Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inaonyesha huijui vzuri historia ya USSR vs NATO..ungeijua ungeelewa nikwanini Ukraine ni karata ya turufu kwa NATO na Russia... Rudi tena kwenye vitabu vya historia uelewe vzuri why there is NATO and why Russia doing what they doing now
Tusivutane nani anajua nini - wacha facts ziongee. Mwaka 1985 Umoja wa Kisovyeti ilitia sahihi kwenye mapatano ya Helsinki. Ilikubali kila nchi ya Ulaya iwe huru kukiunga kwa ushirikiano na nchi nyingine.

Baada ya mwisho wa USSR Ukraine iliachana KWA HIARI YAKE na silaha za nyuklia na kuzikabidhi kwa Urusi - Urusi iliahidi kuheshimu mipaka yake (yaani pamoja na Krimea na Donbass) na hata kuitetea,

Urusi imevunja ahadi na mikataba yake maana Bwana Putin anaona ilikuwa kosa.......

Sasa unieleze historia yako..
 
Tutegemee kutanuka kwa BRICS mwakahuu??
IMG_1386.jpg
 
Mh, huu mgogoro umejaa propaganda mpaka ukweli haujulikani!!!!!!!!! Naamini mimi na wewe hatuufahamu na hatutaweza kuufahamu kiini cha huu mgogoro mpaka wenyewe waamue!!!!!!!!!!


Kumbuka, hiki unachokijua kuhusu huu mgogoro wametaka wao ujue!!!!!!!!!!!!!

Kumbuka dunia inaendeshwa kwa siri kubwa sana!!!!!!!!!!


Muda ni mwalimu mzuri sana!!!!!!!!!


​

1: First Russian general killed this year​

British military intelligence has confirmed the first death of a Russian general this year.
General-Major Sergei Goryachev "almost certainly" died in a missile strike in southern Ukraine on Wednesday, the UK Ministry of Defence said.


Source: Sky news:16/06/2023


2: US military chief says Ukraine offensive a ‘very difficult fight’​

US General Mark Milley says Ukraine making ‘steady progress’ in counteroffensive that will take time and come at a ‘high cost’.


Source: Aljazeera: 16/06/2023


3: 09:51am: Russian Defence Ministry says Ukraine forces are suffering heavy losses​

Russia’s Defence Ministry said on Friday that Ukrainian forces had continued to suffer heavy losses on the south Donetsk and Donetsk fronts, where Ukraine’s counteroffensive has been focused, state news agency RIA reported.


Source:France 24: 16/06/2023
Ukweli gani mwingine unaoutaka wakati picha unaziona? Russia ameshika eneo kubwa sana & strategic la Ukraine. Hilo wewe hulioni?
 
Wazungu niwazuri sana endapo kama huendi kinyume na maslahi yao.Haijalishi maslahi yao yawe yanakuumiza wewe au la hapo watakupenda.

Ila ukienda kinyume nao hata in a right way hao jamaa hawafai ni wakatili wa kutupwa.Rejea ukoloni jinsi walivyotutesa.

Hata hii vita ya ukraine kusimama upande wa west inabidi ujitoe ufahamu.Urusi alishamaliza vita pale ukraine ila west wanataka vita viendelee ndo maana wanatoa siraha, pesa na mafunzo saiv asilimi 90 ya siraha zinazotumika zinatoka Marekani na ulaya.

Kitu cha kusikitisha leo raisi wa africa kusini kazuiliwa kupita anga la italia kaka angani akitanga tanga mwishowe kaamua atue poland.

Nako poland ikabidi akae kwenye ndege yake masaa kadhaa,huku walinzi wake wakisachiwa na kunyang'anywa siraha zao.


Ikumbukwe huyo ni raisi mwenye vibali vyote anafanyiwa hivo kia tu nimshirika wa urusi.Hiyo democracy wanaoimba KILA siku iko api?? Na freedom to choose what you like mbona haipo tena.

