Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi wameomba Crimea isipigwe kwa HIMARS, kwamba Ukraine waendelee kutumia silaha za kawaida, yaani majuha....

Russia’s defence minister Sergei Shoigu says Ukraine plans to strike Crimea, with long-range HIMARS artillery and Storm Shadow missiles, according to a report from Russia’s TASS news agency.

“The use of HIMARS and Storm Shadow missiles outside the special operation zone will mean the full involvement of the United States and Great Britain in the conflict,” Shoigu said, adding that Russia will retaliate.
That's a warning bro it's not a request!
 
Screenshot_20230620-230002.png
 
Katika historia ya USA toka kuundwa kwao wamejikuta wamepanda mtumbwi wa kibwengo Kwa kuanzisha Vita hapo Ukraine

NATO imekutana na kile ambacho ndiyo sababu ya kuundwa yaani umoja wa kijeshi ulioundwa Kwa lengo la kuidhibiti urusi wakiongozwa na kaka Yao marekani

Kwenye maeneo kama Yugoslavia, Afghanistan, Libya, Iraq n.k walikuwa kama wanafanya mazoezi na kupata uzoefu wa kuja kushambulia urusi, baada ya kuona wameiva na wapo tayari ndiyo wakaandaa hii mbungi ya Ukraine, tahamaki wameingia Choo cha kiume maana wao asilimia kubwa ni mashoga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa sasa hivi NATO na USA wamejikuta wapi katikati ya bahari kwenye kina kirefu halafu hawana namna mbadala wa kutoka hapo walipo

Mrusi anaendelea kutoa dozi ya kipigo na wala haonekani kama atakuja kupunguza zaidi sanasana kila siku anaongeza mapigo na kibaya zaidi viwanda vyake vinazalisha silaha kupita matumizi, hapa ndipo west wanachanganyikiwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ulaya yote imeyumba kiuchumi, dollar inapoteza udhibiti wake duniani, mchina anakuja Kwa Kasi ya hypersonic kwenye maendeleo na kiuchumi duniani kutokana na nishati ya bei nafuu, Saudia kamwambia mmarekani wazi akifanya ujinga basi atamyumbisha kiuchumi (hapa mmarekani kawa mpole maana anajua nini kitafata)

Juzi Kati Bunge la marekani limeongeza kiwango cha ukomo wa kukopa Kwa lugha nyingine Bunge wameruhusu kuchapisha dollar zaidi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] swali langu watachapisha Kwa kiasi gani????, Maana hali haitegemei kutengemaa Leo wala kesho, na mrusi anapigana mdogo mdogo Hana haraka maana anataka kuona Vita inachukua muda mrefu lakini uchumi wa west unaweza kuhimili maumivu Kwa muda mrefu?????, Na mrusi anajua mpaka sasa wako kwenye dakika za mwisho za uvumilivu wao, na ndiyo maana mrusi kuna wakati anasema nikimalizana na Ukraine naingia Poland hii kauli haitoki Kwa bahati mbaya au ni kitisho, Ila wanasema hivyo ili ulaya useme kumbe tukishindwa hapa mrusi atatuvamia Kwa hiyo inabidi tupigane kufa na kupona ili tushinde, lakini kipindi wanapigana maana yake muda unasogea uchumi unaanguka pesa nyingi za walipakodi wanakuwa ni kama wamezichoma Moto maana hakuna wakuja kuwalipa, na hata wakija kushtuka uwezo wa kupigana na urusi hawana na kama watashindwa na kukubali matokeo basi haya yatatokea

1) NATO kuvunjika rasmi Kwa kuwa itaonekana haina umuhimu zaidi ya kutumia pesa za walipa Kodi, maana Yule adui ambaye ndiyo msingi wa kuanzishwa kwa NATO kawapiga na kuharibu uchumi wao kabisa

2)USA na EU kuanguka duniani kiushawishi, kiuchumi na kijeshi, hapa ndipo jumuiya ya ulaya itaona kila rangi, walizoea wizi ili watajirike hiyo mirija inaenda kukatwa rasmi

3)vikundi vingi vya kigaidi kupungua duniani, nchi nyingi kuanza kujitambua, mikataba mingi ya kilaghai kufutwa

Ila kuna kitu nataka nione mwisho wake
USA anachapisha pesa halafu OPEC wanaenda kupunguza uzalishaji wa mafuta jumlisha huu mfumuko wa bei pamoja na mdororo wa uchumi wa ulaya
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Naenda kushuhudia ulaya ikipiga magoti mbele ya urusi tena Kwa aibu ya dunia
Umenichekesha.
 
That's why tunawaambia hawa nyumbu pro NATO Kwamba hii vita ilikuwa calculated na Putin. + His allies


That's why anapigana slowly[emoji23][emoji23] kama unakumbuka Kuna kipindi alipeleka majeshi pale Kyiv

Lakin akajishtukia kuwa kafanya mapema sana ......kuwa akimaliza vita mapema ....the target would not being archived ....

Je unadhani Russia Hana majasusi wa kumfyeka zelensky.....jibu ni kuwa Putin anaendelea ku buy time
Asilimia kubwa pale Ikuru ya Zelensky ni spy wa Urusi.
 
Mkuu Kuna sehemu hapo imeandika ameomba mkuu uweke google translator then uone kma Kuna ombi hapo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Waziri shoigu amesema Leo alfajiri kuwa interejensia yaonyesha watapiga maeneo km CLIMEA n.k, hivyo Urusi atapiga kwa mmiliki wa siraha sio Ukraine. Hiyo ni dharau.
 
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
Wakati mwingine unawapotezea! Akiri zao zimechoka kufikiri.
 
Putin: irretrievable losses of the Armed Forces of Ukraine in the offensive are 50%. The Armed Forces of Ukraine destroyed 160 tanks, we have 54, some of which will be returned to service.

The Armed Forces of Ukraine have lost 25-30% of the volume of equipment supplied from abroad.

According to the President, this is a large-scale counter-offensive, but it was not successful in any of the areas.

Putin: If the strikes on the territory of the Russian Federation continue, Moscow will have to consider creating a sanitary zone in Ukraine so that they cannot reach us.

It is absolutely clear that the entire territory of the former Ukrainue should become a "sanitary zone". Since shelling will continue from any remnants of this territory under the control of the United States and Ukrainian Nazis.
On papers, YES russian losses ate overwhelming but if we resort to reality actually Ukraine loss is 1 to 100 lets ppint out one unfortunate loss for Ukranian military their so called conter offensive they lost 2000 soldiers within 24 hours is this NORMAL, personally I dont think so.
 
Mkwara mwingine wa Mr. Bean - Endapo Crimea itambuliwa na makombora ya masafa marefu kutoka US na UK, basi watakiona cha mtema kuni... amedadavua.. UKraine yasema itayakomboa majimbo yake yote yaliyotekwa ikiwemo Crimea.


Russia has accused Ukraine of planning to attack annexed Crimea with long-range United States and British missiles and warned it would retaliate if that happened.

Russian Defence Minister Sergey Shoigu told a meeting of military officials on Tuesday that Moscow possesses information that Ukraine plans to strike Crimea with US-supplied HIMARS long-range rocket systems and British-supplied Storm Shadow cruise missiles.

“The use of these missiles outside the zone of our special military operation would mean that the United States and Britain would be fully dragged into the conflict and would entail immediate strikes on decision-making centres in Ukraine,” Shoigu said.

Kyiv, which says it is battling for its survival in a war of colonial conquest, said it wants to reclaim all of its territory, including Crimea, the home of Russia’s Black Sea naval base.
 
Back
Top Bottom