Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anavyodeal na issues ya Belgorod ni kama mwanaume anavyodeal na siafu aliyeng'ata kwenye pumbu, kule Belgorod Kuna maumivu makali lakini vyombo propaganda vya urusi vinashindwa jinsi ya kuripoti hii incidence,

Ni sawa na kujitangaza kwamba una kaswende au gonorrhea,[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Una"report" kutokana Belgorod sehemu gani mkuu?
 
America has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”
Putin huwa analalaika sana kuwa USA ana print hela pasipo kufuata kanuni za kiuchumi na kuzipeleka kufadhili vita.

By the way,the whole idea ya point ya uchumu duniani imebase kwenye mikopo.
 
Mkuu hata Tanzania tuna madeni ya ndani karibu Trillion 35 hivi yanayotakiwa yalipwe kwa Tshs kwa hiyo unataka kusema tu print hela tulipe hayo madeni?
Tanzania hatuprint hela wenyewe, Tunaprintiwa Ulaya/Marekani.

Pia tofautisha kuingiza hela yote hio kwenye Circulation yako na kukopesha/kulipa madeni nchi nyingine.

Issue ya kuprint na Madeni ishaongelewa sana tu.

Hapa jamaa kaelezea vizuri isome

 
Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !

Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,



[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah aisee Urusi Iko juu sana kwa tech.yaani Ukraine kuishinda nchi yenye uwezo huu inajidanganya.
Leo ndio nimeamini kua Urusi inaionea huruma Ukraine na ndio maana smo inaenda taratibu.
Hebu tazama picha hiyo Urusi anawachambua wanajeshi wa Ukraine vile anavyotaka,anachagua ampige nani amuache nani.hana haraka..
Aisee ukaraine hawezi kuishinda urusi.anapoteza watu wake TU.
Putin hataki tena kuua Waukraine! Anachambua Makamanda ndio wanauliwa.
 
Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !

Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,



[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na Urusi anapigana na nani we kenge? Unakera sana wewe! Utakuwa una msongo wa mawazo!
 
Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !

Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,



[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huoni kama unajitukana chief? Tunaomba na wewe urekebishe statement yako, usiseme Ukraine anapigana!!!! Taja NATO, UKRAINE na washirika wake wote! Utakuwa umeepuka tusi la ujinga!
 
Back
Top Bottom