Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio maana russia anapigika bila ya wanaume kuingia kwenye uwanja wa vita full

Anapigwa kweli mpk majimbo yote Ukraine karudisha kupitia kaunta ofensivuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na sehem ingine wamesonga mbele multiple direction [emoji28][emoji28]
Afu kuna ile singular attack yaan wako vyema na habari zote izo ni kipanya media [emoji2]
 
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaada
jibu swali acha kulalamika taja nchi ya nato ambayo haijapeleka silaha

Wazee bukhmut ipo moyoni mnatabu sana
 
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaada
Putin amewakaribisha mpeleke F-16 ukraine!Ila kaweka wazi iwapo zitatumika kwenye combat halafu zinarudi base nje ya Ukraine basi zitachomewa huko huko!
 
Ndio maana russia anapigika bila ya wanaume kuingia kwenye uwanja wa vita full

Sasa ulikua unabisha nini kama NATO hawako kwenye vita na Russia??. Unajiskiaje kuona zaidi ya Mataifa 30 tajiri kupambana na taifa moja??

Wenzako washaanza kuogopa kwamba Russia akimalizana na Ukraine ataanza ingia nchi za NATO na hakuna watakachofanya, wameanza kuhoji umuhimu wa NATO kwa ulaya ni upi? endelea kulishwa propaganda
 
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaada

Taja silaha kubwa kubwa ambazo NATO wanazo hazijaenda Ukraine.
 
Naona US kapata kigingi China, kaambiwa hivi

"During a meeting with US Secretary of State Antony Blinken, Wang Yi said that the United States should make a choice between dialogue and confrontation, cooperation and conflict."

Nadhani,US ilikwenda kule kuitisha China ipunguze ushirikiano wa kibiasha na Russia vinginevyo itatumia turufu ya Taiwan. Nawaza. Majibu ya China si mchezo.
 
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaada
Unataka kusema leopard battle tanks Ni ndogo? Challenger, na abram Ni ndogo je MiG 29 Ni ndogo? Himars Ni ndogo? Unataka kuaminisha JF kuwa hata patriotic Ni silaha ndogo? Haupo serious Kama vipi jitoe kwenye huu Uzi.
 
Sasa ulikua unabisha nini kama NATO hawako kwenye vita na Russia??. Unajiskiaje kuona zaidi ya Mataifa 30 tajiri kupambana na taifa moja??

Wenzako washaanza kuogopa kwamba Russia akimalizana na Ukraine ataanza ingia nchi za NATO na hakuna watakachofanya, wameanza kuhoji umuhimu wa NATO kwa ulaya ni upi? endelea kulishwa propaganda
Huyo jamaa inaonekana IQ yake haipo vizuri, Àchana naye punyeto Ni mbaya Sana kwa NATO.
 
Anapigwa kweli mpk majimbo yote Ukraine karudisha kupitia kaunta ofensivuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na sehem ingine wamesonga mbele multiple direction [emoji28][emoji28]
Afu kuna ile singular attack yaan wako vyema na habari zote izo ni kipanya media [emoji2]
Taja Jimbo ambalo limerudishwa mpaka Sasa counteroffensive yenu imerudisha vijiji viwili tu navyo vimepokelewa Tena kijana acha Mambo ya LGBTQ wewe Ni kijana Taifa linakutegemea.
 
1687171934071.png
 
Unataka kusema leopard battle tanks Ni ndogo? Challenger, na abram Ni ndogo je MiG 29 Ni ndogo? Himars Ni ndogo? Unataka kuaminisha JF kuwa hata patriotic Ni silaha ndogo? Haupo serious Kama vipi jitoe kwenye huu Uzi.
Mkuu hizi silaha zinakuja kulingana na mahitaji, Ukraine baada vamizi kuvamia kwanza walianza kujihami kwa bunduki za mkono, baadae zikaja Stinjer na Javeline zikatamba sana mpaka vamizi akatimua zake Kyiv wanajesh kibao wa Russia wakapoteza maisha., sasa kadri ambavyo Russia wanakuja silaha kali na mahitaji ya silaha ya Ukraine ikawa yanaongezeka ndio mapaka kuja hizo kufikia hizo Patriotic systerms kwa sababu Urusi walitumia sana anga kuua watu Ukraine.,

Kumbuka vita haikuanza kwa drons Urusi ndio walikodi drons kutoka Iran ndio na wao wakabadilishiwa na kuletewa hizo Lopard tanks za kutungua na Patriotic system ni kwa hatua tu. Lakini hizi silaha zote bado kuna silaha kali na kubwa zaidi ambazo ata sisi hatuzijui kwa sababu nitakupa mfano nchi nying za ulaya wanaendelea kutoa silaha hizo hizo ambazo wewe unaona ni kubwa lakini zipo out of stock, Nchi kama Ujerumani, Finland, France nk zote wanatoa silaha ambazi hazina tena muda matumizi lakini zinawatesa Russia nafkiri unaskia huko Ukrain wanavyorejesha miji yao
 
[emoji187]“Ukraine will never compromise with the Kremlin regarding the territories of our country,” the head of the Presidential Office, Andriy Yermak, said in an interview with the WSJ.

