Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu heri ujielimishe kidogo tu kabla ya kumwaga maneno kama "ushenzi". Yanaonyesha tu mapengo katika elimu yako! usijadili akili ya watu wengine wakati unaonyesha hali ya akili yako.
Umoja wa Mataifa una bodi mbili za maazimio:
a) Baraza la Usalama (ambako US, Urusi, China, Uingereza na Ufaransa zina mamlaka ya juu yaani kila mmoja anaweza kuzuia kila kitu). Azimio kuhusu Yugoslavia ya 1995 lilikuwa la Baraza la USalama, pamoja na kura za Urusi na China.

B) Mkutano mkuu wa UM - kila nchi inapiga kura 1. Maazimio ya mkutano mkuu mara nyingi yalikosoa matendo ya Marekani, sasa kuhusu Ukraine pia matendo ya Urusi.
Usilete longolongo hapa kujifanya unajua kuliko mimi mkulu mwenyewe. Kati ya baraza la uslama na mkutano mkuu wa UN, chombo gani kinachotoa maamuzi magumu yanayohusu usalama wa dunia?? Na katika vyombo hivyo marekani anatumiaga chombo gani kutekeleza matakwa yake ya kishetani??
 
Kafanyaje tena huyu jamaa mbona ana trend sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230617_214054.jpg
 
Mkuu, kuna "Memorandum on security assurances in connection with Ukraine's accession to the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons" ya 1994. Si mapatano kati ya NATO na Urusi, ni mapatano kati ya Ukraine, Urusi, Marekani, Uingereza na Ujerumani.
Nilikosea, haiitwi "makubaliano ya Minsk" bali "makubaliano ya Budapest ya 1994". Basi hapa nasahihisha. Usome mwenyewe.
Ni ahadi ya kuheshimu mipaka ya Ukraine jinsi ilivyo 1994, ahadi ya kusaidia Ukraine ikitishiwa, ahadi ya kamwe kutumia mabavu dhidi ya Ukraine.
Ndivyo ulivyokaririshwa? Pole sana mkuu na kwa kukariri huko, utateseka sanaa
 
Huu uzi kuulewa itanichukua muda sana

Maana kila reporter nayemsoma humu anadai upande wake unatoa kichapo na source anaweka.

Mpaka saizi sijaona upande ambao umeonesha unyonge.

Sasa kama vita imefikia hapo, kunaweza kupatikana mshindi hapo?

Au vita nazo zinakuwaga na droo?
Tunywe supu MKUU nyama tutazikuta huko chini ila uhakika RUSSIA [emoji635] anaupiga mwingi
 
Wameanza kuongea ya moyoni.
Ndio wakome.
Zelensky alishafanya miscalculations toka mwanzo, nadhani hakujua mambo yataenda hivi, aliamini/aliover estimate sana umuhimu wake kwa west, aliamini West watampa backup kubwa aliyokua anaifikiri yeye.

Ila baada ya mambo kuanza kupamba moto akaanza kulalamika
20230617_214053.jpg

20230617_214202.jpg


mambo yakaenda kinyume na matarajio yake
IMG_20230617_213620_928.jpg


Misaada ya kijeshi aliyokua anafikiri itakua inamiminika kwa speed akaona inaanza kupungua
IMG_20230617_214904_757.jpg

20230617_215354.png

Akiomba NATO waweke "no fly zone" majibu yanakuja ya chenga chenga mara wamwambie hiyo itakua ni direct confrontation na hawataki direct confrontation na Russia.
20230617_220924.png


IMG_20230617_214321_029.jpg
 
Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.

Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.

Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.

Bye Bye 👋 hypersonic

View attachment 2660553
Hypersonic sio bunduki ambazo kila mmarekani hadi watoto wanazo
 
Back
Top Bottom