kabisa hata kuungana na EU kuiwekea vikwazo vya uchumi Russia! Kwa hiyo ni ngumu Kwa nchi zote za NATO kuwa na kauli moja juu ya kuruhusu Ukraine kuwa mwanachama wa NATO!
 
Vp mkuu unataka na wewe uende vitani 😂😂😂
Hapana. Nilifikiri naye ni mwanajeshi, maana maelezo yaliyokuwa juu ya zelensky , NATO na Putin, nikashaangaa kuona hiyo picha nikafikiri naye ni mwanajeshi.
 
Bado ni kazi! NATO imegawanyika kuhusu Vita hii! Nchi kama Hungary na Serbia ni washirika wa Russia,hizi zimekataa hata kutoa silaha zao kuisaidia Ukraine,nchi kama Hungary imekataa kabisa hata kuungana na EU kuiwekea vikwazo vya uchumi! Kwa hiyo ni ngumu Kwa nchi zote za NATO kuwa na kauli moja juu ya kuruhusu wanachama wa NATO!
Achilia Hungary na Serbia Marekani hamuamini Germany hata iweje. Unakumbuka ilikuwepo East German na west German.

Mfano wao kama North Korea na South Korea hao
 
Super pawer anashindana na nature!



[emoji298][emoji298]Russian forces are denying Ukrainian residents under occupation in Zaporizhzhia Oblast access to insulin if they do not obtain Russian passports, the Ukrainian military's National Resistance Center reported on June 3.

Withholding medical services is being used as a coercion tactic to force residents in Russian-occupied parts of Zaporizhzhia Oblast to become Russian passport holders, according to the center.

Learn more: Russian forces in occupied Zaporizhzhia Oblast withhold insulin to residents who refuse Russian passports

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Ukrainian air defenses destroyed all of the missiles and drones that Russia launched at Kyiv overnight on June 4, Serhii Popko, the head of the Kyiv City Military Administration reported on Telegram.

According to Popko, all of the missiles and drones heading for Kyiv were intercepted on the "far outskirts" of the city. "For the second night in a row, Kyiv residents have not heard the sound of explosions overhead," he said.

Learn more: Kyiv official: City's air defenses intercept all incoming missiles, drones Russia launched overnight

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wanazidi kusonga tu[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91]



[emoji298]In the Svatove direction, Ukraine’s Defense Forces successfully launched a counterattack and advanced 400 meters ahead, according to Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni za uongo kwa kweli ..ila Cha ajabu wanaolia ni walewale wakweli... Wanaopoteza ardhi ni walewale wenye source za uhakika.... Mkuu tulia usitikise Tako sindano itavunjikia.... Mtapigwa kama gunia la mashineni pwaaaapwaaaa na makosa sio yenu ....
Wanaume wanazidi kusonga tu[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91]



[emoji298]In the Svatove direction, Ukraine’s Defense Forces successfully launched a counterattack and advanced 400 meters ahead, according to Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urefu wa viwanja vinne, sio?
 
Hivi Zelegway anategemea kushinda hii vita kwa strategy gani? Counter offense moja analazimika kwanza azunguke zaidi ya miezi miwili kuomba siraha, akifanikiwa anahitaji tena miezi kadhaa ya ku train watu wake namna ya kutumia hizi siraha alizopewa, then inahitajika tena miezi kadhaa ya kuandaa logistic na ku supply hizi siraha kwenda kwenye offensive. Kwa mlolongo wote huu unakuta mpango ni kukomboa eneo moja let say kwa sasa Bakhmut. Hujaongelea Mariupol, Kherson, Zaporizhia, Crimea na kwingineko. Na akili yake mbovu ya kuomba siraha na mifumo mipya kila siku hali inayompasa kuhitaji training kwa mifumo hii mipya. Akipata kipya, cha zamani hakihitaji tena. Je kwa mwendo huu si anahitaji miongo kadhaa kukamlisha lengo lake la kumuondoa kabisa Urusi kwenye maeneo yake na je ataweza kweli?
 
Back
Top Bottom