T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mkuu unfortunately sitoweza kushiriki kwenye uzi huu maana nikiandika replies zitakula muda wangu na nitahitajika kutoa mwendelezo wa kujibu. Kwa sasa niko mkoani ndani ndani huku mtandao unasumbua baadhi ya maeneo. Shughuli zangu zinanibana kupata muda wa kufuatilia vita inaendaje na tena nipate muda wa kuja hapa.Naomba T14 Armata , HIMARS na kp kipanya44 mshirikiane kudadavua hii strategy mpya ya Russia. Kuhusu posho baada ya kazi, wala hata msijali. Mtapewa tanker 1 la mafuta na gesi kila mmoja.
Vita haiishi hivi karibuni, mambo mengine yataendelea. Sitochangia kwa wiki kadhaa mpaka nirudi mjini.
NB: Kipindi hiki sitosoma notification yoyote inayohusiana na uzi huu. Mjadala mwema