Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ni mtwango kwa kwenda mbele... mashambulizi 14 ya anga ya Ukraine yasambaratisha depot 3 za silaha za Urusi..

1687090106711.png

A Ukrainian soldier fires a 40mm grenade launcher at the front line near the town of Bakhmut [Anatolii Stepanov/AFP]

The air force carried out 14 airstrikes over the past day, hitting areas where enemy personnel are stationed, Ukraine’s General Staff said in a statement on Facebook, adding: “Our defenders also destroyed two anti-aircraft missile systems.”

The statement also claimed that Ukrainian missiles and artillery struck three control points, five ammunition depots and three artillery units in the past day.
 
kwa nini wanawake wa Ukraine wanapenda sana mkunyenge wa waafrika? Yaani unaweza kupanga mmoja mmoja kila lisaa na hadi uishiwe pumzi bado wanataka tu...
 
Kuna mpuuzi humu ndani aliwahi kutuhadithia
  1. Wanajeshi wa russia ni walevi, hawana uweledi wa mafunzo ya kijeshi
  2. Wanajeshi wa RUSSIA wanazidiwa kiubora na WAGNER
  3. Wanajeshi wa russia hawana uwezo wa kimapambano ukilinganisha na wanajeshi wa nchi nyengine mfano amerika, france na uingereza.
Huyo bwana kwa sasa amekimbia kwa sababu ukraine hawajapata sababu ya kujimwambafai huko vitani.

Kwa asiyefahamu huu mkon'goto Jazz band dhidi ya ukraine unaongozwa na wahuni wenyewe.

Wagner walishapewa mapumziko.
Atakapokuja nitamuuliza,
Wanajeshi wa russia bado ni legelege?
 
Kuna mpuuzi humu ndani aliwahi kutuhadithia
  1. Wanajeshi wa russia ni walevi, hawana uweledi wa mafunzo ya kijeshi
  2. Wanajeshi wa RUSSIA wanazidiwa kiubora na WAGNER
  3. Wanajeshi wa russia hawana uwezo wa kimapambano ukilinganisha na wanajeshi wa nchi nyengine mfano amerika, france na uingereza.
Huyo bwana kwa sasa amekimbia kwa sababu ukraine hawajapata sababu ya kujimwambafai huko vitani.

Kwa asiyefahamu huu mkon'goto Jazz band dhidi ya ukraine unaongozwa na wahuni wenyewe.

Wagner walishapewa mapumziko.
Atakapokuja nitamuuliza,
Wanajeshi wa russia bado ni legelege?
Kuna yule mmoja anajiita T-14 Armata[emoji23][emoji23]. Nasikia kwa sasa anapatikana jukwaa la mapishi
 
Wale wa kaunta ofwensive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️For almost a month, the "guards of the offensive" could not advance anywhere[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
They're LIKELY undergoing one of the history's major trainings for the F-16s. According to some sources, they will soon bounce back and mount a successful long-awaited counteroffensive.

All that has just transpired is simply a probing exercise against the enemy. Much more to come! The Russians may crush our counteroffensive, but as we said it earlier regarding the Leopard tanks, this too will forever remain ^in our hearts!^
 
Mkuu HIMARS , hivi umejigundua kwamba utoaji wako wa taarifa siku hizi umezidi kuwa disconnected and lifeless? Nini kimekujiri?

Kumbe ulitegemea nchi ya vita kama NATO's Ukraine inayopambana na supapawa iweje? You're better than this, mkuu.

Afadhali ufanye marudio ya kutuchambulia ubora na ufanis wa Lancet ama Kinzhal huko field.

HIMARS umepoa! Umepoa!! Umepoa HIMARS !!!

Ni hayo tu.

cc: Mkurugenzi Mkuu Mtendaji,
Uzi wa Mgogoro Ukraine.
kp kipanya
[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin akielezea mkataba uliowafanya waondoe majeshi yake sehemu mbalimbali Ukraine kwa hiyo swali limeibiwa ni kwanini urusi iliondoka Kiev na iliondokajeView attachment 2661410
Daaah,Russia amejua kututesa!Angetuwekea huu mkeka mapema,tungeepuka wale wenzetu wanaopost msafara kwenda kiev umeishilia wapi!
West nao daaah,wakatujaza uongo kumbe wanajua kwanini ilikuwa hivyo!Aiseee
 
Nipo Odessa eneo hasa ninapoish ni siri kutokana na unyeti wa majukumu yangu


Shughul yangu ni udereva


Nasafirisha mizinga ya Ukraine
Da - Msishikaji, umetisha sana... Pole kwa kazi.. Hapo Odessa siwezi pasahau, kuna matapeli sana, kuwa makini... nilifikiri uko Kievi au Maykolaiv... kazi ni popote kwa kweli , lakini huko nyumbani watu wanalalamika kwamba hakuna kazi na wewe unapiga mzigo wa mizinga... vijana nyumbani Tanzania kuna la kujifunza... ubarikiwe na pole na kazi ya mizinga. Kazi ni popote duniani - haijarishi ni Mizinga au nini- kuchakalika tu ndio manafaniko...
 
Back
Top Bottom