D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Patriot zote 5 zipo hai
Leo hii ndio unamfahamu mwamba prigo?Urusi wanaficha habari ya mapamabano mstari wa mbele, Bosi wa Wagner asema kuna siku wataamka wakute Crimea nayo imo mikononi kwa Ukraine.
View attachment 2664929
Ukrainian servicemen of the 57th Brigade fire BM-21 'grad' multiple rocket launcher towards Russian positions at a front line near Bakhmut in the Donetsk region on June 20, 2023 [Genya Savilov/AFP]
Published On 22 Jun 202322 Jun 2023
A number of villages have been lost and Russian troops are suffering from a lack of arms and ammunition, he said.
“Huge chunks have been handed over to the enemy,” Prigozhin said, warning that Ukrainian troops had already sought to cross the Dnipro river, a natural border on the front line.
“All of this is being totally hidden from everyone,” the Wagner chief said. “One day Russia will wake up to discover that Crimea too has been handed over to Ukraine,” he added.
repainted so that they are suitable and look good.Latvia will hand over all its military helicopters to Ukraine, Prime Minister Karinsh said
"We have a fleet of helicopters, all these helicopters — now they are being repainted so that they are suitable and look good — we are sending those to Ukraine," he said.
Join our telegram channel for more videos - link in comm
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa lugha nyepesi inaonyesha USA. ni most corrupt country.US can't produce as much munitions as Russia, even though US spends more than $800 billion a year on defense - Shai Assad, former Defense Department contract negotiator
Assad said the Pentagon overpays for everything from a few dollar parts to missiles and aircraft parts.
Shai Assad said that the cost of the simplest part, the price of which is a few dollars, in the contracts of the Ministry of Defense reaches tens of thousands of dollars.
Jibu ni kwamba Putin hana mpango wa kuwamaliza ndugu zake wenye damu ya Kislav huko Ukraine - katika vita hii Putin ametumia busara zaidi kuliko kutumia manguvu ovyo ovyo kuwaua binadamu wenzake,kama angekuwa na hulka ya namna hiyo Ukraine nzima kusingebakia hata sisimizi, tuache mambo ya matani Russia ni Super power actually hivi sasa hipo kwenye top notch ya kuitwa HYPER POWER.Ngoma ngumu sana kwa Russia hii, walivyoanza hii vita sikutegemea kama mpaka leo Serikali ya Ukraine ingekuwepo madarakani.
Jeshi la US linauziwa silaha na kampuni binafsi ambazo zipo kibiashara, Russia silaha zinazotumiwa na jeshi zinatengenezwa na kampuni zinazomilikiwa na serikali.Ila hii SMO imetufungua. Urusi anatumia bajeti ndogo na anatetengeneza siraha bora.Ila USA anatumia bajeti kubwa sana siraha hazieleweki tatizo ni rushwa.
Patriot haifui dafu kwenye kinzal isipokuwa kuna mtu alivujisha siri ya hiyo hypersonicKuna Patriot kiboko ya kinzhal,Wala hatuna wasiwasi
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa ndo unaona faida ya mfumo wa kijama.Jeshi la US linauziwa silaha na kampuni binafsi ambazo zipo kibiashara, Russia silaha zinazotumiwa na jeshi zinatengenezwa na kampuni zinazomilikiwa na serikali.
Tofauti kubwa ipo hapo.
Kwa lugha nyepesi inaonyesha USA. ni most corrupt country.
Sifa ambazo west waliipa russia kua rushwa imetapaka jeshini.Sijui makamanda wanapewa hela za kununua dare za jeshi wanazipiga wanaleta dare za jeshi kidogo.
Mara ooh siraha za Urusi ni duni kwa sababu ya rushwa.
Ila hii SMO imetufungua. Urusi anatumia bajeti ndogo na anatetengeneza siraha bora.Ila USA anatumia bajeti kubwa sana siraha hazieleweki tatizo ni rushwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaaaaMlipuko mkubwa wa bomba la gas umetokea jijini Paris - France.
Hii ingetokea Moscow, yule mpiga punyeto T Armata angeongea sana ujinga.
View attachment 2664729
Sifa kuu mbili za shetani ni ulaghai na uuaji.Well said mkuu viwanda vya kuunda silaha za kijeshi nchini Merikani wamiliki wake ni watu binafsi na si Serikali (Military Industrial Complex) wamiliki wao eana nguvu kublwa kifedha na ushawishi mkubwa Serikalini hasa Wizara ya Ulinzi na some few vocal senators wa kupigia debe viwanda hivyo kwa kuwatisha wapiga kura kwamba sijui Urusi mara Uchina mara Korea. Kaskazini hivi sasa wanamiliki silaha hatari zaidi zenye lengo la kuumaliza Merikani maneno hayo ni maigizo tu ya kutaka Bunge liongeze budget ya fedha za ulizi ili Wamiliki wa viwanda vya silaha wa USA na maafisa wa Wizara ya ulinzi wa Merikani na baadhi ya wabunge wapiga debe wote hao wapige hela ndefu za Wizara ya Ulinzi kwa kupitia mbinu za ulaghai na kuwatia hofu wananchi kwamba Russians are coming after USA hivyo Serikali iongeze budget ya kuunda silaha za ulizi - ulaghai mtupu, ndio maana budget ya Ulinzi wa taifa la Merikani mara yote huwa juu sana kutokana na hasa rushwa, kama nilivyo sema tangu mwanzo mbinu zinazo tumika katika upigaji fedha ndefu kutoka katika Wizara ya ulinzi ni mwingi sana sana.
Anachungulia na kujificha kama sio yeye au ana id mpya🤣😂