Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katika makubaliano ya Helsinki Urusi ilikubali haki ya kila nchi ya Ulaya kujiunga na nchi nyingine. Hii ni sehemu ya mapatano kuhusu haki za nchi. Mapatano hayo yalikuwa msingi kwa ushirikiano na maendeleo ndani ya Ulaya.
Putin kuvunja makubaliano hayo ni sababu kwamba nchi zote za Ulaya zinaunga mkono Ukraine.
Unaandika ili mradi na wew uonekane umeandika jombaa
 
Mkuu kuhusu mfano wako tofauti ziko kubwa.
1. 1995 NATO iliingia kati dhidi ya jeshi la Yugoslavia kwa mamlaka ya Umoja wa Mataifa. Jeshi la Yugoslavia na wanamigambo yake lilichinja na kufukuza Waislamu wa Yugoslavia, jimbo la Bosnia. Umesikia habari za mauaji ya Srebenica?? (wanaume na watoto Waislamu zaidi ya 8000 waliuawa baada ya kujisalimisha).
2. 1999 iliingia kati tena wakati jeshi la Yugoslavia lilianza kuua na kufukuza Waislamu wa Kosovo. Safari hii UM hawakukubali. Ila nchi za Ulaya ziliona wimbi la wakimbizi pamoja na mauaji yaliyoendelea. NATO ilingia kwa ndegevita.

Tofauti na Donbass ambako Urusi iliandaa vikundi vilivyojaribu kuasi na pia kutuma vikosi vya jeshi, si ndege pekee. Donbass hakuna aliyaanza kuchinja watu hovyo. Pamoja na hayo Urusi iliwahi kutia saini mkataba wa Minsk ambako iliwahi kuahidi kutetea mipaka ya Ukraine, siyo kuishambulia.

Double standard iko upande wako, mkuu!
Ukisema NATO iliingia vitani kwa mamlaka ya umoja wa mataifa, huo ndio ushenzi nisiotaka kuusikia, umoja wa mataifa uliotawaliwa na Marekani


Huo umoja wa mataifa si ndio ulituakikishia Sadam Hussein anamiliki silaha za maangamizi na picha za sateraiti walizipeleka kwenye baraza la uslama la umoja wa mataifa wakati wakijua ni uwongo mtupu alafu eti leo uje utuambie eti kwa idhini ya baraza la umoja wa mataifa

Nyie watu kuweni seriously na hizo akili zenu za kukaririshwa
 
Russian President Vladimir Putin also said at SPIEF:

1. Russia has almost no contacts with the United States, but it was not Moscow that refused them.

2. Russia has never closed the door to diplomacy.


3. The West did not want to have a conversation with Russia, but "they want to, and we'll see."

4. The current challenges in the field of security will lead to the realization that it must be equal.


5. The United States, instead of contacts with Russia, has chosen to supply equipment to Ukraine, "let's burn it - let's see what happens next."


6. It would be better if the West took a different path in the situation with Ukraine, and did not pump it up with weapons, but in any case, they will not succeed.


7. NATO is being drawn into the war in Ukraine with the supply of equipment. If a decision is made to supply F-16s to Kyiv and if they are based abroad, "let's see how to hit them," this is a serious danger of further involvement of NATO.


8. Now Russia does not need to use nuclear weapons, but theoretically it is possible if a threat to the existence of the Russian state is created.


9. The West is making every effort to inflict a strategic defeat on Russia.


10. Russia will do what suits its interests, everyone will have to reckon with this.
Biden is an experienced politician, "it's not for me to teach him",
let Biden do as he sees fit, and we will do what is in Russia's interests.


11. Attacks on the Belgorod region, on the Kremlin - an attempt to provoke Moscow into serious powerful actions. It costs nothing for Russia to destroy any building in the center of Kyiv, but for a number of reasons this is not being done.


12. Sanctions do not interfere with the development of Russia, and those who try to artificially limit something suffer first of all.


13. Russia began to reorient itself to the markets of Asia, Latin America and Africa long before the situation around Ukraine, because the leaders in the economy are changing.


14. Those who say that Russia will become dependent on China have themselves fallen into it a long time ago.
Haya Kama hamjaelewa shauri yenu tumemaliza sisi saiv husikij mara kaunta mara vijiji mara seteloment husikii kimyaaaa shenzzzzz
 
Katika makubaliano ya Helsinki Urusi ilikubali haki ya kila nchi ya Ulaya kujiunga na nchi nyingine. Hii ni sehemu ya mapatano kuhusu haki za nchi. Mapatano hayo yalikuwa msingi kwa ushirikiano na maendeleo ndani ya Ulaya.
Putin kuvunja makubaliano hayo ni sababu kwamba nchi zote za Ulaya zinaunga mkono Ukraine.
Bado rudi tena ukaisome vzuri Cold war and it's outcome...!! Nenda kasome vzuri baada ya cold war NATO & RUSSIA walikubaliana nini,utaona NATO amekiuka vitu Sana kwenye ule mkataba,sisemi Russia hajakiuka baadhi ya vitu but haya yanayoendelea kwa sasa Ukraine ni matokeo ya kutoaminiana kati ya NATO na RUSSIA
 
Z

Zungumzia tunayo yaona hivi sasa kwenye
media za west. dhidi ya Putin na Urusi yenyewe achana na stori za miaka 300+ iliyo pita, ambayo kusema ukweli Russia ndio mara nyingi ilikuwa ni victim wa aggression kutoka west -nchi zama maifa ya ulaya mashariki na central Europe are simply. ungrateful bustards, bila jeshi la Urusi kuwakomboa dhidi ya majeshi ya Hitler wote hao wangekuwa wanazungumza Kijerumani hivi sasa.
Kwa nini niongee tunaoyaona kwenye media za West?
Najua hampendi kusikia habari za ukoloni wa Urusi. je wewe unaonaje Urusi iliwezaje kupanuka kutoka utemi mdogo wa Moscow hadi eneo kubwa duniani?? SIyo kwa kushambulia majirani yake kila karne? Na kukamata maeneo yao na kuyafanya makoloni yake?

Ukitaka kuelewa nchi za Baltiki (sijui kama unataka kuwaelewa?) unapaswa kutambua kwmaba hao wanakumbuka historia yao ya ukoloni wa Kirusi iliyoanza miaka 300 iliyopita na kurudiarudia...

Nchi za Ulaya Mashariki zilipaswa kujifunza Kirusi shuleni kwa miaka 45, mara walipopata nafasi walifuta Kirusi kwenye shule zao.... Hadi leo unaweza kuwasiliana na wazee kwa Kirusi, hakuna kijana aliyetaka kujifunza lugha ya ukoloni wanachagua kiingereza, kifaransa au Kijerumani.

Kwa nini nchi za Ulaya Mashariki zinaonyesha msimamo mgumu dhidi ya Urusi kushinda Wajerumani, Wafaransa, Waitalia??? Labda kwa sababu wanakumbuka historia ambayo hupendi kusikia??
 
Nadhani hiyo, ndiyo ilikuwa active kufanya uhalifu. Tusubiri reactions!

Hizi military decision centres zinapopigwa na kuwaua military planners kunafanya Ukraine azidi kudhohofika.

Pia ni ngumu kuwaweka military planners mbali sana na eneo la mapigano (kama kuwaweka huko Poland).

Kwa sababu info zikiwa transmitted inakuwa easily kuwa intercepted na jamaa wa counterintelligence
 
Hivi kama wewe ni BIDEN pamoja na wafuasi wako mtu anaongea kila silaha mtakayoleta tutaichoma utajiskiaje??. Yaani silaha zenu zote ni takataka mbele ya Russia uzuri zinachomwa na soviet made. Hizi AIBU NATO walijitakia wenyewe walichobakiza kwa sasa ni hizo ndege F-16 nknk.

NATO wako kwenye PANIC MODE kwasasa hata mambo wanayofanya unaona kabisa kama watu ambao hawajitambui, watu ambao hawana professionalsm kabisa. Kwa akili zao za kishetani wanataka kuipeleka dunia kwenye WW3, na Putin alisema asifikir U.S atakua salama hiyo ni warning kubwa sana.

