Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

💫 Ukrainian forces have made advances on parts of frontline near Bakhmut, official says​

Counterattacking Ukrainian forces have advanced up to 1,400 metres at a number of sections of the front line near the eastern city of Bakhmut in the past day, a military spokesperson said on Saturday.

The advance is the latest in a series of similar gains reported this week by Kyiv near Bakhmut, which Russia said it had fully captured last month after the bloodiest and longest battle since it began its full-scale invasion in February 2022.

“We’re trying … to conduct strikes on the enemy, we’re counterattacking. We’ve managed to advance up to 1,400 metres on various sections of the front,” the spokesperson for the eastern military command said when asked about fighting near Bakhmut.

Serhiy Cherevaty, the official, said in televised comments that Russian forces were trying to counterattack but that they had not been successful, Reuters reported.

Ukrainian forces, he added, had inflicted heavy Russian troop casualties and destroyed military hardware in the area.
 
Ukraine's President Volodymyr Zelenskiy and Canadian Prime Minister Justin Trudeau attend a face-to-face meeting in Kyiv.

1686474388644.png
 
Russia wana madude mengi ya kizamani ya ajabu ajabu
View attachment 2653474
Labda nikuhoji swali dogo: Je,una habari Boeing 747 ilianza kutumika kama ndege ya kubeba passengers tangu mwaka gani mbona nyingi bado zinafanya kazi mpaka sasa karibu miaka 53.

Sasa wewe mwenzetu una taaluma yoyote ya kijeshi ya kudai eti madude hayo hayafahi, binafsi naona letter "Z" ina maana zunatumika katika vita inayo endelea huko Ukraine hivi sasa, je mnavyo dai ni za kisasa mbona karibu zote zililipuliwa na kutiwa kiberiti na silaha za Urusi mnazo dai zimepitwa na wakati - wenye macho tuliona jinsi vifaru vya Ujerumani Leopald, vifaru vya Uiingereza Challenger na vya Ufaransa vilivyo lipuliwa na na mabom ya kutega aridhini, Lacent drones, Cornet ATGM na guided shells - vyote nyanga nyanga yakiwemo magari ya deraya kutoka Merikani (bradley) wanayo sema ni impregnable kumbe wapi!!
 
Kuna unyama juzi imeufanya kwenye Iris-T ya mjerumani. AD imeundwa kudeal na drone ila umeangamizwa na drone. Lancet ni habari nyingine kabisa
Mkuu!labda utakuwa mgeni wa mambo ya kijeshi.

hujawahi kusikia kuwa S-300 za Armenia zimeangamizwa na TB bayrakar za Kituruki,

au Pantsir zikiangamizwa na popeye cruise missile za Israel kule Syria.

na S-400 za Urusi ikiangamizwa na harm missile huko Ukraine.

Mkuu tupunguze propaganda turudi kwenye uharisia kuwa hakuna AD iliyosahihi kwa 100%
 
Leta Ushahidi mana Urusi ikiwaua watu wa NATO Inaonyesha na hata bbc huwaombea msamaha wkaisingizia ni askari wastaafu.. Kumbe ni Watu wao juzi Tulipopiga makao Makuu ya Jeshi lao walikuemo..
Maajarabu ya jamiiforum!Unataka ushahidi wa taarifa kutoka kwa huyo but na wewe unaleta taarifa isiyo na ushahidi.(merely propaganda)
 
Ilishaisha zamani sana kama isingekuwa support yenu (mataifa 30!!!) Mnapigana na Wagner?? Hamuoni aibu?
Mkuu!inachanganya unasema ilishaisha zamani then statement yako ya pili unakanusha kuwa inaendelea kwasababu adua anapata msaada.pia unasema Ukraine inapigana na wagner tu japo uhalisia haupo ivyo maana kuna wengine wanasema Urusi(kama nchi)inapigana na NATO(shida ile ile propaganda)
 
Kuna unyama juzi imeufanya kwenye Iris-T ya mjerumani. AD imeundwa kudeal na drone ila umeangamizwa na drone. Lancet ni habari nyingine kabisa
Kuna baadhi ya watu hasa MK254 alikuwa ana adaa watu hapa eti Iris-T ni impregnable air defense system Warusi watakiona - sasa tangu itiwe kiberiti na Lacent drone MK254 kaingia mitini,, anaona aibu.
 
