Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu longolongo tupa kule, leta makubaliano ya Minsk Kati ya NATO na Russia
Mwanetu huyo kumkazia sana boko hachelew kununa

Km angekuwa nayo hayo makubaliano kitambo angelikua ashatupia jamvin lkn ukiona anadundadunda km kitenes ujue mambo hanyau

Na naamin gugo napo kakosa kwa hiyo mpotezee tu
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi habari chini umeisha zipata?
===
17 Jun, 2023 11:18

Russia strikes Ukrainian 'decision-making center' – MOD​

The attack was a success, and the intended facility was hit, Russia’s Defense Ministry says
Russia strikes Ukrainian 'decision-making center' – MOD

FILE PHOTO: A Russian warship fires a Kalibr cruise missile towards Ukrainian armed force positions. © Sputnik / Russia's Defense Ministry
A Russian missile strike on Friday hit a command center of the Ukrainian military, Russia’s Defense Ministry has said.
Russian forces “carried out a group strike with sea and air-based long-range precision weapons against one of the decision-making centers of the Ukrainian Armed Forces,” the ministry said in a statement on Saturday.
“The aim of the strike was achieved. The intended facility was hit,” it added, without providing further details.
 
Twende sawa ili kusiwe na double standard!
Kulikuwa na vita huko Donbas,watu wa huko wakitaka kujitenga na Ukraine!Majeshi ya Ukraine yamekuwa yakipigana na vikosi hivyo ambavyo vilikuwa vinaungwa mkono na Urusi!Na wengi wa maeneo hayo wanaongea kirusi!Russia akaamua kuwakomboa watu waliotaka kujitenga!Hiyo ni moja ya sababu ya Russia kuivamia Ukraine!
Je alichokifanya Russia,kina tofauti gani na kile alichokifanya NATO huko Yugoslav?Waasi wa kosovo walitaka kujitenga,Wakaingia vitani na majeshi ya Yugoslav!
Majeshi ya NATO yakaenda kuishambulia kwa mabomu Yugloslav na kusababisha majeshi kuretreat!Wakaitambua Kosovo kama nchi!
Kwanini iwe haki kwa Kosovo kujitenga na isiwe haki kwa Donbas kujitenga?
West wamejaa double standard,kikubwa kwao ni maslahi yao!
Leo ikitokea majimbo ndani ya Russia yakitaka kujitenga,yataungwa mkono na west!
Russia amefanya kama kile ambacho west wamefanya kwa mataifa mbalimbali,ila tofauti ni kwamba kwa sasa kelele zimekuwa nyingi!
Kama atajibu akipingana na wewe basi atakuwa na roho ngumu sana na master wa ku spin
 
Leo naona umeibuka na kijiguvu kipya, mkuu. Hii ni baada ya missiles zenu kulibutua bwawa huko Kherson. Naomba usitimue tena, because utatusaidia kwenye ufafanuzi wa mambo fulani fulani.

NB: kp kipanya44 yeye yuko busy sana akiwa-train wanajeshi wa F-16 huko Poland tayari kwa ajili ya counteroffensive, ambayo, according to some credible sources, ni siri sana ili Russia asije akawavurugia tena before wafike frontline.
Ngoja nieke kituo hapa
 
Defense Ministry: Ukraine advances 2 kilometers in multiple directions

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna wakati nikiangalia Ukraine wanavyopigika naona huruma lakini nikiona wanavyojisifu (kupitia propaganda hizi) naona hakuna namna wapigwe tu!! Ukweli ni kwamba Ukraine wanapigwa sana! Hawana amani! Hata shule haziendeki! Mtoto wa jirani aliyekuwa anasoma engineering Ukraine wamehamishia darasa Ujerumani!! Ukraine kunapigika!
 
Nchi yoyote inatokuwa na vita haiwezi kuendelea na masuala ya kijamii kama vyuo. Serikal huamisha resources zote kwa ajili ya vita so huyo mtoto wa jirani yako you right kuhamia ujerumani.

But it doesnt mean maeneo yote ukraine yanapigika kama ulivyoandika hapa
 
Hizi habari chini umeisha zipata?
===
17 Jun, 2023 11:18

Russia strikes Ukrainian 'decision-making center' – MOD​

The attack was a success, and the intended facility was hit, Russia’s Defense Ministry says
Russia strikes Ukrainian 'decision-making center' – MOD'decision-making center' – MOD

FILE PHOTO: A Russian warship fires a Kalibr cruise missile towards Ukrainian armed force positions. © Sputnik / Russia's Defense Ministry
A Russian missile strike on Friday hit a command center of the Ukrainian military, Russia’s Defense Ministry has said.
Russian forces “carried out a group strike with sea and air-based long-range precision weapons against one of the decision-making centers of the Ukrainian Armed Forces,” the ministry said in a statement on Saturday.
“The aim of the strike was achieved. The intended facility was hit,” it added, without providing further details.

