Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Wao watakwambia vita bila propaganda ni sawa tu na WWEHuu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!
sina upande,ila sipendi vita!