Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnaosema sanctions hazitamuathiri Putin mnakosea. Putin anathamini sana oligarchies kuliko raia, sasa oligarchies ndio biashara hawawezi fanya sawasawa kama SWIFT ikifungiwa na wengine wao wana sanctions. Kutokuwa na uungwaji mkono wa oligarchies ni threat. Importation na exportation lazima vipungue, thamani ya ruble iporomoke. Tutarudi hapa miezi michache, utaona kama raia hawataaandama. Tuombe uzima tuwepo.

Hii vita ikichelewa ndio vitu vinazidi kubanwa. Mara Ujerumani anabadili gear anatuma silaha, mwishowe utasikia China kala kona. Russia always teachs China what not to do
Mambo bado TU,watu wa Urusi waingie barabarani?
Je vikwazo vimekwisha?
 
Ukraine ishasema inapigana defensive war na silaha zote inazopewa ni defensive wala sio offensive. Ukraine haijaingia kuvamia Urusi wala haina uwezo huo.

Urusi mpaka sasa wana mji mmoja mkubwa wa Kharkiv ambao uko mpakani nao. Hapo watakuja wanasogea taratibu kwa sababu mji upo mpakani wanavusha supplies wanapiga kwa 'kuambukiza'. Hawana uwezo wa kupiga kwa stretching mpaka sasa, hawana flexibility.

Kwenye ramani: K- Kharkiv mpakani na Russia
C- mashambulizi kutoka Crimea
D- Donetsk na Luhansk regions
Hapo Kaskazini kutokea Belarus ndio wanapigana kuichukua Kyiv ambayo iko karibu tu na Belarus ila ndio concentration ya Ukraine ilipo.

Bila Russia kutumia Belarus sasa hivi tungekuwa tunawacheka. Haki ya Mungu hili sio jeshi la kukutana na vichaa kama PolandView attachment 2132819
Poland ?
 
Russia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?

Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?

Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.

Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
Vikwazo,Swift Urusi Chali?
 
Hilo sanduku la kuhifadhia meno hapo juu ya mabega ndio limetoa hizi takataka? Yani mada nzito hivi unakuja na maneno ambayo darasa la tatu wanaweza sema. Ukute umeolewa na mtu yuko proud ana jiko ndani. Mada ya kilimo cha pilipili huzioni?

Ukitaka kubisha toa hoja.
Aisee,huyo jamaa sijui kama alirudia kwa kipigo hicho
 
Vikwazo,Swift Urusi Chali?
Kamanda kuna huu uzi nao itabidi uwe unaupitia kila siku,

Nikutakie safari njema huko ulikojificha, naomba uwachukue na hawa ndugu zangu,
Nkuba25 ,
Galip Vrl ,
mohamedidrisa789

 
Wakuu!Leo Nimeona Kril Budanov akitoa taarifa ya kipelelezi ila kuna mtu mmoja humu ID nimesahau kasema ameuawa na mashambulizi siku zilizopita!
Yale yale ya kusema Zelensky hayupo KYIV na siku akirudi atauwawa kwa makombora kisa mashambulizi ya drone huko KREMLIN.
Ulisema Huna upande, lkn habari zako zote unazoleta ni zile nzuri lkwa Ukraine,vpi, ficha mahaba yako.
 
Natega kila sehemu ya jamii forrum nione kama sehemu nyingine kwa siku mbili izi kama hatochangia[emoji23][emoji23][emoji23]
T14 kakimbia...huko kwengine yuko Live kinouma...kuna uzi wa ile submarine iliyozama ya kampuni ya ocean Gates...anachangia kinouma...kama kawaida yake hajaacha kuiponda Russia kiaina kwenye ile ajali ya Nyambizi .. hadi nikajiuliza huyu jamaa si yupo kijijini ndani ndani imekuaje leo yuko mjini hv.,..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
We unafikiri F16 itabadili chochote kwenye hii vita? Ndege kama AC 130 ni moja ya mashine naikubali sana hasa kwenye close air support, lakini ni very vulnerable kwenye vita na nchi kama Russia, ndege kama AC 130 kwenye vita Afghanistan, Iraq n.k ilifanya vyema lakini Kwa vita na mrusi AC 130 ni cargo plane.

