Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ukrainian Armed Forces lost 186 tanks and 418 infantry fighting vehicles during counteroffensive - Putin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I have many Jewish friends and they tell me that Zelensky is not a Jew, he is a shame for the Jews.
[emoji95][emoji635][emoji95]
Putin: If F-16s are stationed at air bases outside Ukraine but used in combat, we will have to see how to hit them.
Mkuu mbona hili liko wazi na sehem ya mkataba iliwekwa hapa, Kati ya State department na Russian nahis ilikua 1992, term moja wapo ilikua there will be no expernsion of NATO kwenda East of German. .sema nimesahau nilihifadh wapi ile sehem ya document lakin kuna wadau waliiweka humu.Mkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.
Unachoweza kuonyesha ni mawazo ya wanasiasa kadhaa walioona NATO isipokee nchi ambazo zilikuwa nusu koloni za Urusi kama vile Poland, Baltiki na kadhalika.
Lakini hakuna mapatano wala mkataba.
Kinyume kuna mkataba rasmi wa Helsiniki ambako USSR ilikubali kila nchi ya Ulaya ina haki ya kushirikiana na nchi nyingine.
Kuna pia mkataba wa Minsk ambako Urusi ilitambua mipaka ya Ukraine (pamoja na Donbass na Krimea) na kuahidi itatetea mipaka hiyo.
Ni nani sasa aliyevunja mkataba?
Halafu unaamini kuna sababu gani kwamba nchi za Ulaya zimeacha kushirikiana na Urusi kiuchumi tangu uvamizi za 2014 na 2022???? Ingawa Urusi ilikuwa chanzo cha nishati nafuu na soko kwa makampuni yao??
Kwa nini nchi za Baltiki, Poland, Chek na Slovakia waliombaomba wapokelewe NATO baada ya kuwa chini ya Urusi kwa miaka mingi?? (na hakuna aliyewalazimisha hata kidogo kuleta maombi ya kujiunga na NATO!)
Naunga Mkono hojaStop the war if you really care about you people and your Nation - if you think you can defeat a Super power like Russian I suggest you should have your head EXAMINED!
We huo mkataba wa Helsinki mbona huuweki hapa tukauona kinyume chake unajaza tu storiMkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.
Unachoweza kuonyesha ni mawazo ya wanasiasa kadhaa walioona NATO isipokee nchi ambazo zilikuwa nusu koloni za Urusi kama vile Poland, Baltiki na kadhalika.
Lakini hakuna mapatano wala mkataba.
Kinyume kuna mkataba rasmi wa Helsiniki ambako USSR ilikubali kila nchi ya Ulaya ina haki ya kushirikiana na nchi nyingine.
Kuna pia mkataba wa Minsk ambako Urusi ilitambua mipaka ya Ukraine (pamoja na Donbass na Krimea) na kuahidi itatetea mipaka hiyo.
Ni nani sasa aliyevunja mkataba?
Halafu unaamini kuna sababu gani kwamba nchi za Ulaya zimeacha kushirikiana na Urusi kiuchumi tangu uvamizi za 2014 na 2022???? Ingawa Urusi ilikuwa chanzo cha nishati nafuu na soko kwa makampuni yao??
Kwa nini nchi za Baltiki, Poland, Chek na Slovakia waliombaomba wapokelewe NATO baada ya kuwa chini ya Urusi kwa miaka mingi?? (na hakuna aliyewalazimisha hata kidogo kuleta maombi ya kujiunga na NATO!)
Ina maana hayupo?Leo viongozi wa Africa wapo Kiev kwenye peace mission.
Lakini wanazungushwa kuonana na Zelensky
Zelensky anataka kufanya nao kikao kupitia video conference...
Waondoke!Leo viongozi wa Africa wapo Kiev kwenye peace mission.
Lakini wanazungushwa kuonana na Zelensky
Zelensky anataka kufanya nao kikao kupitia video conference...
A very good question - lengo la USA hata kufikia hatua ya kuonga former Soviet Union Republics ni kutaka kutishia Urusi kwamba hivi sasa imezungukwa kila upande wa mipaka yake na NATO members hivyo itakuwa rahisi kuishambulia Urusi kwa kuishitukiza au kutumia airbase za Eastern Europe ku launch a massive air attack au hata kujenga infrastructure za kuhifadhi short range tactical nuclear missiles - bottom line is/was: to design ways and means of destroying Russia in totality - sasa matokeo ya vita ya Ukraine kutawafanya NATO/USA wa think again kwamba Russia ni mti wa mpingo na si lelemama.Umeshawahi kujiuliza kwanini after cold war,over 50% ya wanachama wapya wengi ni from Eastern Europe??
USA na NATO wanaweka nguvu kubwa kupata wanachama kutoka hilo eneo??
USA ni nchi kutoka Bara la America ,do you think why kwenye Bara la America hakuna mwanachama wa NATO isipokuwa USA?
Hizi zalau sasa, halafu bado anajiuliza Kwa nini Africa ipo upande wa Urusi....Leo viongozi wa Africa wapo Kiev kwenye peace mission.
Lakini wanazungushwa kuonana na Zelensky
Zelensky anataka kufanya nao kikao kupitia video conference...