According to him, Zelenskyy's peace formula provides for the withdrawal of Russian troops from the entire territory of Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vinaonya juu ya uwepo wa masafa marefu wa Bomber za Tu-22M3 angani na uwezekano wa kurusha kombora za Hypersonic Kh-22/32
Kuna Patriot kiboko ya kinzhal,Wala hatuna wasiwasi

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
MoD Russia:
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(19 June 2023)

Part I (see Part II)

❗️The Russian Armed Forces launched a long-range sea-based high-precision weapons group strike against foreign-manufactured military hardware storage sites. All the assigned targets have been neutralised. The goal of the attack has been reached.

◽️During the day, the most active AFU offensive attempts were in South Donetsk and Donetsk directions.

◽️In South Donetsk direction, as a result of competent and self-sacrificing actions of the Vostok Group of Forces units, aviation and artillery, three attacks by AFU combined units have been repelled close to Vremevka salient.

💥 The enemy losses were 1 tank, 12 armoured fighting vehicles, as well as 1 foreign-manufactured combat engineer vehicle.

💥 In addition, 2 enemy attacks have been repelled, during which 2 tanks, 10 infantry fighting vehicles and 2 armoured fighting vehicles have been hit near Malaya Tokmachka (Zaporozhye region).

💥 The enemy losses were over 100 Ukrainian servicemen, 3 tanks, 10 infantry fighting vehicles, 14 armoured fighting vehicles, 4 motor vehicles, 2 Gvozdika self-propelled artillery systems, and D-20, Msta-B and D-30 howitzers.

◽️In Donetsk direction, active actions of the Yug Group of Forces have successfully repelled 4 enemy attacks close to Pervomayskoye, Petrovskoye and Staromikhailovka (Donetsk People's Republic).

💥 The enemy losses were over 340 Ukrainian servicemen, 2 armoured fighting vehicles, 5 motor vehicles, 1 Polish-manufactured Krab self-propelled artillery system, as well as D-20 and Msta-B howitzers.

1 ordnance depot of the AFU 5th Assault Brigade has been destroyed near Ivanovskoye (Donetsk People's Republic).

◽️In Kupyansk direction, as a result of the strikes, launched by Army Aviation, artillery and the units of the Zapad Group of Forces, the actions of 2 Ukrainian sabotage and reconnaissance groups have been prevented close to Timkovka (Kharkov region).

💥 The enemy losses were up to 45 Ukrainian servicemen, 3 armoured fighting vehicles, 4 motor vehicles, and 1 Polish-manufactured Krab self-propelled artillery system.

#MoD
🔹 @mod_russia_en

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(19 June 2023)

Part II (see Part I)

◽️In Krasny Liman direction, aviation and artillery of the Tsentr Group of Forces have hit enemy units near Kuzmino, Makeevka (Lugansk People's Republic), and Serebryansky forestry.

💥 The activities of 3 Ukrainian sabotage and reconnaissance groups have been disrupted close to Yampolovka (Donetsk People's Republic), Chervonaya Dibrova and Kremennaya (Lugansk People's Republic).

💥 The enemy losses were up to 105 Ukrainian servicemen, 2 infantry fighting vehicles, 2 armoured fighting vehicles, 2 pickup trucks, 2 Gvozdika self-propelled artillery systems, as well as D-20 and D-30 howitzers.

◽️In Kherson direction, the enemy losses were over 40 Ukrainian servicemen, 4 motor vehicles and 1 U.S.-manufactured M777 artillery system.

◽️Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 93 AFU artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 102 areas.

💥 2 artillery depots have been hit: the AFU 1513th artillery ammunition depot and the 65th Mechanised Brigade close to Zaporozhye.

💥 Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Orekhov (Zaporozhye region).

◽️5 HIMARS multiple-launch rocket system projectiles have been also intercepted.

◽️In addition, 14 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down close to Mikhailovka, Pyatikhatka, Pologi (Zaporozhye region), Kirillovka (Donetsk People's Republic), Nikolayevka, Zmiyovka (Lugansk People's Republic), Staraya Zburyovka (Kherson region) and Velikiy Vyselok (Kharkov region).

📊In total, 444 airplanes, 240 helicopters, 4,700 unmanned aerial vehicles, 426 air defence missile systems, 10,192 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,125 fighting vehicles equipped with MLRS, 5,163 field artillery cannons and mortars, as well as 11,047 special military motor vehicles have been destro

#MoD
🔹 @mod_russia_en
 
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaada
We jamaa una uwezo Mdogo Sana wa uelewa kuhusu hii Vita...!!!
 
Back
Top Bottom