Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected