Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
What a splendid analysis - BRAVO indeed, swali ni niwangapi wanajua undani wa mzozo huu wa kuchongwa na USA - ni wachache wengi wao ni kumsema vibaya na kumzodoa Putin 24X7,haeana hata habari kwamba Putin ndiye atakuwa mkombozi wa kweli wa Dunia dhidi ya mabrbrru haea walio kubuhu kwa kujifanya wao nfio wana kubali cha Mungu kutawala Dunia karibu kwenye nyanja zote - sasa Urusi,Uchina Korea Kasikazini na Iran wanasema enough is enough let what comes may -lakini hawa takubali kuendelea kuendeshwa na foreign policy za Merikani na vassals wake hata kama nikupigana WW3 ilu Dunia iondokane na ukiritiba wa Merikani kujiona ni bora na yenye nguvu zaidi za kijeshi kuliko Mataifa mengine - wiki mbili tatu. zulizopita ndio Dunia ilishuhudia kwamba most US Military hardware zinaweza kuteketezwa kirahisi na kiufanisi na silaha za Urusi - hizo ni conventional wrapons, je zikija za Nuclear si ndio zitaluwa balaa zaidi. Biden ajitafakari tena, haya mambo ya kutaka kumu-provoke Putin 24X7 hayatamfikisha mbali - yatamtokea Puani , juzi hapa se NATO troops wakishirikiana na Ukraine na USA wamepoteza wanajeshi 2,000 ndani ya 24 hours - what does that tell you??Usilete ngonjera mkuu...humu watu wanajua kwa nini hao jamaa wanatwangana.Hakuna asiyejua janjajanja ya USA....Hakuna asiyejua kuwa kikwazo kwa total control ya ulimwengu huu kwa USA ni Russia...Na hata uki-refer wanasiasa wa USA hata huyu Biden, alisema wazi changamoto zitakazotokea baada ya USA kujaribu kuwavuta Ukraine NATO
Hakuna asiyejua kuwa 2014 palikua na coup Ukraine..kupinduliwa kwa serikali iliyokuwa fruendly kwa Moscow na ikaingia serikali iliyo ant-Russia, mambo hayo ndo ya chanzo cha mzozo wa sasa...
Inajulikana tu pia kuwa coup ya Ukraine (2014) ilikuwa ni practice kwa ajili ya kitakachotokea Urusi...ikapelekea kuingizwa kwa sheria ya Foreign agent law ( Russia)...ambayo hata USA wanayo kwa miaka mingi...
Najua utaongea kwa ushabiki na kutumia mgongo wa kila nchi kuwa na haki ya kujiamulia mambo yake lkn ukweli ni kuwa hakuna nchi yoyote duniani itakubali nchi jirani yake ahatarishe usalama wake kisa kuna uhuru wa kujiamulia mambo yake....Wanasema haki yako inaishia pale, inapoanza kuwa kitisho au kikazwao kwa mwenzako...
Nyerere aliinyima Zanzibar kuwa nchi huru kwa sababu ya security reasons pia-Muungano ukalazimishwa..Karume akasaini..Zanzibar ikapigwa pin...na viongozi wa Zanzibar waliokuwa wanajifanya kuwa vocal kwenye masuala hayo ( hata wa CCM)...hawajawahi kuvumiliwa...
USA hawezi kukubali wapinzani wake wakae CUBA au Mexico pale, lazima pachimbike..
Haki inakuwa haki kama haihatarishi usalama wa mwenzako.....
Mkeo/Mmeo akianza tabia ya kulala na kisu chini ya mto- rationally lazima akili izunguke kujua sababu....kama haziekeweki lazima ujipange..
Kwa hali ya kawaida UKRAINE na URUSI wanakila sababu ya kuwa mataifa marafiki...
1.Wanampaka mkubwa sana
2.Ni slavic
3.Wanauhusiano mkubwa sana wa kitamaduni
4.Kuna watu wenye asili ya Urusi wengi sana Ukraine
5.Wanashare familia:Mtu yuko Urusi-babu yaje yuko Ukraine
6.Walikuwa na uchumi unaingiliana sana-viwanda-chain production inaanzia Ukraine inaishia Urusi
Zelensky mwenyewe...mpaka anakuwa Rais alikua anaongea Kirusi pekeee....Kiukraine kaanza kujifunza ofisini..
Zelensky kafanya kazi za commedy Moscow na huko ndiko alikochuma pesa zake za kwanza...
Hivyo hawa watu wanaukaribu mkubwa kuliko ilivyopaswa kuwa...hapo sasa na US kaingia kaanza kuwavuruga....Ukraine kaanza kupandikizwa chuki vurugu likaanza...
Na Urusi haiwezi kukubali Ukraine ikaenda West na kuwa tishio kwake....sababu
1.Ina-pride: Putin akishindwa:Atakayeingia lazima aanzishe vita tena....(Na Putin kasema kushindwa hakupo..labda WW3)
2.Inauwezo wa kuresist pressure za West
3.Inauwezo wa kijeshi kujitetea na kusababisha maumivu makubwa west..
Tuendelee kuangalia huu mchuano...lkn kwa maoni yangu Ukraine kayakoroga na hatoboi
2.