Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.

Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.

Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.

Bye Bye [emoji112] hypersonic

View attachment 2660553

Wanazidiwa na IRAN [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.

Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.

Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.

Bye Bye 👋 hypersonic

View attachment 2660553
Mkuu heri usitegemee matangazo ya propaganda. Mbona hutafuti habari??
ona
 
Wao wasipotoshe kabisa. Hao vibubuta wanapaswa kusema kwamba WAMESHINDWA, na wala siyo kwamba wameamua kuachana na mpango huo.
 
Putin anamwaga mboga mbele ya viongozi wa afrika, amewaonyesha mpaka nyaraka ya makibaliano ya mazungumzo yaliofanyika turkey.

Munaosema russia alikimbia kiev muwe wakweli, russia aliamua kuonyesha kishika uchumba cha uaminifu.

Ndio maana putin akamuuliza yule muandishi,

Je unataka turudi tena kiev
 
Mwamba anarudi tena august, hii movie haitaki hasira pindi unapoiangalia.
PMC ni russia na russia ni PMC.
Putin chef
1687024352110.png
 
Mkuu heri usitegemee matangazo ya propaganda. Mbona hutafuti habari??
ona
Hii Habari yako uliyoweka reference ni ya mwezi April.

Mimi nimeweka habari ya Leo June 17.

Nilishakukanya Mara nyingi Sana sipendi uni quote wewe LGBTQ kwenye posts zangu. Embu basi jaribu kuheshimu ili.

Screenshot_20230617-210051.jpg
 
Baada ya kuona hiki alichozungumza Putin na viongozi wa Afrika kuhusu makubalioano waliyosaini Ukraine na Urusi akionesha na documents ambazo ndio mara ya kwanza Urusi kuzungumzia hili na mengine bado hakuweka wazi ni dhahir Urusi walikuwa tayari kuitisha SMO.
Urusi ilirejesha majeshi nyuma kutoka Kyiv na maeneo mengine ya Ukraine na wenyewe walisha kubali masharti ya Urusi ndipo NATO wakaona ni sehemu ya kutangaza ushindi kwamba Ukraine ameitoa Urusi Kyiv na kutupilia mbali makubaliano kwa kushawishiwa na west.
Matokeo NATO wakaahidi kumsaidia Ukraine na ushindi mpaka mpaka Crimea, kilichofuata:
1. ni hii aibu west wanaingia sasa kwa vifaa vyao vya kisasa kuchomwa na kutofua dafu mbele ya Urusi jambo amabalo limewaacha njia panda maana wakimtosa Ukraine mengi yataibuka na kuzidi kuishusha west na wakiamua kupambana aibu inaendelea kuwapata huku mengi yakiibuka.
2. Edogan anajua mengi na ndio sababu wamezidi kuwa na tofauti naye tangia kwene uchanguzi na mitazamo, hii inamaanisha kushindwa kwa Ukraine nato pia ipo hatarini.
3. Kilichopo tayari Ukraine imlishasaini hati halali kabisa kuhusu mgogoro huu suala ambalo vita ikisimama muda huu basi these legal docs will be used aginst Ukraine kwavile walisaini mbele ya legal brokers ambao bado wapo madarakani (Edogan).
 
Zelensky alishauriwa na viongozi wa west kuachana na mazungumzo na Russia ndio maana mazungumzo ya makubaliano ya amani yakashindikana.

Ngoja Zelensky aendelee kuharibu nchi yake.
20230617_160905.jpg
 
Foreign Minister Sergey Lavrov’s answer to a question from Rossiya 1 television channel (June 15, 2023)

Question:
French President Emmanuel Macron is very unhappy about Russia’s involvement in Africa, in particular, your actions.
He spoke at length about our country preying on anti-French sentiments and stirring them up. Unlike Russia, Paris is offering a “strategy of love.” Which strategy will we offer the African countries?

Sergey Lavrov:
We are offering the strategy of equality. Paris has a lot of work to do to get there.

I was surprised by numerous statements by President Macron and other French officials regarding what you have mentioned. These statements are unbecoming of leaders of the democratic world.

Democracy is not only for domestic consumption. The West believes it has the right to impose its domestic democratic rules on others.

The principle of the UN Charter – the sovereign equality of states – applies in the international arena.

The West has a long way to go to fulfil its obligation under the UN Charter.
 
1687026645765.png

Putin: “… here’s the document. 18 pages & addition to it. It exists. They signed it. It guaranteed Ukraine’s neutrality & as per agreement we pulled out our military from the Kiev region. But as always Kiev threw away this document into the junk-yard of history.”

He said:

The treaty w/Kiev included provisions for neutrality & security guarantees, but they threw everything out.

Kiev initialed agreement with Moscow in Istanbul, but after the withdrawal of Russian troops from near Kiev, Ukraine threw it into the dustbin of history.
 
US in secret talks with Iran - CNN

The US administration has secretly resumed indirect talks with Iran to contain its nuclear program and release American prisoners, CNN writes, citing sources.
Negotiations began last December in New York and have continued in Oman ever since.

According to US officials, the US goal is to achieve a "political truce."

In return, Tehran demands to unfreeze billions of dollars of Iranian assets abroad.
Tayari wamshaanza juzi unfreeze, juzi US alimuamuru Irag aachie zaidi ya $2 billions za Iran[emoji23]
 
Points of the plan for settling the Ukrainian crisis proposed by the African delegation at the meeting with Vladimir PUTIN:

1. The proposal must not compete with other proposals that have been put forward

2. The conflict must be resolved through negotiations and diplomacy

3. De-escalation from both countries is needed as escalation is not conducive to peace talks

4. The sovereignty of countries will be recognized in the understanding of the UN Charter on the basis of international principles

5. It is necessary to provide security guarantees for all countries

6. African countries call for the opening of the movement of grain crops and other commodities through the Black Sea

7. Humanitarian support must be provided for those affected by the conflict

8. Resolve the issue of the exchange of prisoners of war and the return of children

9. Post-conflict reconstruction is needed, which will begin after the end of the conflict

10. African countries want to see the work and processes that will lead to the end of hostilities
 
Mkuu tusiongee hewani. Taja makubaliano pamoja na jina, tarehe, kifungu yaliyovunjwa na nani. Mimi nimeleta mifano ya mikataba inayovunjwa na urusi.
Hapa ndipo sababu nchi nyingi za Dunia zinakosoa Urusi. Watu walio wengi wamejifunza kusoma.
Tatizo unataka tubishane,baada ya cold War kuna mikataba mingi Sana inasainiwa,

Mmoja wapo ni mkataba wa nuclear kati ya USA na RUSSIA,mkataba wa NATO na RUSSIA ,mkataba wa nchi za ulaya na RUSSIA !!! Nenda Google kajisomee tusichoshane hapa!!

Kama ambavyo umetafuta huu mkataba wa Ukraine na Russia unaweza pia kutafuta mkataba wa NATO na RUSSIA,kwasababu unavyonyesha nikama unakataa hakuna mkataba Kati ya NATO na RUSSiA..
 
Back
Top Bottom