Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Kama hakuthubutu kutumia nukes kipindi kile alipokuwa na uwezo wa kupiga mikwara na ikasikika, sidhani kama itakuwa Leo hii,Kuna mtu atatumia Nuke
www.rferl.org
Geresha hiyo, lengo ni kuwaingiza kingi NATOKiongozi wa Wagner agoma kutii tamko la waziri wa ulinzi wa Urusi:
....
![]()
Wagner Chief Refuses To Obey Decree In Latest Spat With Russian Defense Minister
Yevgeny Prigozhin, the founder of the notorious Wagner mercenary group, said he will not obey a new Russian Defense Ministry decree obliging all volunteer formations to sign a contract directly with the ministry in his latest spat with the nation’s military leadership.www.rferl.org
Ukiwa proRussia wa mchongo lazima ujitoe ufahamu ili kutetea Kila Kitu!Geresha hiyo, lengo ni kuwaingiza kingi NATO
Ni kichaa tu anayeweza kusema kwamba Ukraine atarudisha maeneo yakeMdogo mdogo bila kelele tutafika tunapotaka.
Ni swala la muda tu
Mashoga Wana bendera yao yenye rangi zote zilizopo kwenye upinde wa mvua! Hata hivyo, tunaweza sema hivyo pia wanapindwa!Naomba kuuliza chief. Ivi neno upinde limetokana na neno kupindwa? Au Lina maana gani
Mbinu za Prigo unazielewa lkn?Ukiwa proRussia wa mchongo lazima ujitoe ufahamu ili kutetea Kila Kitu!
Ok,let's wait and see, ila save hii mesegi yako.Inasemekana
Ukraine inakaribia fika katika The Best and Heavily Fortified Defense ever built in the world,
Ukraine wakifanikiwa kuipita hiyo defence ya 10km ndo mwanzo wa wao kuelekea melitopol na Zaporinzhnzhia itakuwa imechukuliwa yote
Na watafanikiwa tu Mkuu.Inasemekana
Ukraine inakaribia fika katika The Best and Heavily Fortified Defense ever built in the world,
Ukraine wakifanikiwa kuipita hiyo defence ya 10km ndo mwanzo wa wao kuelekea melitopol na Zaporinzhnzhia itakuwa imechukuliwa yote
Sina shaka Ukraine alijiandaa kwa muda mrefu kuyakabir yote hayo, let's wait and see!Inasemekana
Ukraine inakaribia fika katika The Best and Heavily Fortified Defense ever built in the world,
Ukraine wakifanikiwa kuipita hiyo defence ya 10km ndo mwanzo wa wao kuelekea melitopol na Zaporinzhnzhia itakuwa imechukuliwa yote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji779][emoji845][emoji779][emoji845]Second village to be liberated within one day
[emoji298]The Armed Forces of Ukraine have gained control of the village of Neskuchne in Donetsk region.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] panaitwaje iyo sehemu ebu tuambieInasemekana