Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo mengi muda mchache....

U
krainian forces have destroyed an ammunition depot near the Russian-occupied port city of Henichesk in the southern region of Kherson, authorities have claimed.
Serhiy Bratchuk, a spokesperson for the Odesa military administration, said Ukrainian forces destroyed a “very significant” ammunition depot in the village of Rykove.
 
Asante, kwa hiyo tumtakie tu kheri huyo ndugu yetu mwendesha magari ya mizinga, ni askari wa maisha yake anatafuta kula yake na ya familia yake
Huko nyumban dola imekua kipusa

Kwa hiyo napambana ili zisijekosekana kabisa

Hizo chache unazoziona ujue mim ni mmoja ya wachangiaj ili ziwepo[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hayo ndiyo umeaminishwa na West!Huwezi kusikia mauaji yaliyofanyika huko Donbas tokea 2014 baada ya mapinduzi!
Russia ameufungua ulimwengu macho,double standards ili kusave the US interest zinafanyika san...
Mkuu je niliaminishwa nini na "West"?

Habari za Srebenica na mauaji ya Waislamu wa Bosnia hujasikia?
Na mauaji mengine?

Kuhusu Israel na Urusi ni nani mwenye double standard?
Hujui kweli kwamba tangu mwanzo Urusi / USSR ilikuwa nguzo muhimu katika kutokea kwa Israel?

Tayari kabla ya ugawaji wa Palestina, kwenye tarehe 14 Mei 1947 USSR ilikubali mipango ya kugawa Palestina kuwa dola la Kiyahudi na Dola la Kiarabu, ingawa ilikuwa dhahiri kwamba hii ingemaanisha vita.
Hujui kweli kwamba USSR / Urusi ilikuwa nchi ya kwanza ya kutambua rasmi dola jipya la Israel? Kabla ya Marekani na nchi nyingine?

Hujui kwamba silaha kutoka Chekoslovakia (wakati ule tayari nusu koloni ya Urusi) zilikuwa msingi kwa mafanikio ya israeli katika vita ya 1948/49?

Ni tangu miaka ya 1955/55 pekee kwamba Urusi iliona faida zaidi kushikamana na nchi za Waarabu. Nchi kama Misri na Syria walikuwa wateja bora wa silaha za kirusi.

lakini Urusi / USSR iliweka msingi muhimu kwa kuundwa kwa Israeli. Upande mwingine wa hadithi hiyohiyo ni vita za Israeli dhidi ya Waarabu na kutokea kwa wakimbizi Wapalestina...

Leo hii uhusiano wa Urusi na Israeli si vibaya. Kuna raia milioni 1.5 nchini Israeli wanaoongea kirusi nyumbani kwao , Kirusi ni lugha ya tatu nchini Israel (baada ya Kiebrania na Kiarabu)
 
Mkuu kilichotokea Ukraine mwaka 1964 kilikuwa mapinduzi. Mapinduzi (kama Zanzibar, kama Ukraine, kama Ufaransa, kama Urusi) ni jambo la ndani la kila nchi.
Mapinduzi hayaundi haki ya nchi nyingine ya kujiingiza katika mambo yake.

Je, kwenye msingi gani Urusi ilidai chochote kuhusu mambo ya ndani ya Ukraine? Mkataba wa kimataifa wa Helsinki 8uliokubaliwa na USSR na Urusi) uliipa Ukraine kila haki ya kuendesha mambo yake na kushirikiana na nchi nyingine.
Swali jingine jibu jingine alooh
 
Mkuu unachanganya mambo. Nilijadili kazi ya NATO dhidi ya mauaji ya Waislamu wa Bosnia kwenye mwaka 1995 iliyokubaliwa kabisa na Baraza la Usalama.
Wewe unajadili jambo tofauti, ni vita ya Kosovo. Ni kweli kwamba NATO iliingia hapa bila idhini ya Baraza la Usalama.
Unavyosema kweli, shabaha ilikuwa kampeni ya kuua Waislamu wengi wa Kosovo na kuwafukuza walioishi. Ilizuia tishio la wimbi la wakimbizi milioni. Walifanya bila idhini ya baraza la usalama. Ila je unaonaje wangefanya nini wakiona jeshi lilelile la Waserbia lililowahi kuua Waislamu wengi wa Bosnia wakilenga sasa watu raia wa Kosovo?

