Counter offensive hadi Nyie wamarekani mnaijua mlitegemea Mrussi hata jiandaa?
Ujinga ni mzigo,
Suprise waliyokutana nayo.....ni Russia kudefend screening zone.....
Walitegemea iwe rahisi.....
Ona sasa wanapoteza Units kabla hata hawajafikia defensive lines.....
Mkuu sio kosa lao tatizo ni umwamba alio nao Urusi.
1.Inaonyesha urusi kwanza anafanya mambo yake kimya kimya pasipo kelele au kutoa taarifa yoyote ana focus kwenye misheni yake.
Hii imewezekana kwa sababu urusi ina KILA kitu haitaji kuomba msaada wa bure kutoka popote.
Ukraine siri zake zinavuja kwa sababu hana kitu anategemeea kuomba, na sheria za kuomba kitu mahali popote lazima utoa sababu unaomba cha nini? Na kitakupa faida gani.?? Lakini pia unapokua na mlolongo mrefu wa program yako kuvuja ni rahisi.
2.Inaonekana kwa makusudi urusi anawapa taarifa za uongo za kijasusi ukraine.Mfano kuna wakati ukraine wanatumia drone za upelelzi kwenye eneo husika ila wanaona russia kwenye defense line yao kuna vifaru vitatu na wanajeshi wasiopungua 100.
Ukraine wanajua wameshapata week point ya kuingilia kumbe mzee jamaa wamejificha mahali wanasubiri wajichanganye.
3. Russia amebobea kwenye udukuzi.inaonyesha simu nyingi za makamanda wa ukraine zinadukuliwa sana.
Kudukua tu haitoshi lakini pia inaonyesha wanauwezo mkubwa wa kutafsiri walichokidukua.
Hii ni kwa sababu mara nyingi lugha za kijeshi huwa ni za siri kiasi cha kwamba hata adui akisikiliza asielewe.
4.Urusi kama superpower ana majasusi KILA mahali hata huko siraha za msaada zinakotoka Bado jamaa ana mwatchman wake.
5.Ubora mkubwa wa siraha za Urusi.
Pia urusi wanajiapdate Kila wakati in term of military technique, quality of weapons.Na daima wanachagua technique ambayo kwao haina gharama wala madhara makubwa.Vita ni mbinu , ni hakili pia ni siraha bora.
RUSSIA KEEP GOING