Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

That's why tunawaambia hawa nyumbu pro NATO Kwamba hii vita ilikuwa calculated na Putin. + His allies

That's why anapigana slowly[emoji23][emoji23] kama unakumbuka Kuna kipindi alipeleka majeshi pale Kyiv

Lakin akajishtukia kuwa kafanya mapema sana ......kuwa akimaliza vita mapema ....the target would not being archived ....

Je unadhani Russia Hana majasusi wa kumfyeka zelensky.....jibu ni kuwa Putin anaendelea ku buy time
Sawa sawa anapoteza muda ili kuichosha USA na EU, huku mchina akichukua uongozi wa uchumi duniani
 
Urusi wameomba Crimea isipigwe kwa HIMARS, kwamba Ukraine waendelee kutumia silaha za kawaida, yaani majuha....

Russia’s defence minister Sergei Shoigu says Ukraine plans to strike Crimea, with long-range HIMARS artillery and Storm Shadow missiles, according to a report from Russia’s TASS news agency.

“The use of HIMARS and Storm Shadow missiles outside the special operation zone will mean the full involvement of the United States and Great Britain in the conflict,” Shoigu said, adding that Russia will retaliate.
Mkuu Kuna sehemu hapo imeandika ameomba mkuu uweke google translator then uone kma Kuna ombi hapo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Alitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger,
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
 
Mkuu mabaki ya vifaru vya USSR yapo Ukraine kwenye maonyesho hata Ramaphosa juzi alionyeshwa, vimepakwa rangi wageni wanaenda Ukraine wanapiga navyo picha hata nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kuweka kwenye history
 
Mkuu!unfortunately unataka kuniingiza unataka kuniingiza katika propaganda.

Swali; hakuna siraha Ukraine hajatumiwa na NATO !

Jibu;nikazitaja baadhi na si zote!
Now unasema hata hizo zilizotumwa hazitasaidia chechote na kutaja siraha zako za upande wako kuwa ni bora zaidi(nje ya mada) japo zinashindwa komboa Donbas mpaka sasa.

NIGGA
Acha Kukera watu humu na Kiswahili chako cha 'siraha'........usahihi wake ni 'silaha'
 
Mkuu mabaki ya vifaru vya USSR yapo Ukraine kwenye maonyesho hata Ramaphosa juzi alionyeshwa, vimepakwa rangi wageni wanaenda Ukraine wanapiga navyo picha hata nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kuweka kwenye history
Duuuh hivi mnapata wapi kubishana na huyu jamaa??????, 😆😆😆😆😆😆

Swali la kizushi kipindi cha USSR ulikuwa umeshazaliwa??? 😆😆😆😆😆😆
 
The western “Ukraine will win” narrative collapses all across the board … even within Ukraine there are big doubts coming up now.

-> The last time the situation got stuck, they kept the public motivated with “Free the Leopards” narrative, then Ukrainian will win they said.

But this time the war is not “stuck”, this time pictures of destroyed leopards went through the world, no advances were made in the last 3 weeks. Only huge losses.

What will they do now? They need to keep the public, us the people, entertains and motivated.

The F16 discussion did not pick up the same steam as the Leopard thing. The offensive as if right now failed it’s objectives. They’ll try further sure … but it’s not a walk towards Melitopol.

They haven’t breached the first positions in 3 weeks
20230620_160753.jpg
 
Urusi wameomba Crimea isipigwe kwa HIMARS, kwamba Ukraine waendelee kutumia silaha za kawaida, yaani majuha....

Russia’s defence minister Sergei Shoigu says Ukraine plans to strike Crimea, with long-range HIMARS artillery and Storm Shadow missiles, according to a report from Russia’s TASS news agency.

“The use of HIMARS and Storm Shadow missiles outside the special operation zone will mean the full involvement of the United States and Great Britain in the conflict,” Shoigu said, adding that Russia will retaliate.

Maneno yako na habar hata haviendani [emoji23][emoji23]ila asante kwa habar tumeitafsir kama ilivo [emoji3]
 
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa

Wanapicha moja cjui waliitoa wapi ndio waliitumia kwenye uzi zao zaid ya 60 walizofungua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
The western “Ukraine will win” narrative collapses all across the board … even within Ukraine there are big doubts coming up now.

-> The last time the situation got stuck, they kept the public motivated with “Free the Leopards” narrative, then Ukrainian will win they said.

But this time the war is not “stuck”, this time pictures of destroyed leopards went through the world, no advances were made in the last 3 weeks. Only huge losses.

What will they do now? They need to keep the public, us the people, entertains and motivated.

The F16 discussion did not pick up the same steam as the Leopard thing. The offensive as if right now failed it’s objectives. They’ll try further sure … but it’s not a walk towards Melitopol.

They haven’t breached the first positions in 3 weeks
View attachment 2663297
Hiki kiswahili mbona kama cha Medvedev, ndo hua ana maneno ya kuudhi namna hii
 
Kwenye shambulizi kama hili wanalopata AFU ukisalimika nenda katambike.

Our brothers, who are now working in the Avdeevka direction, have shown the AFU what real "sunshine" (TOS) is like.
After such a scorcher, there will be less desire to fight.

#source

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Yaani kama ulaya wameshachoka Ila USA analazimisha Kwa kuwa anatoa pesa yake na silaha na ndiye anaitaka NATO zaidi kuliko ulaya Kwa malengo yake binafsi,

Subiri tupunguze mafuta ndiyo tutajua Nani ana ubavu wa kuishi bila urusi hapo ulaya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Hapa kuna ujerumani, Italy na France Kwa mbaali namuona uturuki yaani watajuta kupanda mtumbwi wa kibwengo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Na hatumalizi Vita mapema maana tukimaliza Vita mapema, watapata sababu ya kuomba gas ya urusi na huku wakijifanya wanafanya vikao vya peace plan, sasa hatumalizi haraka ili nafasi hiyo isiwepo

Unaleta ujeuri wakati Moto na chakula unapewa na jirani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Kingine nilisahau mrusi haongezi mkataba wa grain deal, hapa tunazubgumzia kwenye 31•2 tani za chakula kutoka Ukraine afrika zimekuja 900+k tu, zingine zote ulaya, Kwa hiyo kama mrusi akifunga hiyo deal ya chakula tunategemea ulaya walie njaa zaidi kuliko afrika [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Na mama Samia kaupiga mwingi kafunga biashara ya chakula nje ya nchi

Sema Putin ana huruma sana hivi angeamua kusimamisha kuuza mafuta na gas, EU wangekua na hali gani??
 
Kwenye shambulizi kama hili wanalopata AFU ukisalimika nenda katambike.

View attachment 2663337
Our brothers, who are now working in the Avdeevka direction, have shown the AFU what real "sunshine" (TOS) is like.
After such a scorcher, there will be less desire to fight.

#source

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community

Mabomu ya namna hii yanapasua hadi mapafu.
 
Back
Top Bottom