kuhusu Libya unathibitisha kwamba Baraza la Usalama ilikubali kuingia kwa wanaanga wa nje katika vita ya Libya. Urusi na China walikuwa na uwezo wa kusimamisha hatua hiyo, waliamua kutosimamisha.
Kwa nini unafikiri waliwavumilia? Kwa sababu shujaa Ghaddafi alipenda taifa lake mno au kwa sababu mwuaji Ghaddafi aliua watu wake hovyo??
Suala la msingi ni kuwa US na Alllie wake wanafanya wanavyotaka bila kujali UN wala security council!Hiyo ndio hoja niliyokuwekea hapo!Hata kule Iraq japokuwa UN walikataa ila US na washirika wake wakatumia nguvu!
Putin na yeye ametoa justifications zake kuvamia Ukraine!Hajajali UN wala security council!Ni ubabe kwenda mbele,kama US anafanya,why Russia asifanye?
Hoja ndio hiyo!Mengine ni porojo tu!
 
Mkuu je niliaminishwa nini na "West"??
Habari za Srebenica na mauaji ya Waislamu wa Bosnia hujasikia ???????
Na mauaji mengine?

Kuhusu Israel na Urusi ni nani mwenye double standard?
Hujui kweli kwamba tangu mwanzo Urusi / USSR ilikuwa nguzo muhimu katika kutokea kwa Israel?
Tayari kabla ya ugawaji wa Palestina, kwenye tarehe 14 Mei 1947 USSR ilikubali mipango ya kugawa Palestina kuwa dola la Kiyahudi na Dola la Kiarabu, ingawa ilikuwa dhahiri kwamba hii ingemaanisha vita.
Hujui kweli kwamba USSR / Urusi ilikuwa nchi ya kwanza ya kutambua rasmi dola jipya la Israel? Kabla ya Marekani na nchi nyingine?????
Hujui kwamba silaha kutoka Chekoslovakia (wakati ule tayari nusu koloni ya Urusi) zilikuwa msingi kwa mafanikio ya israeli katika vita ya 1948/49???

Ni tangu miaka ya 1955/55 pekee kwamba Urusi iliona faida zaidi kushikamana na nchi za Waarabu. Nchi kama Misri na Syria walikuwa wateja bora wa silaha za kirusi.

lakini Urusi / USSR iliweka msingi muhimu kwa kuundwa kwa Israeli. Upande mwingine wa hadithi hiyohiyo ni vita za Israeli dhidi ya Waarabu na kutokea kwa wakimbizi Wapalestina...

Leo hii uhusiano wa Urusi na Israeli si vibaya. Kuna raia milioni 1.5 nchini Israeli wanaoongea kirusi nyumbani kwao , Kirusi ni lugha ya tatu nchini Israel (baada ya Kiebrania na Kiarabu)
Unazunguka mbuyu tu,ni kwanini US anafadhili silaha kwa taifa vamizi la Israel?
 
Hapa alikuwa anataka asemaje mkuu?
 
ni jambo la ndani la kila nchi.
Mapinduzi hayaundi haki ya nchi nyingine ya kujiingiza katika mambo yake
Mkuu, unajipofusha ama ndiyo kuzidiwa mzigo wa kubeba "green card"?
Hapa Nulad anafanya nini Kiev, hiyo Dec. 2013? Au Nulad ni raia wa Ukraine! Unashangaza sana.

December 11, 201312:58 PM ET
By
Mark Memmott
nuland112way-10f24e8ba634b2b22139d9f4277fd9b007ac8e9c-s1100-c50.jpg

U.S. Assistant Secretary for European and Eurasian Affairs Victoria Nuland offered food to pro-European Union activists as she and U.S. Ambassador to Ukraine Geoffrey Pyatt, right, walked through Independence Square in Kiev, Ukraine, on Wednesday. She also offered food to some of the police nearby.
Andrew Kravchenko/AP

Wakuu, Ukraine naishangaa. Kama unataka kufanya counter offensive si unashtukiza. Sasa mwezi mzima mnatamba kwenye media ili adui awasubiri tu. Nomq sana
Tatizo unakuta wanajiamini na visilaha vyao, mafunzo na propaganda wakidhani wanaenda Libya kumbe wanaenda kucheza na moto.
Mara kwa mara Putin huwaambia kabisa kwamba wanacheza na moto!

Urusi inaichukulia Ukraine kama mtoto wake wa kumzaa ndio maana anafanya kumwadhibu mtoto wake taratibu ila ungekuta ni taifa lingine kama Ufaransa, Germany, Italy, Australia, marekani au Uingereza tungeshaona majanga duniani.
 
Back
Top Bottom