Sasa hii F16 wanayoisemea NATO ina sifa zipi ya kukabiliana na Russia?
Kama Patriotic missiles zinafanya vizuri kudungua Hypersonic missiles za Russia,hata f16 zitafanya vizuri.Russia nilivyoifikiria sio hii inayokimbizwa kwenye battle field Kila itwapo leo.Wanajeshi wake wengi wamekufa na vifaa vyake vingi vya kijeshi vimetekwa na vingine kuharibiwa.
Wamebakia kuharibu miundombinu na kuua raia.Kwenye hii
Vita huyu superpower kaçhemsha.
 
Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.

NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO wakati lengo mama la umoja wa NATO ni kujihami dhidi ya Russia.
Unahisi kwanini USA alishawishi na anashawishi wanachama kutokea Ulaya ila hana habari na wanachama kutoka America kwenyewe, Africa wala Asia?
 
Kama Patriotic missiles zinafanya vizuri kudungua Hypersonic missiles za Russia,hata f16 zitafanya vizuri.Russia nilivyoifikiria sio hii inayokimbizwa kwenye battle field Kila itwapo leo.Wanajeshi wake wengi wamekufa na vifaa vyake vingi vya kijeshi vimetekwa na vingine kuharibiwa.
Wamebakia kuharibu miundombinu na kuua raia.Kwenye hii
Vita huyu superpower kaçhemsha.
Ni vizuri kuongea na ushahidi.maneno matupu peleka jukwaa la taarabu.patriot zingekuwa zinafanya vizuri basi miji isingekuwa inapigwa.kila siku miji yote inapigwa alafu unakuja kutuambia ujinga kuwa inafanya vizuri.

Tofauti na Urusi niambie ni taifa gani nyingine ambalo linaweza kupigana na muungano wa nchi zaidi ya 50?.

Nipo nasubiri jibu
 
Nimerudia mara kadhaa kusoma hii comment yako bado nimeshindwa kuelewa unataka kusema nini.

1: kushambulia kwa kutumia "arms" unamaanisha nini?

2: Mifumo ya Patriot na Lopard kwa ajili ya ulinzi wa anga. Hii Lopard ni siraha gani au ndo kile kifaru cha mjerumani? Kama ni hicho, hivi nacho kinalinda anga?
😃😃lopod
 
Katika historia ya USA toka kuundwa kwao wamejikuta wamepanda mtumbwi wa kibwengo Kwa kuanzisha Vita hapo Ukraine

NATO imekutana na kile ambacho ndiyo sababu ya kuundwa yaani umoja wa kijeshi ulioundwa Kwa lengo la kuidhibiti urusi wakiongozwa na kaka Yao marekani

Kwenye maeneo kama Yugoslavia, Afghanistan, Libya, Iraq n.k walikuwa kama wanafanya mazoezi na kupata uzoefu wa kuja kushambulia urusi, baada ya kuona wameiva na wapo tayari ndiyo wakaandaa hii mbungi ya Ukraine, tahamaki wameingia Choo cha kiume maana wao asilimia kubwa ni mashoga 😆😆😆😆😆😆😆😆

Sasa sasa hivi NATO na USA wamejikuta wapi katikati ya bahari kwenye kina kirefu halafu hawana namna mbadala wa kutoka hapo walipo

Mrusi anaendelea kutoa dozi ya kipigo na wala haonekani kama atakuja kupunguza zaidi sanasana kila siku anaongeza mapigo na kibaya zaidi viwanda vyake vinazalisha silaha kupita matumizi, hapa ndipo west wanachanganyikiwa 😆😆😆😆😆😆

Ulaya yote imeyumba kiuchumi, dollar inapoteza udhibiti wake duniani, mchina anakuja Kwa Kasi ya hypersonic kwenye maendeleo na kiuchumi duniani kutokana na nishati ya bei nafuu, Saudia kamwambia mmarekani wazi akifanya ujinga basi atamyumbisha kiuchumi (hapa mmarekani kawa mpole maana anajua nini kitafata)

