Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.
Unachoweza kuonyesha ni mawazo ya wanasiasa kadhaa walioona NATO isipokee nchi ambazo zilikuwa nusu koloni za Urusi kama vile Poland, Baltiki na kadhalika.
Lakini hakuna mapatano wala mkataba.
Kinyume kuna mkataba rasmi wa Helsiniki ambako USSR ilikubali kila nchi ya Ulaya ina haki ya kushirikiana na nchi nyingine.
Kuna pia mkataba wa Minsk ambako Urusi ilitambua mipaka ya Ukraine (pamoja na Donbass na Krimea) na kuahidi itatetea mipaka hiyo.
Ni nani sasa aliyevunja mkataba?

Halafu unaamini kuna sababu gani kwamba nchi za Ulaya zimeacha kushirikiana na Urusi kiuchumi tangu uvamizi za 2014 na 2022???? Ingawa Urusi ilikuwa chanzo cha nishati nafuu na soko kwa makampuni yao??

Kwa nini nchi za Baltiki, Poland, Chek na Slovakia waliombaomba wapokelewe NATO baada ya kuwa chini ya Urusi kwa miaka mingi?? (na hakuna aliyewalazimisha hata kidogo kuleta maombi ya kujiunga na NATO!)
Kwa ufupi unamaanisha ukraine ni shamba darasa.😁😁
 
"Marekani badala ya kuzungumza na Urusi, imechagua kusambaza vifaa vya kijeshi kwa Ukraine, tutaviteketeza vyote - tuone kitakachofuata," - Putin.

FywlYu9XsBYFtyg.jpg
 
A very good question - lengo la USA hata kufikia hatua ya kuonga former Soviet Union Republics ni kutaka kutishia Urusi kwamba hivi sasa imezungukwa kila upande wa mipaka yake na NATO members hivyo itakuwa rahisi kuishambulia Urusi kwa kuishitukiza au kutumia airbase za Eastern Europe ku launch a massive air attack au hata kujenga infrastructure za kuhifadhi short range tactical nuclear missiles - bottom line is/was: to design ways and means of destroying Russia in totality - sasa matokeo ya vita ya Ukraine kutawafanya NATO/USA wa think again kwamba Russia ni mti wa mpingo na si lelemama.
Nashukuru Sana kwa kujazia nyama jibu nililompa Ndugu yetu Pro NATO..!!

Unajua hakuna anaeshabikia vita pale Ukraine,but Russia hakuwa na options kabisa was no way ilikuwa lazima apgane dhidi ya NATO kulinda usalama wake
 
"Marekani badala ya kuzungumza na Urusi, imechagua kusambaza vifaa vya kijeshi kwa Ukraine, tutaviteketeza vyote - tuone kitakachofuata," - Putin.

View attachment 2659957
Vifaa vingi vinaibiwa Poland.... Kama hili tukio la hivi karibuni Wegliniec-Poland. Wapolo walivunja mabehewa yenye silaha na kwenda kuficha kwenye kidimbwi cha maji...https://twitter.com/i/status/1667694712377974785
 
General Oleksandr Syrskyi, commander of the Ukrainian Ground Forces, made a new visit to Ukrainian military units near the city of Bakhmut in Donetsk Oblast.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Denmark is ready to train Ukrainian pilots on F-16 fighters by providing access to its airbase, acting Danish Defense Minister Troels Lund Poulsen told TV2.

Denmark, together with the Netherlands, developed a plan to train Ukrainian soldiers on F-16 fighter jets. Poulsen said he hopes for support from other countries to help present a more concrete exercise plan.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom