Mkuu!najua mambo ya medani tofauti ya unavyodhani(ila sipendi kujadili wasifu wa watu ila mada so jikite hapo)Logic ya swali lako ni
Logic ya swali lako lina husu nini hasa - tangu lini wanajeshi 100+ wakajikusanya sehemu moja eti "wakisubiri makamanda wao!!" kwani wanatembea in a single file kama nyumbu - mtu yeyote aliye wahi kupitia mafunzo ya kijeshi hawezi kuzungumza hivyo.
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!
sina upande,ila sipendi vita!
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!
sina upande,ila sipendi vita!
Uko sahihi mkuu yani wameenda kujichoresha tu na kuwachoresha watu weusi. Alafu bado miwatu kama hiyo inajiita wasomi upumbavu mtupu yaniKuhusu Suala La Viongozi wa Africa kufanyiwa Figisu za kishenzi huko Poland
kwa maoni yangu na Mawazo yangu naona nisawa
hivi Wanaujinga Gani hawa?
hivi Kweli kilicho wapeleka Ukrein nikipi hasa?
hivi Wanajitambua Hawa Viongozi!!
Mwanzoni tu vita vinaanza Wanafunzi wengi Tokea Africa Walinyanyaswa kwa Kila Aina ya Unyanyasaji
Walizuiwa Kupanda Treni nakutumia Njia Hatarishi kwao hilo hawakuliona?
hivi Viongozi wa Africa Watajielewa Lini, Kipi cha maana Ukrein?
West hawana mpango na Africa wala Amani pale, Wewe unaenda kufanya nini!
Ni upuuzi na Upumbavu kwa viongozi hao Kwenda Ukrein Huku wakijua hawata Badilisha kitu!
Kwanza Wamezidi Kutudhalilisha tu
Sasa Sky news Wanakuambia Wameenda Kuomba Ngano Kwamba Wananjaa na sio kwa Lengo la Kuisaidia ukrein
Yaani Ukrein kawa wakipekee sana Kwalipi!?
Walivyo wapuuzi wameshindwa Kwenda Sudani Unaenda Ukrein kweli!!
Kunavitu vinaboa nakukera Aisee!
watasema unataka kuwa pro LGBTKaribuni...
Urusi inapenda propaganda , anawakamata halaf anadai wamekataa kupiganaKwa ufupi kabisa nisijetia neno nikaharibu.
NB: Ndio maana counteroffencive imefeli, NATO wanaaibika.
Haaa...aisee..wewe upande wako tunaujua...pro Ukraine hatari..leo unataka kujikana et huna upande!!!!Dozi inaendeleaHuu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!
sina upande,ila sipendi vita!
Kumbe huna hoja?? Jaribu kujibu: nani alivunja mapatano ya Helsinki na Budapest?Ndivyo ulivyokaririshwa? Pole sana mkuu na kwa kukariri huko, utateseka sanaa
Jaribu kutumia kidogo tu akili: Unajua kwamba chombo kikuu ni baraza la usalama. Hakuna azimio la baraza la usalama dhidi ya mapenzi ya yeyote kati ya wanachama wa kudumu Urusi, Marekani, China, Ufaransa na Uingereza. Kila mmoja anaweza kupiga VETO na kusimamisha kila kitu.Usilete longolongo hapa kujifanya unajua kuliko mimi mkulu mwenyewe. Kati ya baraza la uslama na mkutano mkuu wa UN, chombo gani kinachotoa maamuzi magumu yanayohusu usalama wa dunia?? Na katika vyombo hivyo marekani anatumiaga chombo gani kutekeleza matakwa yake ya kishetani??
Kumbe unaanza kuleta kitu. Sasa tusiongee hewani. Ukiamini NATO imevunja mkataba,Tatizo unataka tubishane,baada ya cold War kuna mikataba mingi Sana inasainiwa,
Mmoja wapo ni mkataba wa nuclear kati ya USA na RUSSIA,mkataba wa NATO na RUSSIA ,mkataba wa nchi za ulaya na RUSSIA !!! Nenda Google kajisomee tusichoshane hapa!!
Kama ambavyo umetafuta huu mkataba wa Ukraine na Russia unaweza pia kutafuta mkataba wa NATO na RUSSIA,kwasababu unavyonyesha nikama unakataa hakuna mkataba Kati ya NATO na RUSSiA..
Mkuu usipotaka majibu usiingie hapa! Menginevyo usishangae utapata majibu ukileta mambo yanayopingana.Hii Habari yako uliyoweka reference ni ya mwezi April.
Mimi nimeweka habari ya Leo June 17.
Nilishakukanya Mara nyingi Sana sipendi uni quote wewe LGBTQ kwenye posts zangu. Embu basi jaribu kuheshimu ili.
View attachment 2660636
mkuu sioni jabo la imani. Uaonaje: Nchi inaahidi huko Budapest 1994 kuheshimu na kulinda mipaka ya Ukraine, halafu tangu 2014 inaanza kushambulia Ukraine -- nani anavunja mikataba???Unaamini Russia kavunja makubaliano lakini at the same time huamini NATO kama kavunja makubaliano
Mkuu ukijua kidogo kanuni za Baraza la Usalama huwezi kudai linafuata matakwa ya upande mmoja. Wakati China, Urusi na MArekani kila mmoja anaweza kuzuia maazimio kwa kutumia VETO, je nchi moja inawezaje kuwalazimisha wengine???That's why tunasema you need to go deep kuhusu these issues..!! Inawezekana hujui karata za USA juu plan zake kuhusu hii Dunia tunayoishi...kama unaamini UN anaweza kwenda against USA basi bado hujajua hizi world organization zinavyo work
Usipokuwa na upande inamsaidia nani? Hupendi vita halafu kutwa uko kwenye uzi wa vita, si uende jukwaa la dini?sina upande,ila sipendi vita!
mkuu nakubali kuhusu hali ya kutoaminiana kati ya NATO na Urusi.Bado rudi tena ukaisome vzuri Cold war and it's outcome...!! Nenda kasome vzuri baada ya cold war NATO & RUSSIA walikubaliana nini,utaona NATO amekiuka vitu Sana kwenye ule mkataba,sisemi Russia hajakiuka baadhi ya vitu but haya yanayoendelea kwa sasa Ukraine ni matokeo ya kutoaminiana kati ya NATO na RUSSIA