Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Taarifa ziliopo zasewma alijeruhiwa vibaya na ana hali mbaya.

Taarifa hizo zasema kuwa alifarishwa chini ya ulinzi mkali kutoka hospitali ya kijeshi Kyiv na kupelekwa hapo Ujerumani kwa matibabu zaidi.

Ni hayo tu mkuu.
Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, unajipofusha ama ndiyo kuzidiwa mzigo wa kubeba "green card"?
Hapa Nulad anafanya nini Kiev, hiyo Dec. 2013? Au Nulad ni raia wa Ukraine! Unashangaza sana.

December 11, 201312:58 PM ET
By
Mark Memmott
nuland112way-10f24e8ba634b2b22139d9f4277fd9b007ac8e9c-s1100-c50.jpg


U.S. Assistant Secretary for European and Eurasian Affairs Victoria Nuland offered food to pro-European Union activists as she and U.S. Ambassador to Ukraine Geoffrey Pyatt, right, walked through Independence Square in Kiev, Ukraine, on Wednesday. She also offered food to some of the police nearby.
Andrew Kravchenko/AP

Huyo mama, Jack Sulivan na Blinken ni wayahudi wenye asili ya Ukraine.

Wameazimia kumwangusha Vladmir Putin.

Ni vita ya muda mrefu.
 
Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkurugenzi wa ujasusi wa nje wa Russia (SVR) bwana Sergey Naryshkin leo ametoa updates na kusema Russia ina taarifa zote za Zaluzhny lakini hawatozitoa "publicly".

Ukraine wamekanusha kwamba Zaluzhny ni mahututi kwa majeraha lakini Russia wana taarifa zote za kamanda huyo ila hawatosema chochote kwa sasa.

Raisi Putin nae akiongea na waandishi na baadae kupitia TASS (kitengo cha mawasiliano cha raisi wa Russia) amesema kuwa Russia inazo taarifa zote na yapewa updates zote.

Hivyo kujibu suali lako twaweza kusema kuwa jenerali Zaluzhny alijeruhiwa katika shambuli kubwa lilofanywa na Russia pale ilipotuma kombora la Iskander kwenye moja ya vituo vikubwa vya kuongoza vita.

Na sasa hivi (yasemwa) kuwa yupo Ujerumani akipata matibabu makubwa.
 
Kwani nae alikuwepo kwenye lile andaki la mita 100 chini ya ardhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye alitangaza hadharani kuwa anaona raha kuwauwa Warusi na ataendelea kuwauwa popote pale atakapokutana nao.

Ngoma iitumwa Makao Makuu ya Ofisini za Upelelezi Ukren, yaani alijeruhiwa ofisini kwake sio kwenye handaki.
 
Wale wa kaunta ofwensive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️For almost a month, the "guards of the offensive" could not advance anywhere[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Mbona tumesikia wanakomboa mita moja moja kila baada ya siku 3, au propaganda tu?
 
Yeye alitangaza hadharani kuwa anaona raha kuwauwa Warusi na ataendelea kuwauwa popote pale atakapokutana nao.

Ngoma iitumwa Makao Makuu ya Ofisini za Upelelezi Ukren, yaani alijeruhiwa ofisini kwake sio kwenye handaki.
Taarifa hizo (za kijasusi) zadai pia kuwa Zelenzky huwa hawana imani na Zaluzhny hivyo kuwa mbuzi wa kafara ili kuondoa umaarufu wake ni dhahiri.

Washapewa jina waitwa Zelensky Gang.

Zaluzhny alipendekezwa na Marekani katika majenerali wote na kwa kuwa ana umri wa miaka 49 bado ni kijana mdogo sana kuanza kupata umaarufu.

Hivyo hii Counter Offensive kama ingekuwa yaonyesha kushika kasi basi umaarufu wa Zaluzhny ungezidi kupaa.

Kuna kitu katika vita chaitwa "Heroic death at the front" ni mbaya sana ukiwa na watu waso na maana.
 
  • Uwezo wa Urusi wa sasa kutengeneza silaha kwa asilimia
  • Chemical components and goods—99.1 percent
  • Fabricated metal products besides, machinery and equipment (e.g., artillery munitions)—125.3 percent
  • Computers, electronics and optical devices—118.7 percent
  • Other transportation vehicles and equipment (e.g., tanks, armored vehicles, civilian and military aircraft, warships and railway cars)—114.6 percent
 
Back
Top Bottom