Wakati mgogoro umeanza nilijua Russia hawezi fua dafu mbele ya NATO ila kumbe NATO ni overrated wamezoea kuonea Banana countries.

Inauma sana Drone ya $20,000 inachoma silaha za billions[emoji23][emoji23], hata mimi ningepanic wallahi hizi ni dharau.
Sasa kama silaha zinachomwa mbona vita aiishi mkuu,swala la propaganda lipo pande zote hata russia nao sio wakuwaamin sana
 
Ukisema NATO iliingia vitani kwa mamlaka ya umoja wa mataifa, huo ndio ushenzi nisiotaka kuusikia, umoja wa mataifa uliotawaliwa na Marekani


Huo umoja wa mataifa si ndio ulituakikishia Sadam Hussein anamiliki silaha za maangamizi na picha za sateraiti walizipeleka kwenye baraza la uslama la umoja wa mataifa wakati wakijua ni uwongo mtupu alafu eti leo uje utuambie eti kwa idhini ya baraza la umoja wa mataifa

Nyie watu kuweni seriously na hizo akili zenu za kukaririshwa
Kwani umoja wa mataifa si unaundwa na wanachama na hiyo russia n mwanachama wa umoja w mataifa kwanin isingepinga kuidhinishwa kwa uvamiz
 
Zile kelele za mashambulizi ya magaidi katika nchi ya MALI na AFRIKA YA KATI zimetoweka ghafla.

Wagner PMC wamekwenda kulinda nyumba.

Congo wanasubiria kitu gani?

Na tayari Mali imeshapeleka ombi UN kuomba waondoe wale wanajeshi wa Peacekeeping

US na France wanalalamika eti ni muhimu hao wanajeshi kuendelea kuwepo.

Mali inawaambia, mambo ya peacekeeping ni willingness ya host nation sasa nyie kwa nini mnatulazimisha kuendelea kuwepo kwa hao wanajeshi?

Hapo ndio utaelewa kwamba hao hao peacekeeping forces ndio magaidi wenyewe.
 
Check hii hapa fiscal budget ya DOD U.S.A 2024, asee hawa jamaa huwa hawakurupuki, yaani vita ya Ukraine ipo mpaka kwenye budget ya Mmarekani [emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 2660015

Dah!
Sikutegemea kama Kuna watu mna mawazo finyu namna hii,wala sikutegemea kama Kuna watu mna upeo wa chini namna hii.
Kwa maelezo Yako hapo juu ya habari uliyoikopi unaonesha kuipa sifa USA kuwa USA hua haikurupuki,aisee hapo ndio nimekutoa thamani kabisa,ingawa simaanishi kukutukana.
Nilitegemea ungekerwa na taarifa hiyo lkn naona kama umevutiwa na kufurahishwa.nadhani ni muendelezo wa kudhani kua USA Ina akili na uwezo kuliko nchi zote duniani lakini si kweli ndugu yangu.
USA inaongoza kwa propaganda na uongo kuliko nchi zote duniani na nadhani mtego huo hata wewe ndo umenasa.
Napenda kukufahamisha Kila alichonacho USA na nchi nyingine wanacho,ila wamezidiwa kw propaganda TU na USA.

Sasa kwa hiyo taarifa uliyoileta ni taarifa ya aibu kwa taifa la Marekani.
Ni aibu kwa sababu huo ni ushahidi wa wazi kua yeye ndie alie na anae chochea vita hii.

Hata hivyo napenda nikufahamishe kua pamoja na aibu hiyo lakini napenda kukuhakikishia kwa kutenga bajeti hiyo unayoisifia kwa ajili ya Ukraine Marekani AMEKURUPUKA pakubwa sana, na siku zote Marekani ndio mkurupukaji mkubwa kuliko taifa lolote hapa duniani,ila propaganda ndio Huwa zinawapumbaza nyie mnaoishabikia.

Ntakueleza.

Unajua kua Marekani pamoja na sifa zote mnazompaga kuhusu ujasusi ,je unajua kua ilikua haiufahamu vizuri uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa taifa la Urusi kabla ya vita hii?