Wameiangamiza Military HQs iliyopo nje ya Kiev.
 
Ukweli ni kwamba Jeshi la taifa la Urusi na Urusi yenyewe limekwisha vuka hata viwango vya kuitwa Super Power - hivi sasa Urusi ni HYPER POWDER.

Hivi kama wewe ni BIDEN pamoja na wafuasi wako mtu anaongea kila silaha mtakayoleta tutaichoma utajiskiaje??. Yaani silaha zenu zote ni takataka mbele ya Russia uzuri zinachomwa na soviet made. Hizi AIBU NATO walijitakia wenyewe walichobakiza kwa sasa ni hizo ndege F-16 nknk.

NATO wako kwenye PANIC MODE kwasasa hata mambo wanayofanya unaona kabisa kama watu ambao hawajitambui, watu ambao hawana professionalsm kabisa. Kwa akili zao za kishetani wanataka kuipeleka dunia kwenye WW3, na Putin alisema asifikir U.S atakua salama hiyo ni warning kubwa sana.

Wakati mgogoro umeanza nilijua Russia hawezi fua dafu mbele ya NATO ila kumbe NATO ni overrated wamezoea kuonea Banana countries.

Inauma sana Drone ya $20,000 inachoma silaha za billions[emoji23][emoji23], hata mimi ningepanic wallahi hizi ni dharau.
 
Twende sawa ili kusiwe na double standard!
Kulikuwa na vita huko Donbas,watu wa huko wakitaka kujitenga na Ukraine!Majeshi ya Ukraine yamekuwa yakipigana na vikosi hivyo ambavyo vilikuwa vinaungwa mkono na Urusi!Na wengi wa maeneo hayo wanaongea kirusi!Russia akaamua kuwakomboa watu waliotaka kujitenga!Hiyo ni moja ya sababu ya Russia kuivamia Ukraine!
Je alichokifanya Russia,kina tofauti gani na kile alichokifanya NATO huko Yugoslav?Waasi wa kosovo walitaka kujitenga,Wakaingia vitani na majeshi ya Yugoslav!
Majeshi ya NATO yakaenda kuishambulia kwa mabomu Yugloslav na kusababisha majeshi kuretreat!Wakaitambua Kosovo kama nchi!
Kwanini iwe haki kwa Kosovo kujitenga na isiwe haki kwa Donbas kujitenga?
West wamejaa double standard,kikubwa kwao ni maslahi yao!
Leo ikitokea majimbo ndani ya Russia yakitaka kujitenga,yataungwa mkono na west!
Russia amefanya kama kile ambacho west wamefanya kwa mataifa mbalimbali,ila tofauti ni kwamba kwa sasa kelele zimekuwa nyingi!
Mkuu kuhusu mfano wako tofauti ziko kubwa.
1. 1995 NATO iliingia kati dhidi ya jeshi la Yugoslavia kwa mamlaka ya Umoja wa Mataifa. Jeshi la Yugoslavia na wanamigambo yake lilichinja na kufukuza Waislamu wa Yugoslavia, jimbo la Bosnia. Umesikia habari za mauaji ya Srebenica?? (wanaume na watoto Waislamu zaidi ya 8000 waliuawa baada ya kujisalimisha).
2. 1999 iliingia kati tena wakati jeshi la Yugoslavia lilianza kuua na kufukuza Waislamu wa Kosovo. Safari hii UM hawakukubali. Ila nchi za Ulaya ziliona wimbi la wakimbizi pamoja na mauaji yaliyoendelea. NATO ilingia kwa ndegevita.

Tofauti na Donbass ambako Urusi iliandaa vikundi vilivyojaribu kuasi na pia kutuma vikosi vya jeshi, si ndege pekee. Donbass hakuna aliyaanza kuchinja watu hovyo. Pamoja na hayo Urusi iliwahi kutia saini mkataba wa Minsk ambako iliwahi kuahidi kutetea mipaka ya Ukraine, siyo kuishambulia.

Double standard iko upande wako, mkuu!
 
Inaonyesha huijui vzuri historia ya USSR vs NATO..ungeijua ungeelewa nikwanini Ukraine ni karata ya turufu kwa NATO na Russia... Rudi tena kwenye vitabu vya historia uelewe vzuri why there is NATO and why Russia doing what they doing now
Tuekeze mkuu
Russia alisema atajibu mapigo mazito kwa Israel pale ambapo atapeleka silaha Ukraine.
You nailed it. Netanyahu analijua hilo vyema.
 
Back
Top Bottom