Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa ame geuka na kuwa a BIG LIABILITY kwa NATO maana they have given him money , weapons and publicly stood by him and imposed Sanctions lakini bado leo hii anadiriki kusimama na Kuwatusi NATO.

STUPID snakelensky [emoji1782][emoji1782]
Amevamiwa lkn
 
Wanajamvi naona siku zinavyozidi kwenda nguvu ya urusi katika kupigana na Ukraine ni kama Urusi pumzi inawakatikia .

Yaani lile dude kubwa la urusi tuliloaminishwa na Putini ndilo hilo linachezewa sharubu hivi??[emoji2][emoji2]

Moscow kupigwa na ndege zisizo na rubani za Ukraine hii inaonesha Nato wanakaribia malengo yao ya kuimaliza Urusi kiuchumi na kijeshi.


Na bwana Putin nae eti analalamika kwanini Ukraine inaishambulia Urusi kwenye mji wake mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]

Upande wa pili kule Finland [emoji1103] ilishajiunga na NATO.

Nauona mwisho wa taifa la Urusi, pia huyu Putini anaweza kufa kifo kibaya sana cha aibu kama Gadaf wa Libya aise
Ikitokea njoo uni-quote...ikiwa kinyume ujitoe humu jamii forum..maana ww sio great thinker...hufikiri zaidi
 
Mkuu si ana-protest,na stripping ni aina moja ya protest! Unajua,mimi sina hakika ya kile huyu jamaa alichokuwa anafikiria kichwani mwake,lakini Vita ya Ukraine ina dimensions nyingi sana.Watoto wa Ukraine wanagemwa Adenochrome,viungo vyao vinanyofolewa na kuuzwa.Biashara ya viungo vyao binadamu Ukraine ni kubwa sana.
Damu ya watoto wa Ukraine inagemwa inauzwa,watoto wa Ukraine wanauzwa na kupelekwa kwenye madanguro ya ukahaba,Vatican yenyewe ina tuhuma za kutoa watoto kafara,sasa sijui wengine wanatoka Ukraine?So mambo ni mengi,lipi linalomfanya huyu jamaa a-protest sijui, kama ni yote niliyotaja sijui.Ila nadhani kwa ufahamu wake finyu, anadhani Pope anaweza kukomesha matatizo ya watoto wa Ukraine,kitu ambacho si kweli,kwa kuwa kwa siri Upapa una mkono wake katika mambo hayo.
Umesema kweli kaka,mm nachojua hivi vita mwisho wake utaamuliwa binadamu wachague nan waabudu,this is spiritual war, na ni lzima watu wachague kati ya Mungu,au ibilisi
 
Wanajamvi naona siku zinavyozidi kwenda nguvu ya urusi katika kupigana na Ukraine ni kama Urusi pumzi inawakatikia .

Yaani lile dude kubwa la urusi tuliloaminishwa na Putini ndilo hilo linachezewa sharubu hivi??[emoji2][emoji2]

Moscow kupigwa na ndege zisizo na rubani za Ukraine hii inaonesha Nato wanakaribia malengo yao ya kuimaliza Urusi kiuchumi na kijeshi.


Na bwana Putin nae eti analalamika kwanini Ukraine inaishambulia Urusi kwenye mji wake mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]

Upande wa pili kule Finland [emoji1103] ilishajiunga na NATO.

Nauona mwisho wa taifa la Urusi, pia huyu Putini anaweza kufa kifo kibaya sana cha aibu kama Gadaf wa Libya aise
Moscow ya wapi?
 
Mkumbuke counter offense bado. Mtapata kipigo cha mbwa mwizi!
Ukrainian army’s offensive attempt failed — Russian Defense Ministry

The adversary’s objective was to break through Russian defense on the most vulnerable front sector, in its opinion, official spokesman of the Russian Defense Ministry Lieutenant General Igor Konashenkov said
"Ukrainian army’s offensive attempt failed — Russian Defense Ministry - Military & Defense - TASS" Ukrainian army’s offensive attempt failed — Russian Defense Ministry
 
Units of the Western Military District and the Federal Security Service’s (FSB) Border Service thwarted Ukrainian saboteurs’ attempt to cross a river near Novaya Tavolzhanka in the Belgorod Region, the Russian defense ministry said on Sunday.

"On June 4, 2023, border protection units of the Western Military District and the Border Service of the Russian Federal Security Service exposed an attempt by a sabotage and reconnaissance group of Ukrainian terrorists to cross the river near the settlement of Novaya Tavolzhanka in the Belgorod Region," it said, adding that an artillery strike was delivered at them, forcing them to retreat.
 
Hili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.

Mfano mzuri ni Finland na Sweden ilipotaka kujiunga NATO Uturuki alizuia mpaka alipokubali ndio Finland wameenda zake NATO, na kuhusu Sweden bado kuna kauzibe baadhi ya nchi wanachama wa NATO akiwamo huyo huyo Uturuki bado hawajakubali iende zake NATO, ingawa kampeni zinapigwa chini chini Sweden nayo iende zake NATO

Shida ni hiyo tu.
Zelensky hakuwa kusitasita kujiunga na nato ni kitu alikuwa ana kita kwa muda mrefu hila movement zake zote russia alikuwa anaziona na alivyoona anakaribia kujiunga akamuwahi
 
1685936351171.png
 
Back
Top Bottom