Kolabo ya Geran drone, Iskander K na Iskander M juzi imefanya matusi kule Poltava. Base yenye Mig-29 na Su-24 imebomolewa na ndege zilizokuwepo zikatiwa kiberiti pia underground depot za mafuta na siraha ziliteketea. Hesabu ilikuwa hivi
1: Geran drone na Iskander K(cruise missiles) zinashambulia surface facilities na objects. Hapa Mig-29 na Su-24 zilikula kiberiti. Wanafanya hivi kwa sababu Mig-29 zinatumika ku launch HARM missiles ambazo kazi yake ni kuharibu radar za AD za Warusi hili likifanikiwa Su-24 zenye Storm shadow zinafuatia kuharibu kila kitu kilichokuwa kinalindwa na AD. Kwahiyo kuharibu hizi ndege aina 2 zikiwa base maana yake unawafanya Ukraine kukosa rasrimali muhimu za anga kutekeleza counter offensive yao.

2: Iskander M hua inaingia kazini Warusi wanapohitaji kulipua target kubwa hasa zilizo underground maana mzigo una mlipuko sio wa kawaida. Hizi zilitumika kulipua underground depot za mafuta na siraha. Hii inafanyika kuwanyima supply ya nishati na siraha kina Mig-29 na Su-24. Kwamba hata ndege zilizosalimika kwenye shambulio la namba 1 hapo juu bado haziwezi kuingia mzigoni maana hakuna mafuta wala siraha. Ila pia uwepo wa rapid setting cement unafanya kushambulia na kuharibu run way kuwa sawa na kupoteza muda na rasrimali maana runway zinarekebishwa haraka kuliko hata muda uliotumia kupanga na kushambulia run way yenyewe so option sahihi inabaki ni kushambulia ndege zenyewe na hifadhi ya mafuta na siraha.

Pro Nato endeleeni kusubiri counter offensive ambayo inabomolewa kila ikipangwa
 
Hawa ni Chechnya wanasubiri mafuta kutoka Kigoma ili waingie mstari wa mbele kwenye SMO. Nawatakia safari njema.


The head of Chechnya Ramzan Kadyrov:

"In our region, two new regiments of the Ministry of Defense "AKHMAT-Russia" and "AKHMAT-Chechnya" were formed from experienced fighters, which will very soon go to the SMO zone"

@thecoppermountain
 
Hawa ni Chechnya wanasubiri mafuta kutoka Kigoma ili waingie mstari wa mbele kwenye SMO. Nawatakia safari njema.

View attachment 2653737
The head of Chechnya Ramzan Kadyrov:

"In our region, two new regiments of the Ministry of Defense "AKHMAT-Russia" and "AKHMAT-Chechnya" were formed from experienced fighters, which will very soon go to the SMO zone"

@thecoppermountain
Si ajabu kila kukicha US inamuota Mrusi. Dah! Mpaka nimemwonea huruma mtoto NATO na kiranja wake Marekani.
 
Mkuu!inachanganya unasema ilishaisha zamani then statement yako ya pili unakanusha kuwa inaendelea kwasababu adua anapata msaada.pia unasema Ukraine inapigana na wagner tu japo uhalisia haupo ivyo maana kuna wengine wanasema Urusi(kama nchi)inapigana na NATO(shida ile ile propaganda)
Hujaelewa! Nchi shida sana hii, kiswahili kigumu, kiingereza kigumu shida tupu!

Nilichomaanisha ni kwamba, kama si kwa msaada wa mataifa 30 kuisaidia Ukraine hii vita ilikuwa imeisha kitambo kama Putin alivyokadiria! Bahati mbaya wazee wa upinde wamechachamaa kumsaidia mwenzao! Kilichoifikisha hii vita hapa ni msaada wa wana upinde!
 
Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !

Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,



[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahyo hayo Mataifa ndio yanapiga NATO 32+?
 
Hujaelewa! Nchi shida sana hii, kiswahili kigumu, kiingereza kigumu shida tupu!

Nilichomaanisha ni kwamba, kama si kwa msaada wa mataifa 30 kuisaidia Ukraine hii vita ilikuwa imeisha kitambo kama Putin alivyokadiria! Bahati mbaya wazee wa upinde wamechachamaa kumsaidia mwenzao! Kilichoifikisha hii vita hapa ni msaada wa wana upinde!
OK!Kwahiyo mkuu unataka kusema Urusi alipanga kuivamia Ukraine huku akijua kuwa hatasaidiwa.na kama alijua basi kauli yako ni batili means alipanga kuipiga Ukraine hata kama itasaidiwa na bila kujali muda atakaotumia hata kama miaka 10(so statement yako bado ni batili kwamba bila misaada Urusi angeshamaliza oprn otherwise useme hakujipanga kukabiliana na misaada ya siraha,pesa na ya kisiasa namna hii ndio maana ameshindwa kumaliza mpaka sasa)
*Mkuu usinishambulie mimi ila shambulia hoja!
 
Back
Top Bottom