Kwa maelezo hayo kwenye hiyo note uliyoikopi na unajua kua USA ilishapanga miaka zaidi ya minane kuiprovoke Urusi ili ipigane na Ukraine kisha Urusi ishindwe.

Kwa taarifa walizokua nazo juu ya Urusi walijua vita ikianza na kwa kua walishajipanga Hawa USA na NATO basi Urusi haitachukua muda itakua imekwisha anguka.
Lakini haikua hivyo kwa sababu kama nilivyosema hapo juu kuwa pamaoja na masifa yote mnayompa Marekani lakini hakua na taarifa za kutosha za uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa Urusi.Na pia Marekani ilikurupuka sana tofauti na unavyoisifu wewe.

Sababu zangu ni hizi:
Baada ya vita kuanza Marekani aliziamsha nchi zote za magaharibi ziiwekee Urusi vikwazo nazo kwa ujinga zikaiwekea,hapa Marekani alilenga kuharakisha kuiangusha haraka sana Urusi kijeshi na kiuchumi,nadhani mpango huu ulipangwa kabla hata ya vita huko kwenye corridor za Marekani,lakini huu ni mpango ambao Marekani alikirupuka pakubwa sana,kwa sababu nadhani wewe ni shahidi vikwazo vinawala wenyewe Sasa hivi kuanzia Marekani mwenyewe, na washirika wake.
Hii maana yake Marekani hakua na taarifa za kutosha za uchumi wa Urusi.

Kurupuko la pili.
Marekani ilitenga fedha kibao kwa ajili ya kuisaidia kijeshi Ukraine pamoja na nchi za NATO.sasa je unaweza kupima mafanikio ya fedha hizo kijeshi katika vita hii inayoendelea ?
Je Ukraine na NATO wanafanikiwa au wanapoteza?
Maana Ukraine tayari keshapoteza ardhi.
Lakini je ulishawahi kufikiria maisha ya askari na raia wa ukraine?
Je hauumiii kuona wanakufa kama nzige waliopuliziwa sumu?
Je ulishawahi kufikiria kuhusu miundombinu ya Ukraine kama miundombinu ya umeme,mafuta,majengo mazuri,vifaa vya kijeshi vya mabilioni jinsi vina yoteketezwa na Urusi?
Je bajeti hiyo imeisaidia Nini Ukraine?

Je hujawahi kusikia nchi za NATO zinavyolalamika kuishiwa silaha?,silaha hizo zinakwenda wapi?

Kwa kifupi USA ilidhani kwa michango hiyo ya silaha Urusi ingekata moto.lkni wapi Hadi Leo Urusi mambo ni shwari kabisa na inazidi kuzichoma moto silaha za NATO.hilo lilikua kurupuko la pili.

Kurupuko la Tatu.
Mara baada ya SMO kuanza USA ilipita Dunia nzima kuzishawishi,kuziamuru na kuzitisha nchi eti zisijaribu kuisaidia Urusi.
Hapa Tena inaonesha kua dhahiri kua USA haikua na taarifa za kutosha juu ya uwezo wa kijeshi wa urusi.walidhani Urusi itaonba msaada kwa nchi nyingne hasa walidhani kwa china.china ilisema Haina mpango wa kuisaidia Urusi kwa sababu Urusi inajitosheleza na kweli Urusi haijachukua msaada wa nch yoyote.
Sasa hili kurupuko la Tatu ndio limekuja kinyume na USA ,kwani nchi nyingi zimegoma kumtenga Urusi kisiasa kiuchumi na kidiplomasia,zaidi zimeamua kumtenga USA mwenyewe kwa kuanza kukataa fedha yake USD na kuanza kutamani kushirikiiana na umoja ulioasisiwa na Urusi yaani (BRICS).

Hilo lilikua kurupuko na Sasa linaila Marekani yenyewe.hebu fikiria nchi kama Saudi Arabia nayo inaikataa Marekani na kuungana na urusi.nadhani hapa intelligensia ya USA haikuona athari hii

Makurupuko mengine ya zamani.
Nakuonesha makurupuko ili kupinga hoja Yako kua Marekani hua haikurupuki.lkni USA ndio mkurupukaji mkubwa hapa duniani.