Juzi Kati Bunge la marekani limeongeza kiwango cha ukomo wa kukopa Kwa lugha nyingine Bunge wameruhusu kuchapisha dollar zaidi 😄😄😄😄 swali langu watachapisha Kwa kiasi gani????, Maana hali haitegemei kutengemaa Leo wala kesho, na mrusi anapigana mdogo mdogo Hana haraka maana anataka kuona Vita inachukua muda mrefu lakini uchumi wa west unaweza kuhimili maumivu Kwa muda mrefu?????, Na mrusi anajua mpaka sasa wako kwenye dakika za mwisho za uvumilivu wao, na ndiyo maana mrusi kuna wakati anasema nikimalizana na Ukraine naingia Poland hii kauli haitoki Kwa bahati mbaya au ni kitisho, Ila wanasema hivyo ili ulaya useme kumbe tukishindwa hapa mrusi atatuvamia Kwa hiyo inabidi tupigane kufa na kupona ili tushinde, lakini kipindi wanapigana maana yake muda unasogea uchumi unaanguka pesa nyingi za walipakodi wanakuwa ni kama wamezichoma Moto maana hakuna wakuja kuwalipa, na hata wakija kushtuka uwezo wa kupigana na urusi hawana na kama watashindwa na kukubali matokeo basi haya yatatokea

1) NATO kuvunjika rasmi Kwa kuwa itaonekana haina umuhimu zaidi ya kutumia pesa za walipa Kodi, maana Yule adui ambaye ndiyo msingi wa kuanzishwa kwa NATO kawapiga na kuharibu uchumi wao kabisa

2)USA na EU kuanguka duniani kiushawishi, kiuchumi na kijeshi, hapa ndipo jumuiya ya ulaya itaona kila rangi, walizoea wizi ili watajirike hiyo mirija inaenda kukatwa rasmi

3)vikundi vingi vya kigaidi kupungua duniani, nchi nyingi kuanza kujitambua, mikataba mingi ya kilaghai kufutwa

Ila kuna kitu nataka nione mwisho wake
USA anachapisha pesa halafu OPEC wanaenda kupunguza uzalishaji wa mafuta jumlisha huu mfumuko wa bei pamoja na mdororo wa uchumi wa ulaya
😄😄😄😄😄😄😄😄

Naenda kushuhudia ulaya ikipiga magoti mbele ya urusi tena Kwa aibu ya dunia
Kaunta Ofensi Nilijua ni kitu cha maana kumbe imeishia vijijini???
 

Robert F. Kennedy Jr. Says Russia Acted In 'Good Faith' In Ukraine Invasion​



Robert F. Kennedy Jr.
said Wednesday he believes Russia acted in “good faith” amid the Kremlin’s invasion of Ukraine, adding the U.S., in fact, bore heavy responsibility for the ongoing war.

Kennedy, who announced his bid for the Democratic nomination in April, made the comments on SiriusXM’s “The Briefing with Steve Scully.” Scully asked about Russian President Vladimir Putin’s continued effort to seize part of Ukraine despite international condemnation. Kennedy claimed the way forward involved “baby steps” toward negotiation, before the host pointed out Putin has so far rejected those calls unless Russia keeps the territory it’s already claimed.

“No, no. Putin has repeatedly said yes,” Kennedy said. “In fact, he negotiated — two times he agreed to agreements. He agreed to the Minsk Accord, and then he agreed in 2022 to an agreement that would’ve left Ukraine completely intact.”
“It was us who forced Zelensky to sabotage that agreement. It was already signed,” he continued. “So, you know, the Russians were acting in good faith. ... So, no, I think we’re the ones who have not been acting in good faith.”

The U.S. has repeatedly called on Russia to end the invasion since it began in February 2022. Secretary of State Antony Blinken said last week that the Kremlin could end the war “at any time by withdrawing its forces from Ukraine and stopping its brutal attacks against Ukraine’s cities and people.” But Putin has claimed Ukraine would not win and vowed to push on.

Kennedy has shared pro-Russia talking points in the past and asserted this week that the war was a “creation of a relentless mentality of foreign domination” in the United States. He’s also called the conflict a “proxy war.”

“I abhor Russia’s brutal and bloody invasion of that nation,” Kennedy said during a speech in New Hampshire on Tuesday. “But we must understand that our government has also contributed to its circumstances through repeated deliberate provocations of Russia going back to the 1990s.”

 
Back
Top Bottom