Putin shikilia apoapo Ili baadae tujd tupate angalau dunia yenye usawa na kuheshimiana bila kujali unatoka africa au ulaya.
 
Mkuu kwanza hakuna silaha za nyuklia Ukraine. Hakuna aliyetaka kuweka silaha za nyuklia Ukraine. Kinyume chake Ukraine kwa hiari yake ilikabiidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi. Urusi ikaahidi kuheshimu na kutetea mipaka ya Ukraine, ahadi iliyovunjwa na Putin mara nyingi.
Hadi leo NATO haikupeleka silaha za nyuklia hadi Poland, nchi za Baltiki au Romania. Wala Finland. Ukiona kinyume taja mahali na terehe.
Kinyume Urusi inatishatisha majirani.
Usilete ngonjera mkuu...humu watu wanajua kwa nini hao jamaa wanatwangana.Hakuna asiyejua janjajanja ya USA....Hakuna asiyejua kuwa kikwazo kwa total control ya ulimwengu huu kwa USA ni Russia...Na hata uki-refer wanasiasa wa USA hata huyu Biden, alisema wazi changamoto zitakazotokea baada ya USA kujaribu kuwavuta Ukraine NATO
Hakuna asiyejua kuwa 2014 palikua na coup Ukraine..kupinduliwa kwa serikali iliyokuwa fruendly kwa Moscow na ikaingia serikali iliyo ant-Russia, mambo hayo ndo ya chanzo cha mzozo wa sasa...
Inajulikana tu pia kuwa coup ya Ukraine (2014) ilikuwa ni practice kwa ajili ya kitakachotokea Urusi...ikapelekea kuingizwa kwa sheria ya Foreign agent law ( Russia)...ambayo hata USA wanayo kwa miaka mingi...

Najua utaongea kwa ushabiki na kutumia mgongo wa kila nchi kuwa na haki ya kujiamulia mambo yake lkn ukweli ni kuwa hakuna nchi yoyote duniani itakubali nchi jirani yake ahatarishe usalama wake kisa kuna uhuru wa kujiamulia mambo yake....Wanasema haki yako inaishia pale, inapoanza kuwa kitisho au kikazwao kwa mwenzako...

Nyerere aliinyima Zanzibar kuwa nchi huru kwa sababu ya security reasons pia-Muungano ukalazimishwa..Karume akasaini..Zanzibar ikapigwa pin...na viongozi wa Zanzibar waliokuwa wanajifanya kuwa vocal kwenye masuala hayo ( hata wa CCM)...hawajawahi kuvumiliwa...

USA hawezi kukubali wapinzani wake wakae CUBA au Mexico pale, lazima pachimbike..

Haki inakuwa haki kama haihatarishi usalama wa mwenzako.....

Mkeo/Mmeo akianza tabia ya kulala na kisu chini ya mto- rationally lazima akili izunguke kujua sababu....kama haziekeweki lazima ujipange..

Kwa hali ya kawaida UKRAINE na URUSI wanakila sababu ya kuwa mataifa marafiki...
1.Wanampaka mkubwa sana
2.Ni slavic
3.Wanauhusiano mkubwa sana wa kitamaduni
4.Kuna watu wenye asili ya Urusi wengi sana Ukraine
5.Wanashare familia:Mtu yuko Urusi-babu yaje yuko Ukraine
6.Walikuwa na uchumi unaingiliana sana-viwanda-chain production inaanzia Ukraine inaishia Urusi

Zelensky mwenyewe...mpaka anakuwa Rais alikua anaongea Kirusi pekeee....Kiukraine kaanza kujifunza ofisini..

Zelensky kafanya kazi za commedy Moscow na huko ndiko alikochuma pesa zake za kwanza...

Hivyo hawa watu wanaukaribu mkubwa kuliko ilivyopaswa kuwa...hapo sasa na US kaingia kaanza kuwavuruga....Ukraine kaanza kupandikizwa chuki vurugu likaanza...

