Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
Mkuu!Sorry NATO siyo mabosi wangu(rejea post zangu za awali)Kwa hiyo mabosi wako NATO ni waongo pale waliposema Russia anaishiwa na anatumia silaha za kizamani tena zenye ufanisi kidogo.
Pia sijawahi kuamini propaganda(kama una ushahidi lete post yangu ikikubaliana ya hicho unachokisema) so siwezi jibia hilo.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja,be smart!