Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,546
- 4,327
West now sijui wana hali gani wakati huu wakishuhudia kila silaha ya mrussi inaweza kuripua tanks na armored vehicles zao.
Kuanzia lancet, kornet, ka 52 plane ndo balaa kabisa wakiisikia mlio wake hata kwa mbali wanakimbia wanaacha tanks zao [emoji28]
Kuanzia lancet, kornet, ka 52 plane ndo balaa kabisa wakiisikia mlio wake hata kwa mbali wanakimbia wanaacha tanks zao [emoji28]