Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Ukraine apigwe tu...Kabisa aendelee tu kukaa kimya
Ukraine apigwe tu...Kabisa aendelee tu kukaa kimya
Au sio? Simama hapo jipige kifuani sema Russia ni super power kiboko ya NATO.big lier
Naeka kituo hapaA significant portion of the weapons from the new $2.1 billion US military aid package to Kyiv will not be sent to Ukraine any time soon, Bloomberg reported.
According to him, most of the equipment, which the Pentagon announced on Friday, will not go to Ukraine in the coming months, and possibly years.
Kakurupuka na li habari ili aje kuzoa sifa kwa wanato wenzieHii Habari yako uliyoweka reference ni ya mwezi April.
Mimi nimeweka habari ya Leo June 17.
Nilishakukanya Mara nyingi Sana sipendi uni quote wewe LGBTQ kwenye posts zangu. Embu basi jaribu kuheshimu ili.
View attachment 2660636
Zelensky 'ashtushwa' na ukosefu wa msaada kutoka kwa UN na Red Cross https://bbc.in/43QrCf9
This is a great lie.Tunapoendelea kufarijiana kwa propaganda za hapa na pale,si vibaya kukumbushana kwamba warusi zaidi ya mia sita wamelambishwa mchanga siku ya Jana pekee!!🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2660784
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Akikujibu nitagUpo mji Gani?