Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Karibu Miji yote ya Ukraine imeshambuliwa usiku kucha.kiev ndo imeongoza kupigwa mabomu usiku kucha.Anga lipo wazi [emoji23][emoji23]
Patriot ilikua imelala.
Karibu Miji yote ya Ukraine imeshambuliwa usiku kucha.kiev ndo imeongoza kupigwa mabomu usiku kucha.Anga lipo wazi [emoji23][emoji23]
Ki military tech’s Russia yupo 5 years ahead of USA
Hiiiiii!!!! Naomba kufahamishwa hii inahusianaje na huu Uzi [emoji848]Wanajeshi wa Ufaransa wakiwa chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa na Jeshi la Nchi ya Mali.
View attachment 2662954
Recruitment in PMC "Wagner" continues. The Orchestra will return to the front on August 5View attachment 2662828
Watakuwa walikuwa wamezizima ili zipumzike[emoji23][emoji23][emoji23]Patriot ilikua imelala.
Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger, na hii ndio silaha pekee kutoka umoja wa NATo ambayo ilimtoa vamizi katika miji ya Kyiv ambayo Urusi waliuvamia kwa kishindo. Vile vifaru sasa vimebaki ni maonyesho pale Ukraine muulize Ramaphosa wa South Africa juzi alitembezwa kote kuonyeshwa kazi ilivyofanyika kudungua huo msururu.
Urusi sasa hana silaha drone alizokuja nazo baadae alikodi kutoka Iran, silaha kubwa anayotumia Russia ni long range missiles ambayo hukaa black sea na kuangusha majumba ya raia na hospital na kuua watu waliomo basi, wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege ndio sasa anashughulikiwa makobora yake yote ikiwemo hiyo Hypersonic zote zinadunguliwa un expected
[emoji3533][emoji3533][emoji3533][emoji298]Ukraine confirmed the liberation of Piatykhatky village in Zaporizhzhia Oblast on June 19, bringing the total number of liberated settlements since the start of the counteroffensive to eight, but reports difficult situation in the east.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunaomba kapicha au kavideo tu alikosema siku tatu pro westJifunze wewe kwanza unashindwa kujibu hoja, anavyoshughulikiwa rusia na putin sasa huwezi amini ndio mana unakuja hapa na frustration, si Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operation Ukraine? sasa je
Maana yake majeshi ya NATO ni vilaza kwa jeshi la Mali. Huoni Mmali mmoja amewakalisha mashoga hapo?Hiiiiii!!!! Naomba kufahamishwa hii inahusianaje na huu Uzi [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakati kina KP Kipanya wakipambana na propaganda wanaume wanachukua miji!Muonekano wa mji wa Marinka.warusi wakiendelea kusafisha msitu wa marinkaView attachment 2663001
Waache waongee ila mwishoni kabisa uwa wanakuwa wapole.hata Bakhmut tulikuwa tunawambia ukweli kuwa viongozi wao wanawaongopea ila awakutaka kutusikia.ila mwisho wa siku wakapata aibuWakati kina KP Kipanya wakipambana na propaganda wanaume wanachukua miji!
Wao wanaangaika kupambana na vijiji na bado vinawatoa jasho[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati kina KP Kipanya wakipambana na propaganda wanaume wanachukua miji!
West inapitia kipindi kigumu sana.Wanajeshi wa Ufaransa wakiwa chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa na Jeshi la Nchi ya Mali.
View attachment 2662954
😀😀😀😀😀😂😂😂😂😃😃😃Sema wa US wana movie kali sana .
Nimerudia mara kadhaa kusoma hii comment yako bado nimeshindwa kuelewa unataka kusema nini.wakati wenzao Ukraine walitumia vita ya ardhini kumshughulikia jamaa kwa kutumia Arms na sasa ndio kuna hiyo mifumo Patriot na Lopard kwaajili ya anga kwa sababu russia baadae alishindwa ardhini na kuja angani kuangusha mabomu kwa ndege