Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin told how he receives data on the losses of the Armed Forces of Ukraine

The data on the losses of the Armed Forces of Ukraine, which the President of the Russian Federation Vladimir Putin receives, are based, in particular, on radio intercepts.

The Russian leader spoke about this in the closed part of the conversation with the military commanders.

“ By the way, what I told you about the losses of the enemy - they confirm this among themselves in conversations. There are a lot of channels. They listen to us, and we listen to them ,

”Putin said in an interview with military correspondents.
 
Taarifa hizo (za kijasusi) zadai pia kuwa Zelenzky huwa hawana imani na Zaluzhny hivyo kuwa mbuzi wa kafara ili kuondoa umaarufu wake ni dhahiri.

Washapewa jina waitwa Zelensky Gang.

Zaluzhny alipendekezwa na Marekani katika majenerali wote na kwa kuwa ana umri wa miaka 49 bado ni kijana mdogo sana kuanza kupata umaarufu.

Hivyo hii Counter Offensive kama ingekuwa yaonyesha kushika kasi basi umaarufu wa Zaluzhny ungezidi kupaa.

Kuna kitu katika vita chaitwa "Heroic death at the front" ni mbaya sana ukiwa na watu waso na maana.
Hebu tudadavulie kuhusu hiyo "heroic death at the front" bwasheee
 
Kuna mpuuzi humu ndani aliwahi kutuhadithia
  1. Wanajeshi wa russia ni walevi, hawana uweledi wa mafunzo ya kijeshi
  2. Wanajeshi wa RUSSIA wanazidiwa kiubora na WAGNER
  3. Wanajeshi wa russia hawana uwezo wa kimapambano ukilinganisha na wanajeshi wa nchi nyengine mfano amerika, france na uingereza.
Huyo bwana kwa sasa amekimbia kwa sababu ukraine hawajapata sababu ya kujimwambafai huko vitani.

Kwa asiyefahamu huu mkon'goto Jazz band dhidi ya ukraine unaongozwa na wahuni wenyewe.

Wagner walishapewa mapumziko.
Atakapokuja nitamuuliza,
Wanajeshi wa russia bado ni legelege?
Sema armata ana kamba sana. Nilichoka nae alivosema fighter pilots wa Russia wanapush zile mashine bila oxygen mask, nikasema dah! Hiki kiwango cha propaganda kimepitiliza viwango vya kawaida.
 
Russia appears to be transferring equipment and troops from Kherson Oblast to the southeastern Zaporizhzhia front where a Ukrainian counteroffensive is underway, Ivan Fedorov, an exiled mayor of Melitopol, said on June 18.

Speaking on television, Fedorov said local residents in Melitopol, a city in Zaporizhzhia Oblast occupied by Russia since March 2022, witnessed Russian equipment and troops arriving from the directions of Nova Kakhovka and Kakhovka in occupied territories of Kherson Oblast. These cities suffered catastrophic floods after Russian forces blew up the major Kakhovka dam on June 6.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nipo Odessa eneo hasa ninapoish ni siri kutokana na unyeti wa majukumu yangu


Shughul yangu ni udereva


Nasafirisha mizinga ya Ukraine
Safi sana Kiongozi. wewe sasa ndo dayaspora. Wacha vijana wa kibongo nyumbani waendelee kugombania ajira za ualimu na kada ya afya. Siku zote, the higher the risk the higher the reward
 
🔹Russian Federation Ministry of Defense

▶️The enemy, with forces of up to three armored personnel carriers, reinforced with tanks and armored vehicles, under the cover of smoke screens, made unsuccessful attempts at offensive operations in several waves in the areas of the settlement. Novopokrovka, Novodanilovka and Malaya Tokmachka, Zaporozhye region.

Ukraine wako vizuri kwa matumizi ya silaha za kisasa.

Hii ya smoke screen binafsi siijui na hata Russia hii kitu hawana.

Cc: Mkuu kp kipanya44
 
Wakuu, Ukraine naishangaa. Kama unataka kufanya counter offensive si unashtukiza. Sasa mwezi mzima mnatamba kwenye media ili adui awasubiri tu. Nomq sana
Zelensky anafikiri bado anaigiza.

20230618_203053.jpg
 
Ukraine wako vizuri kwa matumizi ya silaha za kisasa.

Hii ya smoke screen binafsi siijui na hata Russia hii kitu hawana.

Cc: Mkuu kp kipanya44
Unaweza ukajijengea heshima ila pumba moja ikakushusha na ukaonekani ni mjinga wa kutupwa.

Smoke screen sio siraha ni mbinu tu ya kivita ambayo ipo enzi na enzi lengo nikumnyima adui uoni au kumpotezea adui target.

Chanzo cha moshi inaweza kuwa baruti maalumu au grenade.Pia inaweza kuwa ni magari vita au vifaru au chochote.

Mnalipua moshi huku mnasonga mbele adui hawezi kuona kua mpo wangapi, mna siraha gani mna magari mangapi, moshi unampotezea adui target.

Pia moshi unaweza mfanya adui ajue ameshapiga target.Bila ya yeye kujua kua anasogelewa.

Ila kwenye modern war yenye technolojia kali ya mionzi ya kuscani na drone hiyo mbinu haisaidii.
 
Kwanza Hii Vita Imekua nzuri sana kwa Urusi wao wamejisimamia wenyewe kiume kupigana na Nchi 50 zinzojiita zina uchumi Mkubwa. Wanaume wamesimama imara sana...Ni jambo zuri wamejua nguvu yao na uhalisi wa nguvu ya NATO ambayo ni bla bla tu...

Shida Yenu kubwa hamjui haya mambo hasa Team LGBTQ nyie hamjiulizi kwann Urusi anapigana kule mnadhani anapenda?? ila bila kukapiga hako ka Nchi na kupeleka msg wangevamia Urusi pale...Wacha Ukraine ipigwe heshima iwepo...
Walitegemea Urusi itaanguka Chini na kusambaratika kwasababu ya vikwazo vyao...Niwambieni Ile Nchi ya Urusi ni imara sana inatuwakilisha sisi sote tulioumizwa sana na magaidi hao wa NATO...

KILA MWANAJESHI WA URUSI ANAEKUFA damu yake inatuhusu sote maana wanavunja mnyororo wa shetani ataetulazimisha tuolewe wote bila kujali jinsia....Asante Warusi
Umeongea Kwa hisia Kali sana... Na wote wapenda Amani tuko pamoja na Russia... Had saiv asingeingia Ukraine dunia tungekuwa na wimbi sjui la ngapi la COVID
 
Unaweza ukajijengea heshima ila pumba moja ikakushusha na ukaonekani ni mjinga wa kutupwa.

Smoke screen sio siraha ni mbinu tu ya kivita ambayo ipo enzi na enzi lengo nikumnyima adui uoni au kumpotezea adui target.

Chanzo cha moshi inaweza kuwa baruti maalumu au grenade.Pia inaweza kuwa ni magari vita au vifaru au chochote.

Mnalipua moshi huku mnasonga mbele adui hawezi kuona kua mpo wangapi, mna siraha gani mna magari mangapi, moshi unampotezea adui target.

Pia moshi unaweza mfanya adui ajue ameshapiga target.Bila ya yeye kujua kua anasogelewa.

Ila kwenye modern war yenye technolojia kali ya mionzi ya kuscani na drone hiyo mbinu haisaidii.
Elimu bahari

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom