Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Leo Zelenksyy hajalilia kupata huruma kwenye Fainal ya UEFA? Anapenda sana kuuza sura huyu BANZOKA
Tuliwambia kuwa URUSI sio zimbambwe ila hamkutaka kutusikia.
Cheki Lancet ilivyondoka na Leopard Tank
Mkuu!elewa nilisema miji tajwa pale juu,soma tena!Soledar ipo nchi gani maana ni mji ambao Warusi waliuchukua ila hatujui walichukua kutoka kwa nani
Dah aisee Urusi Iko juu sana kwa tech.yaani Ukraine kuishinda nchi yenye uwezo huu inajidanganya.Hebu ona waukrein waliopima maji Kwa urefu wa ulimi walivyochambuliwa kama karanga.
View attachment 2652742
🇷🇺🔥💥🇺🇦 Footage of a recent"probing attack"failed attack by the Armed Forces of Ukraine to storm the positions of the Russian Armed Forces in the area of Lobkove, Zaporozhye region,AFU retreats at the end.
@DDgeopolitics
Dah historia inataka kujirudia?Ngoja tuone mpaka mwisho.View attachment 2652894
Aisee! Hali tete!Scholz said he plans to talk to Putin in the near future.
Noma sana Hawa wasovietWenyewe wanamwita alligator 🐊
Yaani NATO yoote akili zao zimeishia hapo....wanaratibu vita wanatuma silaha..wanatuma magenerali wao wooote kupanga vita wanatishia ooh Counter Counter kumbe Counter ya bia shenziiii mbavvuuuuu...pigaaaa hao mashogaaa..Yanapigwa sanaDah aisee Urusi Iko juu sana kwa tech.yaani Ukraine kuishinda nchi yenye uwezo huu inajidanganya.
Leo ndio nimeamini kua Urusi inaionea huruma Ukraine na ndio maana smo inaenda taratibu.
Hebu tazama picha hiyo Urusi anawachambua wanajeshi wa Ukraine vile anavyotaka,anachagua ampige nani amuache nani.hana haraka..
Aisee ukaraine hawezi kuishinda urusi.anapoteza watu wake TU.
Ha ha haa,umenikosha sana mwamba.Mwenzake (macron) ana mwaka mzima anasubiria majibu ya putin.
Ukiwa na nguvu unakuwa jeuri bwana wee!!
Halafu nyingi ni za mafumbo ambayo hata yeye mwenyewe hawezi kuyafumbua,😂😂😂😂Siku hizi comments za HIMARS mbona ni fupi fupi sana halafu hazieleweki? Msaada tafadhali
Kwa kifupi zaidi ya 3/4 ya alowaasa waweke silaha chini wote wameshaliwa vichwa,Hawa wanaopigana Sasa hivi ni wapya😞Putin aliwaMbia mwanzoni kabisa Askari wa Ukraine waweke silaha chini, wakaziba masikio!!! Sasa wavune malipo ya ubishi na jeuri!
Ha ha haa.Yaani NATO yoote akili zao zimeishia hapo....wanaratibu vita wanatuma silaha..wanatuma magenerali wao wooote kupanga vita wanatishia ooh Counter Counter kumbe Counter ya bia shenziiiiji mbavvuuuuu...pigaaaa hao mashogaaa
Kuna jeshi la M7 pia anataka kwenda kulinda amani hahaHa ha haa.
Wakijichanganya TU kuingiza pua zao mazima,kiduku anapiga jaramba,jeshi la ukombozi la china haliko mbali,jeshi la Ayatollah wa Iran halitaki masihara.
Aisee Dunia itafutuka.
NAPANDISHA MJENGO ODDESSA
Russia ndo anachotaka kuondoa hili tatizoAmerica has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”
Ilishaisha zamani sana kama isingekuwa support yenu (mataifa 30!!!) Mnapigana na Wagner?? Hamuoni aibu?if so, you could have finished the so what your calling "military operation in Ukraine".
Na huo ndiyo uanamume Sasa! Wanaume waliambiwa watakula kwa jasho!!!America has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”