Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
askari mamluki wanalipwa bei gani? bora tukafie vitani kuliko fedheha.Karibuni...
askari mamluki wanalipwa bei gani? bora tukafie vitani kuliko fedheha.Karibuni...
Mtanzania hutakiwi kuwa askari nchi nyingine😇Da - Msishikaji, umetisha sana... Pole kwa kazi.. Hapo Odessa siwezi pasahau, kuna matapeli sana, kuwa makini... nilifikiri uko Kievi au Maykolaiv... kazi ni popote kwa kweli , lakini huko nyumbani watu wanalalamika kwamba hakuna kazi na wewe unapiga mzigo wa mizinga... vijana nyumbani Tanzania kuna la kujifunza... ubarikiwe na pole na kazi ya mizinga. Kazi ni popote duniani - haijarishi ni Mizinga au nini- kuchakalika tu ndio manafaniko...
Kuwa askari wa maisha yako- ni kipengere gani ya katiba kinakataza, hebu tuambie ndugu yetu...Mtanzania hutakiwi kuwa askari nchi nyingine😇
Kuna wabongo wengi tu ni askar jeshi arabunMtanzania hutakiwi kuwa askari nchi nyingine[emoji56]
Kuwa askari wa maisha yako ni ruksa kabisa.Kuwa askari wa maisha yako- ni kipengere gani ya katiba kinakataza, hebu tuambie ndugu yetu...
Safi kabisa,Dunia inaenda kua huru sasaDeNATOnization. Haha! Good one... Nadhani hii itakuja mara tu baada ya mchakato wa Dedollarization kukamilika. Nakumbushwa hapa kwamba umefikia 71% kwa sasa.
Putin alipoulizwa zaluzhny yuko wapi?
Abroad ya wapiiii, tusubirie
Asante, kwa hiyo tumtakie tu kheri huyo ndugu yetu mwendesha magari ya mizinga, ni askari wa maisha yake anatafuta kula yake na ya familia yakeKuwa askari wa maisha yako ni ruksa kabisa.
Dah yaani Putin na Urusi ni watu waungwana sana ,Putin anavyoelezea Hadi naona wajumbe wameguswa na wako na masononeko sana.Putin akielezea mkataba uliowafanya waondoe majeshi yake sehemu mbalimbali Ukraine kwa hiyo swali limeibiwa ni kwanini urusi iliondoka Kiev na iliondokajeView attachment 2661410
Kweli kabisa mwamba,wale walijaribu kupotosha sana na vedeo game zao,lkn tuliweza kuwadhibiti .Daaah,Russia amejua kututesa!Angetuwekea huu mkeka mapema,tungeepuka wale wenzetu wanaopost msafara kwenda kiev umeishilia wapi!
West nao daaah,wakatujaza uongo kumbe wanajua kwanini ilikuwa hivyo!Aiseee
Hawakuwahi kiwarudisha hata inch moja.Kumbe russia alijitoa Kiev Kwa sababu ya agreement waliyosaini na Ukraine?chini ya rais wa Uturuki walisaini hati makubaliano ambayo yalisababisha warusi warudi nyuma maeneo mbalimbali kwa hiyo Ukraine haijawahi kuwarudisha warusi nyuma
Jamaa wasiri sanaDaaah,Russia amejua kututesa!Angetuwekea huu mkeka mapema,tungeepuka wale wenzetu wanaopost msafara kwenda kiev umeishilia wapi!
West nao daaah,wakatujaza uongo kumbe wanajua kwanini ilikuwa hivyo!Aiseee
Mkuu kilichotokea Ukraine mwaka 1964 kilikuwa mapinduzi. Mapinduzi (kama Zanzibar, kama Ukraine, kama Ufaransa, kama Urusi) ni jambo la ndani la kila nchi.Hebu tuanzie hapa tusaidie sisi tusiojua 2014 ila coup pale ukrane iliyomuondoa rais halal aliekuwa madarakani kisheria na kidemokrasia inayohubiriwa, nani alikuwa nyuma ya pazia na lengo lilikuwa ni nin?...
Urusi anawapiga Ukraine kindugu sana! Anawahurumia sana! Amewapa nafasi nyingi sana za kutubu lakini Ukraine wameendelea kujazwa upepo na USA, NATO na washirika wake!Kumbe russia alijitoa Kiev Kwa sababu ya agreement waliyosaini na Ukraine?chini ya rais wa Uturuki walisaini hati makubaliano ambayo yalisababisha warusi warudi nyuma maeneo mbalimbali kwa hiyo Ukraine haijawahi kuwarudisha warusi nyuma
Mkuu unachanganya mambo. Nilijadili kazi ya NATO dhidi ya mauaji ya Waislamu wa Bosnia kwenye mwaka 1995 iliyokubaliwa kabisa na Baraza la Usalama.Acha uongo,uko hapa kwa ajili ya kueneza propaganda za west!
NATO's intervention was prompted by Yugoslavia's bloodshed and ethnic cleansing of Albanians, which drove the Albanians into neighbouring countries and had the potential to destabilize the region...