Na Urusi haiwezi kukubali Ukraine ikaenda West na kuwa tishio kwake....sababu

1.Ina-pride: Putin akishindwa:Atakayeingia lazima aanzishe vita tena....(Na Putin kasema kushindwa hakupo..labda WW3)

2.Inauwezo wa kuresist pressure za West

3.Inauwezo wa kijeshi kujitetea na kusababisha maumivu makubwa west..

Tuendelee kuangalia huu mchuano...lkn kwa maoni yangu Ukraine kayakoroga na hatoboi
2.
 
Logic ya swali lako ni
Wakuu!Kuna habari nimeiona The telegram kuwa wanajeshi wa Urusi takribani 100+ wameuawa kwa himars wakati wakisubiri makamanda wao,hili ukweli wake upoje!japo aliyeripoti ni propangandist wa Kirusi anaitwa Rybar.
Logic ya swali lako lina husu nini hasa - tangu lini wanajeshi 100+ wakajikusanya sehemu moja eti "wakisubiri makamanda wao!!" kwani wanatembea in a single file kama nyumbu - mtu yeyote aliye wahi kupitia mafunzo ya kijeshi hawezi kuzungumza hivyo.
 
Usilete ngonjera mkuu...humu watu wanajua kwa nini hao jamaa wanatwangana.Hakuna asiyejua janjajanja ya USA....Hakuna asiyejua kuwa kikwazo kwa total control ya ulimwengu huu kwa USA ni Russia...Na hata uki-refer wanasiasa wa USA hata huyu Biden, alisema wazi changamoto zitakazotokea baada ya USA kujaribu kuwavuta Ukraine NATO
Hakuna asiyejua kuwa 2014 palikua na coup Ukraine..kupinduliwa kwa serikali iliyokuwa fruendly kwa Moscow na ikaingia serikali iliyo ant-Russia, mambo hayo ndo ya chanzo cha mzozo wa sasa...
Inajulikana tu pia kuwa coup ya Ukraine (2014) ilikuwa ni practice kwa ajili ya kitakachotokea Urusi...ikapelekea kuingizwa kwa sheria ya Foreign agent law ( Russia)...ambayo hata USA wanayo kwa miaka mingi...

Najua utaongea kwa ushabiki na kutumia mgongo wa kila nchi kuwa na haki ya kujiamulia mambo yake lkn ukweli ni kuwa hakuna nchi yoyote duniani itakubali nchi jirani yake ahatarishe usalama wake kisa kuna uhuru wa kujiamulia mambo yake....Wanasema haki yako inaishia pale, inapoanza kuwa kitisho au kikazwao kwa mwenzako...

Nyerere aliinyima Zanzibar kuwa nchi huru kwa sababu ya security reasons pia-Muungano ukalazimishwa..Karume akasaini..Zanzibar ikapigwa pin...na viongozi wa Zanzibar waliokuwa wanajifanya kuwa vocal kwenye masuala hayo ( hata wa CCM)...hawajawahi kuvumiliwa...

USA hawezi kukubali wapinzani wake wakae CUBA au Mexico pale, lazima pachimbike..

Haki inakuwa haki kama haihatarishi usalama wa mwenzako.....

Mkeo/Mmeo akianza tabia ya kulala na kisu chini ya mto- rationally lazima akili izunguke kujua sababu....kama haziekeweki lazima ujipange..

Kwa hali ya kawaida UKRAINE na URUSI wanakila sababu ya kuwa mataifa marafiki...
1.Wanampaka mkubwa sana
2.Ni slavic
3.Wanauhusiano mkubwa sana wa kitamaduni
4.Kuna watu wenye asili ya Urusi wengi sana Ukraine
5.Wanashare familia:Mtu yuko Urusi-babu yaje yuko Ukraine
6.Walikuwa na uchumi unaingiliana sana-viwanda-chain production inaanzia Ukraine inaishia Urusi

Zelensky mwenyewe...mpaka anakuwa Rais alikua anaongea Kirusi pekeee....Kiukraine kaanza kujifunza ofisini..

Zelensky kafanya kazi za commedy Moscow na huko ndiko alikochuma pesa zake za kwanza...

Hivyo hawa watu wanaukaribu mkubwa kuliko ilivyopaswa kuwa...hapo sasa na US kaingia kaanza kuwavuruga....Ukraine kaanza kupandikizwa chuki vurugu likaanza...

Na Urusi haiwezi kukubali Ukraine ikaenda West na kuwa tishio kwake....sababu

1.Ina-pride: Putin akishindwa:Atakayeingia lazima aanzishe vita tena....(Na Putin kasema kushindwa hakupo..labda WW3)

2.Inauwezo wa kuresist pressure za West

3.Inauwezo wa kijeshi kujitetea na kusababisha maumivu makubwa west..

Tuendelee kuangalia huu mchuano...lkn kwa maoni yangu Ukraine kayakoroga na hatoboi
2.
Mambo ni mengi ila pro west hata hawayaoni.Naunga mkono hoja.
 
Nakazia [emoji38]View attachment 2659636

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Kiev ‘facing tough resistance’ from Russian troops – Zelensky​

The Ukrainian president claimed that Moscow believes the current fighting will be decisive
Kiev ‘facing tough resistance’ from Russian troops – Zelensky

Ukrainian President Vladimir Zelensky gestures as he speaks during a joint press conference with his Estonian counterpart Alar Karis, on June 2, 2023. © Sergei SUPINSKY / AFP
Russian troops are responding fiercely to Ukrainian attempts to break through their defenses amid Kiev’s long-anticipated counteroffensive, President Vladimir Zelensky admitted in an interview aired on Thursday.
Speaking to NBC News, the leader said Ukrainian troops “are facing very tough resistance” and claimed that “for Russia to lose this campaign to Ukraine… actually means losing the war.”
Despite the apparent difficulties, Zelensky attempted to put an optimistic spin on the battlefield situation, describing the news from the front line as “generally positive, but it’s very difficult.”
The Ukrainian president also reiterated calls for supplies of F-16 fighter jets to Kiev, arguing that deliveries are being hindered by bureaucracy.
“We are losing time, we are losing people, and, the most important thing, we are losing our advantage,” Zelensky said, insisting that without Ukraine being given modern Western aircraft, “Russia is controlling the air.”
===
Unalo mwaka huu!!!
 
Tusivutane nani anajua nini - wacha facts ziongee. Mwaka 1985 Umoja wa Kisovyeti ilitia sahihi kwenye mapatano ya Helsinki. Ilikubali kila nchi ya Ulaya iwe huru kukiunga kwa ushirikiano na nchi nyingine.

Baada ya mwisho wa USSR Ukraine iliachana KWA HIARI YAKE na silaha za nyuklia na kuzikabidhi kwa Urusi - Urusi iliahidi kuheshimu mipaka yake (yaani pamoja na Krimea na Donbass) na hata kuitetea,

Urusi imevunja ahadi na mikataba yake maana Bwana Putin anaona ilikuwa kosa.......

Sasa unieleze historia yako..
Baada ya Vita baridi kuisha na hatimae USSR kuvunjika ,kulikuwa na makubaliano kadhaa kati ya nato na Russia na moja ya makubaliano ni NATO kutojitanua kuizunguuka Russia or kutoweka millitary base kuizunguuka Russia !!!

Sasa ebu angalia kwasasa NATO imeizunguka Russia kila kona,ulitaka Russia afanyaje ndugu kama sio kujitetea?

Rafiki wa adui yako ni adui yako pia,na ukiangalia kwa kinachoendelea kwa Sasa pale Ukraine ni NATO vs Russia Confrontation indirect
 
Back
Top Bottom