Makurupuko mengine:
Kurupuko la nne.

USA alipoona Ufaransa kachukua kichapo Vietnam akakurupuka kwenda eti akidhani yeye ataimudu Vietnam,kilichotokea wote tunakijua na historia imeshaandikwa.

Kurupuko la Tano:

Aliwachukua waasi wa Cuba akawafundisha,akawapa silaha na yeye akaongozana nao,kichapo alichokula kutoka majeshi hatari kabisa hapa Duniani ya Cuba hata kuja kukisahau,huyu Marekani huyo!

Kurupuko lla sita:

Alisema Iraq Inamiliki silaha za maangamizi,kapeleka wanajeshi wakauana na hawakukuta hata sumu ya panya.Aibu hii na imeshaingia katika historia Leo huko USA wanajuta TU.

Kurupuko la Saba:

Walikwenda kwa mbwembwe zote Afghanistan kutaka kuwaangamiza, kuwashinda na kuwatoa Watalaban madarakani.
Walikaa miaka 20 na matumizi makubwa na bajeti ya miaka 20 kama hiyo hapo uliyoweka ,matokeo yake wamarekani wakafurushwa kwa kukimbia na kuacha silaha ambazo hakuana nchi ya Afrika yenye silaha kama zile,na kichekesho kikubwa ni kwamba watalabani wamerudi madarakani.
Hili kurupuko linaambatana na aibu.

Kurupuko la nane:

Walienda Somalia,kuingilia vita za wababe wa vita wa Somalia,akina General Morgan, General Mohamed Farah Aideed na ma Warlord wengine,kitu walichofanyiwa huko ilibidi wanachi wa Marekani waandamane ili majeshi ya Marekani yarudishwa nyumbani.hili kurupuko haltakaa lisahaulike huko USA.

Aisee kwa hakika USA kakurupuka katika mambo mengi sana,na safari hii kaingia chumba Cha wacheza "chess",atatulia TU.

Kumbuka Dunia Sasa inaelekea Kwa akina BRICS,na USD Sasa inaenda kua fedha kama fedha nyingine TU,mfano Franc ya Ufaransa.
Ufalme wa USA kidunia unaenda kua wa kawaida kama wa Muswati wa Zwaziland.

Ujasusi wa USA ulishindwa kuiona nguvu ya Urusi.
Licha ya vikwazo vyote,michango yote ya silaha,Na mabajeti ya ulinzi yote lakini vyote vimeshindwa kuilemaza Urusi.

Kumbuka NATO wakiingia rasmi jua kua bila kukaribishwa China,Korea kaskazini,Iran,Syria na wengi tusiowajua wataingiza majeshi.
Sababu yangu ni ileile kua wanajua kama Urusi akishindwa na NATO kituo kinachofuata ni wao,kwa hiyo wanaona ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kufa wakiwa wamepiga magoti.

Je unadhani mziki wa Urusi,china ,Korea Kaskazini,Iran,Syria na mataifa mengine yaliyokaa kimyaa ni wa kitoto?

Hizo bajeti za USA hazitaisaidia kitu Ukraine,zaidi zitapelekea kupoteza vijana wa kiukraine TU.
 
Sasa kama silaha zinachomwa mbona vita aiishi mkuu,swala la propaganda lipo pande zote hata russia nao sio wakuwaamin sana
Haiishi sababu kila zikichomwa moto wazee wa "upinde" wanaleta furushi lingine la silaha! Kuna jamaa wanachochea vita iendelee kwa kuwapa Ukraine silaha, mafunzo na hata kuwaazimiisha wanajeshi wao!
 
Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova: Russia has information about how the West put pressure on literally every country to refuse to participate in the St. Petersburg International Economic Forum.

“The pressure was still on. We have information on how literally every country was processed. Letters were written. During the meetings they were threatened. Of course, the leaders did this - this is the United States. The atmosphere was formed in general by NATO-centric countries. instilling the idea that it is impossible to go to the forum, that they will face consequences, that the next, so to speak, package of sanctions is just around the corner, and that everyone should think carefully before participating in events on the territory of Russia," the diplomat said, responding to the relevant question.
 
Back
Top Bottom