mwanzamwanzo
Senior Member
- Mar 8, 2023
- 103
- 143
Atakuwa IGOMBE,, kama sio bezi,,Upo mji Gani?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Atakuwa IGOMBE,, kama sio bezi,,Upo mji Gani?
Dunia itakuwa sehemu salama kama USA na washirika wake watadhibitiwa.Kafungue uzi zako zaid ya 5 kama kawaida yako [emoji2][emoji2]ueneze ugasho wako maana sikuelewagi daily unafungua uzi za chuki either za dini au propaganda za west ...
Inshort we ni member wa ovyooo kuwai tokea humu
Yaani itaonekana umekufa kifo cha kishujaa lakini kumbe nyuma ya pazia pana zengwe kubwa.Hebu tudadavulie kuhusu hiyo "heroic death at the front" bwasheee
Usisahau ni mkenya fake huyoKafungue uzi zako zaid ya 5 kama kawaida yako [emoji2][emoji2]ueneze ugasho wako maana sikuelewagi daily unafungua uzi za chuki either za dini au propaganda za west ...
Inshort we ni member wa ovyooo kuwai tokea humu
Mapipa ya super pawer yanazid kupukuchuliwa tu[emoji28]
[emoji298][emoji298]Good evening, we are from Ukraine! Another Russian Ka-52 ‘Alligator’ helicopter was shot down this afternoon. The budget of the Russian Federation was cut by about $16 million. Glory to Ukraine," the report says.
VIDEO
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Daaah,Russia amejua kututesa!Angetuwekea huu mkeka mapema,tungeepuka wale wenzetu wanaopost msafara kwenda kiev umeishilia wapi!
West nao daaah,wakatujaza uongo kumbe wanajua kwanini ilikuwa hivyo!Aiseee
Dogo mjinga sana kutoa irresponsible kauli kama zile!!!Zaluzhny
Unaweza ukajijengea heshima ila pumba moja ikakushusha na ukaonekani ni mjinga wa kutupwa.
Smoke screen sio siraha ni mbinu tu ya kivita ambayo ipo enzi na enzi lengo nikumnyima adui uoni au kumpotezea adui target.
Chanzo cha moshi inaweza kuwa baruti maalumu au grenade.Pia inaweza kuwa ni magari vita au vifaru au chochote.
Mnalipua moshi huku mnasonga mbele adui hawezi kuona kua mpo wangapi, mna siraha gani mna magari mangapi, moshi unampotezea adui target.
Pia moshi unaweza mfanya adui ajue ameshapiga target.Bila ya yeye kujua kua anasogelewa.
Ila kwenye modern war yenye technolojia kali ya mionzi ya kuscani na drone hiyo mbinu haisaidii.
Mkuu!Inajulikana toka mwaka jana kuwa ni hivyo goodwill(wakajiondoa Kyiv na maeneo yanayoizunguka).ila kuhusu Khakiv,Lughask,na Kherson huko walirudishwa kijeshi(kwa vita)Kumbe russia alijitoa Kiev Kwa sababu ya agreement waliyosaini na Ukraine?chini ya rais wa Uturuki walisaini hati makubaliano ambayo yalisababisha warusi warudi nyuma maeneo mbalimbali kwa hiyo Ukraine haijawahi kuwarudisha warusi nyuma
Mkuu!sipo humu kushadidia vita la hasha!natembelea humu occationaly kuja kuangalia kama suruhu imepatikana(build up).Usipokuwa na upande inamsaidia nani? Hupendi vita halafu kutwa uko kwenye uzi wa vita, si uende jukwaa la dini?
Mkuu!Sawa ila kumbuka too much is harmful(and bored) so kila kitu in moderation!Wao watakwambia vita bila propaganda ni sawa tu na WWE
Mkuu!kuwa makini.sizungumzii impact kwa pande hizi isipokuwa mtazamo wangu katika mgogoro huu.jikite katika mada!Hata ungekua na upande na NATO huna impact yoyote.
Pro Russia Ina vichwa hatari.