Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji779][emoji845][emoji779][emoji845]Second village to be liberated within one day



[emoji298]The Armed Forces of Ukraine have gained control of the village of Neskuchne in Donetsk region.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani nguvu yote ile ya counter offensive ni kwa ajili ya kuchukua kijiji.

Yani vijiji mnavipata kwa kutumia gharama kubwa ambayo haijawai kuonekana toka dunia kuanza.
 
Huko Kwa Biden Nako

20230611_213655.png
 
[emoji845][emoji779][emoji845][emoji779]Third village to be liberated within 24 hours


[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces have liberated the village of Makarivka in the Donetsk region from Russian invaders, Ukrainian Deputy Defense Minister Hanna Maliar has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Geresha hiyo, lengo ni kuwaingiza kingi NATO
NATO akili za kumsoma vizuri Prog. hawana kabisa - juzi juzi hapa NATO pamoja na Jeshi la Ukraine wakaingizwa king na propaganda za Prog kwamba. Warusi hawana tena nguvu ya kupigana ndio maana wamekimbia wote kutoka frontline na kutokomea kusiko julikana - kusikia maigizo ya Prog. ndio jeshi la Ukraine likisimamiwa na baadhi ya maafisa wa jeshi la troops wa NATO wakaona huo ndio muda muhafaka ea kianzisha counter offensive babu kubwa ya kumpa fundisho Putin - sasa nini kilitokea katika mapigano hayo : NATO/jeshi la Ukraine wakapoteza eanajeshi 2,000 kwa mpigo,vifaru vyao vya Leopard, Challenger pamoja na vya Ufaransa vikatiwa kiberiti na vijana wa Urusi - Waamerika ni wajanja hawakutuma vifaru vyao deliberately kwa kuofia kwamba vinaweza kulipuliwa na silaha za Urusi hivyo kuvifanya vifaruvya Merikani kukosa soko Duniani - a very clever ploy - na kwa yale yaliyo tokea juzi nawahakikisheni Merikani hatapeleka kifaru hata kimoja huko Ukraine anaogopa kudhalilika.
 
[emoji845][emoji779][emoji845][emoji779]Third village to be liberated within 24 hours


[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces have liberated the village of Makarivka in the Donetsk region from Russian invaders, Ukrainian Deputy Defense Minister Hanna Maliar has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho atasema kashachukua na Crimea.ebu weka hata picha au video kama Warusi wanavyofanya maana chanzo cha taarifa kutoka kwa kiongozi wa Ukraine
 
[emoji845][emoji779][emoji845][emoji779]Third village to be liberated within 24 hours


[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces have liberated the village of Makarivka in the Donetsk region from Russian invaders, Ukrainian Deputy Defense Minister Hanna Maliar has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tumeanza Vijiji. Kesho ni Kata, Keshokutwa ni Tarafa, kesho ya kushokutwa ni Wilaya, keshokutwa ya keshokutwa ni Mikoa na hatimaye penisula ya Crimea.
 
💫 Ukrainian military confirms liberation of two settlements in Donetsk Oblast

Shortly after the Ukrainian army took control of the village of Blahodatne, another settlement Makarivka was liberated from Russian forces in Donetsk Oblast, Deputy Minister of Defense Hanna Maliar reported on June 11.

According to Maliar, the advance of Ukrainian troops in two directions in the south of the country ranges from 300 to 1,500 meters.

Around the city of Bakhmut, the Ukrainian army continued to assault Russian positions. Maliar noted that “there is success in the area of the Berkhiv Reservoir,” where Ukrainian troops advanced 250 meters.

In addition, not a single Ukrainian position was lost during the day, she said.

1686514208771.png
 
BAADA YA UKRAINE KUYARUDISHA MAJESHI YA URUSI KWA COUNTER OFFENSIVE NA KUCHUKUA BAADHI YA MAENEO JANA,LEO URUSI IMEANZA KUYARUDISHA HAYO MAENEO MOJA BAADA YA JINGINE.
[emoji845][emoji1255][emoji635] The Russian Armed forces recaptured lost territories which the Ukrainians took over night.

"We drove the Nazis out of the village of Neskuchnoe and regained control over it. The enemy is trying to evacuate their wounded, our aviation is working."View attachment 2653975

Russia huwa wanaweka Trap ya kusogea nyuma wakijua MABANZOKA ya Ukraine yatakuja kichwakichwa
 
[emoji94] Ukrainian military confirms liberation of two settlements in Donetsk Oblast

Shortly after the Ukrainian army took control of the village of Blahodatne, another settlement Makarivka was liberated from Russian forces in Donetsk Oblast, Deputy Minister of Defense Hanna Maliar reported on June 11.

According to Maliar, the advance of Ukrainian troops in two directions in the south of the country ranges from 300 to 1,500 meters.

Around the city of Bakhmut, the Ukrainian army continued to assault Russian positions. Maliar noted that “there is success in the area of the Berkhiv Reservoir,” where Ukrainian troops advanced 250 meters.

In addition, not a single Ukrainian position was lost during the day, she said.

View attachment 2654407
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kupoteza kote kule wanasogea mbele mita 300. Ebu kuweni serious hii ndo counter-offensive tuliyokuwa tunaisubiria kwa hamu au ipo nyingine
 
Back
Top Bottom